Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa ni mzee wa kipekee ni kama Yesu pale msalabani



mkuu kuongoza nchi kunahitaji busara na hekima na sio kukurupuka na kupiga pushapu
lowassa ana hekima na busara
daktari bingwa wa marekani Ben Carson aka mtanzania/mkenya alisema madaktari wengi marekani wana ujuzi wa hali ya juu na teknologia lakini wachache wana hekima
 
Kwa kila dalili za kampeni na watu wengi wasomi na wasio wasomi zinaonyesha lowassa ni raisi! Pia ukiona kampeni ya ccm na team yake wanavhanganyikiwa hata mgombea anaweweseka na kusema maneno ya kuujumiwa na wana ccm hii ni dalili tosha mambo yako kombo.
Hapa ccm inatapatapa si unajua ukichinja kuku lazima atapetape

Umelipwa sh ngapi kwa huu uzi??
 
Kuanzia 1 oct Oparation Toroka uje. Itakua Kimbunga Kibaya Sana Kwa ccm. Nyeti za Kuku zitakuwa Hadharani.
 
Magufuli amefanya kosa moja kubwa sana la kiufundi huwezi tukana watu wako na chama chako mbele ya umma katikati ya
safari ame demoralize mood za wapambe na kwa sababu amewaaumbuwa sasa watafanya kazi kwa bidii zaidi
 
Edo anachukua nchi hii watu hawataamini. Ila ndio hali halisi.
Jana nikisafiri kutokea Arusha basi zima la klm ni lowassa tu.
 
Bhosheke? Bobalumbuyo? Unene nalishimba lya Buyenze gete ululyukumba abanhu buja gulala.

Sipati picha tarehe 26 Oktoba itakavyokuwa. Waliokosana pengine wataanza kusameheana au pengine ndo watazidi kuchukiana. Mimi nilishaapa kutokosana na mtu kwa ajili ya siasa hizi za kinafiki. Ndiyo maana hata Ng'wanapagi akinitukana navumilia tu after all hatujuani.

Safi sana wakokaya!! Kuna mtu Ndagalu!!! Nkale gete bhokolonja.
 
mkuu kuna wengine akipost kitu fb ukamkosoa basi ana kublock kabisa aiseee........mimi kuna makada km wa3 hv wa ccm ni rafk zangu na nimesoma nao lakn mpk sasa wameniblock.............kuna watu wanachukulia siasa way too serious

tatizo lenu ni matusi mkiacha matusi na kufuata mikumbo wa kuandika ujinga hakuna mtu atawablock..........Badilikeni.
 
wakina Mama...Lowassa!

Vijana.....Lowassa!


Wazee......Lowassa!
 
We unafikiri mjomba wako mkwere john mtembezi aka vasco dagama amemfanya nini??!!


UOTE=Mr.Junior;14134624]Acha kumfananisha Yesu na huyo mzee wenu.[/QUOTE]
 
Njia ni nyeupee waache washindwe kumwambia mfalme kuwa yuko uchi
 
Kwa kila dalili za kampeni na watu wengi wasomi na wasio wasomi zinaonyesha lowassa ni raisi! Pia ukiona kampeni ya ccm na team yake wanavhanganyikiwa hata mgombea anaweweseka na kusema maneno ya kuujumiwa na wana ccm hii ni dalili tosha mambo yako kombo.
Hapa ccm inatapatapa si unajua ukichinja kuku lazima atapetape

Unamalizia kiroba cha ngapi?
 
Back
Top Bottom