BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Juhudi zenu za kumremba fisadi ni bure kabisa jamaa harembeki ni wa kupiga chini tu.
Ngoja nikuache kwanza!!
Japo sijui ugonjwa unaopelekea hasira zako,lakini nakuombea kwa Mungu uje uwone lowassa akiapishwa