Lowassa,Tutalivuka daraja

Lowassa,Tutalivuka daraja

Mkuu naogopa kujijibu kwasaba ntakujibu vibaya
Unafaham vizuri mchezo wote ila tu sasa umeamuwa kujitoa akili
Ndio maana unaona nanyamaza sitaki ni kukosee heshima
Bora usijibu mkuu maana hilo jina lako tu lipo hivyo,je ukijibu? Tuliza munkar
 
Halafu kile kikao kilichokaa kuleee pwani na kikahudhuriwa na nanihii si walisema rais ajaye hatotoka kaskazini? Au Lumumba walishakanusha?
 
Halafu kile kikao kilichokaa kuleee pwani na kikahudhuriwa na nanihii si walisema rais ajaye hatotoka kaskazini? Au Lumumba walishakanusha?

Mkuu wakanushe wasikanushe mwendo ni wa jet
mpaka wajue kuwa watanzania hatutaki tena rais mwenye kutokuwa na misimamo kwa mambo yanayohusu nchi
 
Mkuu wakanushe wasikanushe mwendo ni wa jet
mpaka wajue kuwa watanzania hatutaki tena rais mwenye kutokuwa na misimamo kwa mambo yanayohusu nchi

Sawa mkuu pamoja sana. Ila wasiwasi wangu ni yale manyang'au, yapo kambi yake ili yapate uwaziri. Kama akiyachagua, I swear, hakutakuwa na jipya.. Kama Lowassa anataka apendwe na mpaka sisi tulio nje ya ccm, aachane nao wote kule. Otherwise nikishtukia akina mwigulu na chenge wamo nae,asahau kura yangu na wote nilio na ushawishi kwao.
 
Hebu atoe majibu Kuhusu RICHMOND huko badala ya kujifanya mwanasiasa anayetaka urais.

muulize membe anayekuhonga akupe majbu kuhusu wizi wa pesa za ghadafi we ben saa sta...bilcanas mauzo yalkuaje jana au mmeshampelekea joka la mdmu mauzo
 
Nyerere si alisema huyu EL na ndigu yake Tingatinga hawafai kuwa rais wa nchi hii?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom