Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Jana katika mkutano mkuu wa chadema Lowasa alisema atachukua ushindi asubuhi tu hiyo tarehe 25 oct, asubuhi maana yake kabla ya saa sita mchana atakuwa ameshatangaza ushindi, sasa kura zitapigwa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni, sasa hiyo asubuhi zitakuwa zimehesabiwa saa ngapi? au kura zinapigwa online?

ya kikwete,na nape nauye ndio ziko sawa?

Tuambie Rais alikua ana manisha nini kusema ccm ina maarifa ya ushindi?

Nape ccm itashinda hata kwa goli la mkono?

Jibu kwanza haya,
 
Jana katika mkutano mkuu wa chadema Lowasa alisema atachukua ushindi asubuhi tu hiyo tarehe 25 oct, asubuhi maana yake kabla ya saa sita mchana atakuwa ameshatangaza ushindi, sasa kura zitapigwa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni, sasa hiyo asubuhi zitakuwa zimehesabiwa saa ngapi? au kura zinapigwa online?

Read in between the lines, maneno ya Lowassa yana naana tofautu kabisa na ufikiriavyo.
 
Tulia Anko. Vituo vya kura vikishafunguliwa tu Andikeni maumivu. Safari ya uhakika haina msalie mtume.

Wafuasi wa mgombea vs wafuasi wa kapi
 
Attachments

  • IMG-20150805-WA0014.jpg
    IMG-20150805-WA0014.jpg
    56.1 KB · Views: 298
Jana katika mkutano mkuu wa chadema Lowasa alisema atachukua ushindi asubuhi tu hiyo tarehe 25 oct, asubuhi maana yake kabla ya saa sita mchana atakuwa ameshatangaza ushindi, sasa kura zitapigwa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni, sasa hiyo asubuhi zitakuwa zimehesabiwa saa ngapi? au kura zinapigwa online?

Literally....
 
Lakini Jk Jana nae alisema Ccm itashinda kwa mbinu zozote zile.hakusema watashinda kwa kura.
 
Jana katika mkutano mkuu wa chadema Lowasa alisema atachukua ushindi asubuhi tu hiyo tarehe 25 oct, asubuhi maana yake kabla ya saa sita mchana atakuwa ameshatangaza ushindi, sasa kura zitapigwa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni, sasa hiyo asubuhi zitakuwa zimehesabiwa saa ngapi? au kura zinapigwa online?

Yale maneno ya shombo yasiyokuwa hata na chembe ya ustaarabu huyaoni?
 
JK kaongea maneno ya kwenye taarabu hatari ...Yule mama sijui ndio mgombea umakamu anarembua rembua macho tu sijui kanywa uji wa kungu naye kaongea mishomboo..Zee la sitawaangusha ndo usiseme...EL ni wa kumuacha tu ,,,siku akiamua nchi iwake moto itawaka kweli na huyu ndio kiboko yenu CCM
 
USIOGOPE
Ana maana kufikia siku ya kupiga kura asubuhi kila kitu kitakuwa tayari kimeeleweka
 
Jana katika mkutano mkuu wa chadema Lowasa alisema atachukua ushindi asubuhi tu hiyo tarehe 25 oct, asubuhi maana yake kabla ya saa sita mchana atakuwa ameshatangaza ushindi, sasa kura zitapigwa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni, sasa hiyo asubuhi zitakuwa zimehesabiwa saa ngapi? au kura zinapigwa online?

Nape aliposema "CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono" alisema hiyo mechi itafanyikia uwanja gani? Au mwamuzi atakuwa nani?

Ukijibu hili hutauliza hilo swali.
 
Aisee! Wewe jamaa umekuwa genius ghafla!

Nimecheka kwa nguvu hii comment mussa alan kwa kweli umekuwa mpya,umekuwa na akili zako za original alizokuzaa nazo mama yako hongera sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hivi wanachama Wa chadema huwa mnaelewa mnachikisamia ,hasa hasa tokea 2008 pale mwembeyanga?
 
Back
Top Bottom