Lowassa,Tutalivuka daraja

Lowassa,Tutalivuka daraja

mkuu kwa jinsi hali ilivyo hivi sasa,ni kama EL ameshapotezwa.nikuulize, unamsikia tena siku hizi?!.watu waliunganisha mguvu kuhakikisha wanampoteza kabisa mzee wa watu ktk siasa.ni kama tayari wameshashafanikiwa.na hili la ugonjwa ndio kabisa limekuja kutibua ndoto yake.mungu amponye haraka raisi wetu mtarajiwa.

Mkuu Ccm hawana ujanja wa kumpoteza Mr mamvi
Lowassa ndiye mwenye uwezo wa kuipoteza ccm,hivi hujiulizagi kwann lowassa amenyamaza kimya?hukumbuki kipindi flani kwenye vikao vya dodoma lowassa alivyotaka kumchana jk kuhusu richmond mzee mkapa akaingilia?kma siyo busara za mzee mkapa leo tungekuwa tumeitisha uchaguzi mwingine
 
Mkuu mbung'o
Wala huna haja ya kulizungumza hili
huyo anayemwambia anatambuwa mwenye zigo la Richmond ni nani,hata watanzania kwa ujumla wao wanatambuwa mwenye zigo la richmond ni baba mwanaisha
 
Wasipo msimamisha lowasa, ccm wahesabu kilio
 
Mkuu Ben, wakati muafaka ukifika, ya Richmond, yatawekwa wazi, mtamjua mwenye mzigo ni nani na nani alikuwa mbebaji tuu!.

Ila pia bongo politics ni very unpredictable!, maadam hata huko uliko bado hamna mgombea yoyote wa kuweza kuwaleta ushindi kwa 2015, nakushauri be prepared!. Take a close look ya viongozi wako wakuu, wanasema nini kuhusu mtu huyu!.

Kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, only a common interest!.

Pasco

Wapuuzi sana nyie yani nchi inaingia kwenye ufisadi mkubwa kama wa Richmond af unasema muda ukifika tutamjua nani mwenye mzigo? Hamna adabu kabisa katika nchi hii yani nchi inaumia nyie mnafanya mzaa kwenye uhai wa nchi kwa tamaa zenu za madaraka hamfai kabisa!

Kama anamjua mwenye mzigo kwa nini anasubiri uchaguzi ufike ndo aje na kubwabwaja na mbinu zenu chafu ili muendelee kupeana ulaji? Muda ukifika ni hatua gani zitachukuliwa dhidi ya hao walafi? Je? Kwa nini asifanye hayo maamuzi mapema ili hao wezi tuwajue na kuwatia kitanzi kama wale wezi wa NMB?

Naomba kwa leo mnipatie majibu yafuatayo?
(1) .Kama Lowasa hakuusika na sakata la Richmond na Dowans naomba aseme live ni nani alihusika na huo ufisadi? Siyo tudanganyane hapa ili uchukue nchi kulinda mafisadi wenzake.

Tanganyika karibu sana.
 
Kwasabu umeamuwa kutumia lugha za matusi
Labda tukuambie tu mpuuzi ni wewe na waliokuzaa,waliodiriki kufnya mchezo wakiwa wamelewa wakazaa kiumbe chenye mtindio wa ubongo.
 
Wapuuzi sana nyie yani nchi inaingia kwenye ufisadi mkubwa kama wa Richmond af unasema muda ukifika tutamjua nani mwenye mzigo? Hamna adabu kabisa katika nchi hii yani nchi inaumia nyie mnafanya mzaa kwenye uhai wa nchi kwa tamaa zenu za madaraka hamfai kabisa!

Kama anamjua mwenye mzigo kwa nini anasubiri uchaguzi ufike ndo aje na kubwabwaja na mbinu zenu chafu ili muendelee kupeana ulaji? Muda ukifika ni hatua gani zitachukuliwa dhidi ya hao walafi? Je? Kwa nini asifanye hayo maamuzi mapema ili hao wezi tuwajue na kuwatia kitanzi kama wale wezi wa NMB?

Naomba kwa leo mnipatie majibu yafuatayo?
(1) .Kama Lowasa hakuusika na sakata la Richmond na Dowans naomba aseme live ni nani alihusika na huo ufisadi? Siyo tudanganyane hapa ili uchukue nchi kulinda mafisadi wenzake.

Tanganyika karibu sana.

Kulikuwa kuna haja kweli yakushambulia watu kwa lugha za matusi?
Ulishindwa kubishana kwa hoja?
Unahisi labda wote tungekuwa kama wewe humu ndani pangekalika kweli?
Usisubiri atashuka Mungu aje akufundishe kujiheshimu
Badilika!
 
Ahaa! Kumbe nimetumia matusi! Kwa mtu makini akisoma article yangu hawezi ona tusi hapo.
 
mkuu kwa jinsi hali ilivyo hivi sasa,ni kama EL ameshapotezwa.nikuulize, unamsikia tena siku hizi?!.watu waliunganisha mguvu kuhakikisha wanampoteza kabisa mzee wa watu ktk siasa.ni kama tayari wameshashafanikiwa.na hili la ugonjwa ndio kabisa limekuja kutibua ndoto yake.mungu amponye haraka raisi wetu mtarajiwa.

Hakuna wa kumpoteza Lowasa nchi hii na kamwe haitatokea. Katrina ya Lowasa hakuna wa kuizuia si ndani ya CCM wala ipinzani..Hivyo usitie shaka mkuu SIMAMA IHESABIWE...Kuhusu Afya Lowasa yuko fit ile mbaya ni suala la muda tu.
 
Wapuuzi sana nyie yani nchi inaingia kwenye ufisadi mkubwa kama wa Richmond af unasema muda ukifika tutamjua nani mwenye mzigo? Hamna adabu kabisa katika nchi hii yani nchi inaumia nyie mnafanya mzaa kwenye uhai wa nchi kwa tamaa zenu za madaraka hamfai kabisa!

Kama anamjua mwenye mzigo kwa nini anasubiri uchaguzi ufike ndo aje na kubwabwaja na mbinu zenu chafu ili muendelee kupeana ulaji? Muda ukifika ni hatua gani zitachukuliwa dhidi ya hao walafi? Je? Kwa nini asifanye hayo maamuzi mapema ili hao wezi tuwajue na kuwatia kitanzi kama wale wezi wa NMB?

Naomba kwa leo mnipatie majibu yafuatayo?
(1) .Kama Lowasa hakuusika na sakata la Richmond na Dowans naomba aseme live ni nani alihusika na huo ufisadi? Siyo tudanganyane hapa ili uchukue nchi kulinda mafisadi wenzake.

Tanganyika karibu sana.

Lowasa for Presidency 2015.
 
kuna mwana CCM mmoja juzi aliniambia lowassa yu hoi kiafya hivyo tusimtarajie ktk kinyang'anyiro cha kuusaka urais.ilisema huo ni ushindi mkubwa kwa kambi ya kina membe kwani wamesha umaliza mtandao wake ndio hatumsikii tena.

TeamMtama naona mnaweweseka tu. Lowasa ndio Jiwe kuu 2015
 
Lowassa labda wampige risasi,ccm hawana ubavu wa kumzuia lowassa na alishawaambia atamleta balali akiwa hai

Lowassa ni hatari sanaaaa.yaani asipochukua fomu 2015 ntashangaa sana..
 
Ila pia lazima tukubali tukatae, afya ya mtarajiwa wetu ni issue!, najihiisi inawezekana ni mimi tuu na wachache sana kama mimi, ndio tunatambua kwa hakika, kuwa tegemeo hilo ndilo silo, huyu ni Yohana Mbatizaji tuu, akiyanyyoosha mapito yake yule yuajaye!.

Pasco

Mkuu, nimesoma hii mara mbilimbili..kuna kitu kinaandaliwa given afya ya 'mtarajiwa' wako. Watanzania wasipochagua mabadiliko 2015 sijui huko ndani watatuletea kitu gani, kifupi sioni alie nafuu huko. Wacha tusubiri
 
mkuu kwa jinsi hali ilivyo hivi sasa,ni kama EL ameshapotezwa.nikuulize, unamsikia tena siku hizi?!.watu waliunganisha mguvu kuhakikisha wanampoteza kabisa mzee wa watu ktk siasa.ni kama tayari wameshashafanikiwa.na hili la ugonjwa ndio kabisa limekuja kutibua ndoto yake.mungu amponye haraka raisi wetu mtarajiwa.

Afya ya mtu ya wakati ujao anayejua ni mwenyenzi Mungu peke yake,utajuaje afya ijayo ya huyo Membe,Sitta na wengineo?
Utajuaje kuwa Lowassa haponi hadi wakati huo?
Haumsikii kwa sababu walifanya mpango wa kumsimamisha mwaka mmoja
Kiukweli hadi sasa hakuna ndani ya ccm wa kumshindanisha na lowassa pamoa na ugonjwa wake.
Mwacheni Ben maana yeye ni kambi ya Membe iliyopo chadema
 
Wapuuzi sana nyie yani nchi inaingia kwenye ufisadi mkubwa kama wa Richmond af unasema muda ukifika tutamjua nani mwenye mzigo? Hamna adabu kabisa katika nchi hii yani nchi inaumia nyie mnafanya mzaa kwenye uhai wa nchi kwa tamaa zenu za madaraka hamfai kabisa!

Kama anamjua mwenye mzigo kwa nini anasubiri uchaguzi ufike ndo aje na kubwabwaja na mbinu zenu chafu ili muendelee kupeana ulaji? Muda ukifika ni hatua gani zitachukuliwa dhidi ya hao walafi? Je? Kwa nini asifanye hayo maamuzi mapema ili hao wezi tuwajue na kuwatia kitanzi kama wale wezi wa NMB?

Naomba kwa leo mnipatie majibu yafuatayo?
(1) .Kama Lowasa hakuusika na sakata la Richmond na Dowans naomba aseme live ni nani alihusika na huo ufisadi? Siyo tudanganyane hapa ili uchukue nchi kulinda mafisadi wenzake.

Tanganyika karibu sana.

Ukisikia jina la Katrina Lowasa kitu kinagonga pichu sio?... Lowasa for presidency
 
Afya ya mtu ya wakati ujao anayejua ni mwenyenzi Mungu peke yake,utajuaje afya ijayo ya huyo Membe,Sitta na wengineo?
Utajuaje kuwa Lowassa haponi hadi wakati huo?
Haumsikii kwa sababu walifanya mpango wa kumsimamisha mwaka mmoja
Kiukweli hadi sasa hakuna ndani ya ccm wa kumshindanisha na lowassa pamoa na ugonjwa wake.
Mwacheni Ben maana yeye ni kambi ya Membe iliyopo chadema

Mkuu waambie hata Lowasa akiwa ICU tutamchagua tu......hii ndio dawa ya wazee wa propaganda.
 
wadau!
Hii ni kauli ambayo mh lowassa amekuwa akiitoa mara kwa mara pindi tu anapoulizwa kama atatupa karata yake kweny mbio za urais,
Kauli hii imekuwa ikiwakosesha usingizi wapinzan wake mpaka kupelekea kuhaha huku na kule kutafuta namna gani ya kuweza kumdhibiti bila mafanikio
Lowassa hakuishia hapo januar mwaka aliwamakliza zaidi wapinzani wake alipokuja na misemo miwili ya kufungulia mwaka,wakwanza ulisema ''Safar ya matumaini''wapili ni ule uliosema ''Simama uhesabiwe''misemo hii imekuwa mwiba kwa wapinzan wake mpaka ilipelekea lowassa kupewa barua ya onyo,je misemo tu inaweza ikasababbisha mtu kupewa barua?
Lowassa kwa jinsi hali ilivyo amekosesha furaha na usingiz mahasimu wake ndani ya chama cha mapinduzi,nimekuwa nikijiuliza kama tu misemo aliyo ianzisha inawatesa kias hiki je siku akianza kufunguka itakuwaje?
Wameanza kuogopa kivuli cha lowasa siku picha yake halisi ikianza kuonekana itakuwaje?
Mpka tufike kweny uchaguzi MZEE WA MISEMO TATA ATAWATESA SNA WAPINZANI WAKE

mbona iyo misemo inafanana na ya T B Joshua muheshimiwa muenezi. Yote ya yote EL NI NOMA, salute to him
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom