Lowassa,Tutalivuka daraja

Lowassa,Tutalivuka daraja

Kama humpendi lowassa wewe si mzalendo na hupendi maendeleo ya Tz
 
wadau!
Hii ni kauli ambayo mh lowassa amekuwa akiitoa mara kwa mara pindi tu anapoulizwa kama atatupa karata yake kweny mbio za urais,
Kauli hii imekuwa ikiwakosesha usingizi wapinzan wake mpaka kupelekea kuhaha huku na kule kutafuta namna gani ya kuweza kumdhibiti bila mafanikio
Lowassa hakuishia hapo januar mwaka aliwamakliza zaidi wapinzani wake alipokuja na misemo miwili ya kufungulia mwaka,wakwanza ulisema ''Safar ya matumaini''wapili ni ule uliosema ''Simama uhesabiwe''misemo hii imekuwa mwiba kwa wapinzan wake mpaka ilipelekea lowassa kupewa barua ya onyo,je misemo tu inaweza ikasababbisha mtu kupewa barua?
Lowassa kwa jinsi hali ilivyo amekosesha furaha na usingiz mahasimu wake ndani ya chama cha mapinduzi,nimekuwa nikijiuliza kama tu misemo aliyo ianzisha inawatesa kias hiki je siku akianza kufunguka itakuwaje?
Wameanza kuogopa kivuli cha lowasa siku picha yake halisi ikianza kuonekana itakuwaje?
Mpka tufike kweny uchaguzi MZEE WA MISEMO TATA ATAWATESA SNA WAPINZANI WAKE

krrapppp...........
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimeona kwa maadili ulinayo nayo hupaswi kuwa humu ndani
Fb panakufaa kabsa

Wee ni kinda sana kuhoji maadili yangu...naweza kuwa baba yako! Ama baba wa unayempigia zumari ambaye thamani yako itaisha baada ya kumchagulia wimbo!
 
Hebu atoe majibu Kuhusu RICHMOND huko badala ya kujifanya mwanasiasa anayetaka urais.
Mkuu Ben, wakati muafaka ukifika, ya Richmond, yatawekwa wazi, mtamjua mwenye mzigo ni nani na nani alikuwa mbebaji tuu!.

Ila pia bongo politics ni very unpredictable!, maadam hata huko uliko bado hamna mgombea yoyote wa kuweza kuwaleta ushindi kwa 2015, nakushauri be prepared!. Take a close look ya viongozi wako wakuu, wanasema nini kuhusu mtu huyu!.

Kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, only a common interest!.

Pasco
 
mkuu lowassa ahitaji kukampeniwa,Lowassa anasubiri muda wa baba riz wa kupangisha magogoni uishe azame ndichi

Sina shida na hilo...ikiwa wenzake watausaliti utamaduni wao wa kupitisha majina ya kuwania uongozi wa juu kupitia chama chao kwa watu wasiokuwa wanachama wa Central Committee(of who Mzee Lowasa si mmoja wao kwa sasa) na akaweza kuwadanganya wananchi ama kuwashawishi basi let him be!...
 
Hana lolote fisadi huyu amekuwemo ndani ya Serikali tangu awamu ya kwanza mpaka ya nne, hakuna chochote alichokifanya kuwanufaisha Watanzania zaidi ya kujinufaisha yeye na familia yake kifisadi. Eti huyu naye anastahili kupewa ridhaa na Watanzania kuiongoza nchi!!!! Duh!!!! Kwa mafanikio gani aliyokuwa nayo kama kiongozi?

mkuu Lowassa ni zaidi ya unavyofikiri!!
 
Mkuu Ben, wakati muafaka ukifika, ya Richmond, yatawekwa wazi, mtamjua mwenye mzigo ni nani na nani alikuwa mbebaji tuu!.

Ila pia bongo politics ni very unpredictable!, maadam hata huko uliko bado hamna mgombea yoyote wa kuweza kuwaleta ushindi kwa 2015, nakushauri be prepared!. Take a close look ya viongozi wako wakuu, wanasema nini kuhusu mtu huyu!.

Kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, only a common interest!.

Pasco

Mkuu Pasco,

Kwa kuwa Ben Saanane hafuati Mkumbo ,msimamo wa hao walioitwa viongozi wakuu kuhusu mtu huyo utakua msimamo wao binafsi na ukitolewa kama msimamo rasmi wa chama ni lazima upitie kwenye vikao ambavyo mimi nitakua mjumbe kinyume na hapo itakua ni mambo mengine ya kisiasa au nje ya siasa ,aidha kama nitakua mjumbe kwenye kikao au kama nitakua nje....

Huu ni msimamo wangu binafsi,nipo imara kweli kweli hapa.Sitanii...!
 
Last edited by a moderator:
Hana lolote fisadi huyu amekuwemo ndani ya Serikali tangu awamu ya kwanza mpaka ya nne, hakuna chochote alichokifanya kuwanufaisha Watanzania zaidi ya kujinufaisha yeye na familia yake kifisadi. Eti huyu naye anastahili kupewa ridhaa na Watanzania kuiongoza nchi!!!! Duh!!!! Kwa mafanikio gani aliyokuwa nayo kama kiongozi?

kwa ulivyo andka tu,ni wazi umeongozwa na chuki ya kupandikizwa,sasa nisibishane naww kwasabu inaelekea wamekufnyia setting
 
Hana lolote fisadi huyu amekuwemo ndani ya Serikali tangu awamu ya kwanza mpaka ya nne, hakuna chochote alichokifanya kuwanufaisha Watanzania zaidi ya kujinufaisha yeye na familia yake kifisadi. Eti huyu naye anastahili kupewa ridhaa na Watanzania kuiongoza nchi!!!! Duh!!!! Kwa mafanikio gani aliyokuwa nayo kama kiongozi?

mkuu punguza hasira
La msingi nikutoa tu ushirikiano lowassa anakwenda kuwa rais wa nchi hata watoto wadogo niliwakuta wakiimba lowasa lowasa
 
Duh!!!! Kwa hiyo watoto wameimba Lowassa basi anastahili kuwa Rais!!!! Nyie ndio bado kweli!!!!
mkuu punguza hasiraLa msingi nikutoa tu ushirikiano lowassa anakwenda kuwa rais wa nchi hata watoto wadogo niliwakuta wakiimba lowasa lowasa
 
Aliyekwambia nina hasira nani!? Acha kukurupuka banaaa!!! Mtu kama hafai basi hafai tu.

mkuu punguza hasira
La msingi nikutoa tu ushirikiano lowassa anakwenda kuwa rais wa nchi hata watoto wadogo niliwakuta wakiimba lowasa lowasa
 
Mkuu Ben, wakati muafaka ukifika, ya Richmond, yatawekwa wazi, mtamjua mwenye mzigo ni nani na nani alikuwa mbebaji tuu!.

Ila pia bongo politics ni very unpredictable!, maadam hata huko uliko bado hamna mgombea yoyote wa kuweza kuwaleta ushindi kwa 2015, nakushauri be prepared!. Take a close look ya viongozi wako wakuu, wanasema nini kuhusu mtu huyu!.

Kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, only a common interest!.

Pasco

Mkuu pasco
ntakushangaa sna kwa maelezo unayo mpa ben!huitaji kumwambia chochote acha ajionee muda ukifika!
hyu dogo anajidai mpinzani lakin ikija habar ya membe humu ndani utaona anavyohaha kumpigia debe lakin naanza kuamini kuwa yule jamaa aliyesemaga humu ndani beni amekuwa akitumika na membe kutoa siri za chama chake zina ukweli,mdogo wangu ben njaa yako embu jaribu kupeleka taratibu,ila nahisi hii njaa yako imefunga turbo
 
Aliyekwambia nina hasira nani!? Acha kukurupuka banaaa!!! Mtu kama hafai basi hafai tu.

Ngoja nikuache kwanza!!
Japo sijui ugonjwa unaopelekea hasira zako,lakini nakuombea kwa Mungu uje uwone lowassa akiapishwa
 
Mkuu pasco
ntakushangaa sna kwa maelezo unayo mpa ben!huitaji kumwambia chochote acha ajionee muda ukifika!
hyu dogo anajidai mpinzani lakin ikija habar ya membe humu ndani utaona anavyohaha kumpigia debe lakin naanza kuamini kuwa yule jamaa aliyesemaga humu ndani beni amekuwa akitumika na membe kutoa siri za chama chake zina ukweli,mdogo wangu ben njaa yako embu jaribu kupeleka taratibu,ila nahisi hii njaa yako imefunga turbo

Jamaa yupi?Unakuja na ID nyingine na kujifanya eti yule Jamaa.You're such a Twerp.Ni wapi nilikotoa siri za CHADEMA.Ningekua namsifia Membe ningemstahi kwa lugha zake za kijinga Bungeni Recently na pia kuruhusu Masele kutoa Reckless statements ambazo zinamfanya akimbie Kimbie .Nasikia ana ziara ya Uingereza kwenda kuomba Msamaha Kule Westminster

Nisichopenda ni siasa chafu dhidi ya mtu yeyote na hata Lowassa nilimtetea kuwa adhabu yake ya kufungiwa mwaka mmoja na chama chake kwa tuhuma za kufanya kampeni mapema ni uonevu maana kama msingi wa adhabu ulikua ni kauli ya EL New Year kule Monduli hakuna mahali precisely alikosema anagombea Urais

Hakuna Ushahidi.Na nilihoji iweje EL aadhibiwe halafu Sitta aachwe wakati wote walifanya kitu hicho hicho kupita Makanisani na Misikitini?

Hivyo hivyo nikaomba Ushahidi juu ya tuhuma za Membe kuomba Fedha Uarabuni kama nilivyoomba ushahidi wa Perfomance ya Migiro kule UN,Prof.Tibaijuka kule UNHABITAT na kutaka kujua iwapo kama Magufuli anaaminika kufuatia Tuhuma ambazo hajakanusha za Kumuuzia kimada Nyumba alipokua Waziri wakati wa Mkapa katika uuzaji wa Nyumba za serikali kama nilivyohoji weledi wa Mwakyembe katika Sheria alipofikia hatua ya Kuficha baadhi ya Mambo katika ripoti ya kamati teule ya Bunge kuhusu sakata la RICHMOND.Nilihoji uzalendo wake kwa kutumia logic.Yote yapo humu JF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom