Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Jana katika mkutano mkuu wa chadema Lowasa alisema atachukua ushindi asubuhi tu hiyo tarehe 25 oct, asubuhi maana yake kabla ya saa sita mchana atakuwa ameshatangaza ushindi, sasa kura zitapigwa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni, sasa hiyo asubuhi zitakuwa zimehesabiwa saa ngapi? au kura zinapigwa online?
 
Mnakuwaga na kura zenu ambazo huwa mnapiga siku moja kabla ya uchaguzi na kuja kuzitumbukiza kwenye masanduku ya kura.. Anamaanisha uchaguzi huu hamtapata nafasi hiyo.. Kwa hiyo ushindi unaanza kupatikana asubuhi.. Goli la mkono mwisho bafuni..
 
Yaani mwaka huu hamtakaa muibe kura hata moja..na kweli nchi itawaka moto vibaya sana ...CCM mwaka huu mbona mtafurahi sana...yaani sisi tunafurahi sana tukiona mnafurahi
 
Tulia Anko. Vituo vya kura vikishafunguliwa tu Andikeni maumivu. Safari ya uhakika haina msalie mtume.
 
Lowasa ana tatizo la ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu atakuwa alitaka kusema tarehe 26 akasema 25.Angalia hata akiongea ni mtu anahangaika kuongea anashindwa kuunga hoja kama wale wagonjwa wengine wenye matatizo ya kumbukumbu.Sidhani hata uraisi kama yeye ndiye anautaka kuna magenge yanamsukumiza tu agombee kama yale magenge ya Zimbabwe yanayomsukumiza mzee Mugabe aendelee kugombea wakati kajichokea.
 
MUSSA ALLAN; Sasa hivi unachezea timu gani mwenzetu? Sikuoni ukiimba wimbo wa kijani!. Umekosea tyuni au una maanisha? Nifungue Mkuu.
 
Mi nafikiri ni msemo unaomanisha mapema
 
MUSSA ALLAN; Sasa hivi unachezea timu gani mwenzetu? Sikuoni ukiimba wimbo wa kijani!. Umekosea tyuni au una maanisha? Nifungue Mkuu.

Ni mhanga wa bao la mkono Mkuu huyu.. Tumkaribishe kwa mikono miwili.. Ni mwana propoganda mzuri na alikuwa anatusumbua sana hapa jukwaani.. Tuitumie sasa silaha yao wenyewe katika kupambana nao..
 
Labda akija huku atakuwa mpiganaji mzuri. Sikumwona kama tabu wkati yuko kule zaidi ya ubishi tu. Yawezekana kule alikuwa butu kwa kuwa hakuwa na silaha sahihi.

Nami namkaribisha kwenye jeshi, akabe nafasi yake kwa ustadi, weledi na nia safi. Ccm waanze kuondoa personal properties ofisini kabla ya 25 asubuhi!.
 
Jana katika mkutano mkuu wa chadema Lowasa alisema atachukua ushindi asubuhi tu hiyo tarehe 25 oct, asubuhi maana yake kabla ya saa sita mchana atakuwa ameshatangaza ushindi, sasa kura zitapigwa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni, sasa hiyo asubuhi zitakuwa zimehesabiwa saa ngapi? au kura zinapigwa online?

Je nyie mnapo sema 'ushindi ni lazima kama ibara ya 5 inavyosema' ni sahihi?

Last edited by a moderator:
Jana katika mkutano mkuu wa chadema Lowasa alisema atachukua ushindi asubuhi tu hiyo tarehe 25 oct, asubuhi maana yake kabla ya saa sita mchana atakuwa ameshatangaza ushindi, sasa kura zitapigwa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni, sasa hiyo asubuhi zitakuwa zimehesabiwa saa ngapi? au kura zinapigwa online?
waambie JK, Nape Vuvuzela, Kinana Ndovu, wachunge kauli zao kwanza.
 
Mnakuwaga na kura zenu ambazo huwa mnapiga siku moja kabla ya uchaguzi na kuja kuzitumbukiza kwenye masanduku ya kura.. Anamaanisha uchaguzi huu hamtapata nafasi hiyo.. Kwa hiyo ushindi unaanza kupatikana asubuhi.. Goli la mkono mwisho bafuni..

Low as a kuwa Rais nindoto
 
Jana katika mkutano mkuu wa chadema Lowasa alisema atachukua ushindi asubuhi tu hiyo tarehe 25 oct, asubuhi maana yake kabla ya saa sita mchana atakuwa ameshatangaza ushindi, sasa kura zitapigwa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni, sasa hiyo asubuhi zitakuwa zimehesabiwa saa ngapi? au kura zinapigwa online?
Pole mkuu, japo sijui uelewa wako ni mkubwa kiasi gani, but inaelekea lugha na analysis ya mambo, kwako ni tatizo.
 
Yaani mwaka huu hamtakaa muibe kura hata moja..na kweli nchi itawaka moto vibaya sana ...CCM mwaka huu mbona mtafurahi sana...yaani sisi tunafurahi sana tukiona mnafurahi

Duuuuh. Unasubiri kupiga kura!!!!! Zimeshapigwa siku nyiiingi sana. Hata wewe umeshapiga na umepigia CCM. Subiri matokeo tu. CCM 98%
 
Lowasa ana tatizo la ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu atakuwa alitaka kusema tarehe 26 akasema 25.Angalia hata akiongea ni mtu anahangaika kuongea anashindwa kuunga hoja kama wale wagonjwa wengine wenye matatizo ya kumbukumbu.Sidhani hata uraisi kama yeye ndiye anautaka kuna magenge yanamsukumiza tu agombee kama yale magenge ya Zimbabwe yanayomsukumiza mzee Mugabe aendelee kugombea wakati kajichokea.

Ameongea akimaanisha, wewe ndiye mgonjwa maana wenzako wameshaelewa umebaki peke yako, ccm kwaheriiiii..!!
 
Back
Top Bottom