maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Yeah, hawa jamaa wanakera sana! Wote wapo na EL, kuna Aloyce Kimaro, Davis Mosha, Aggrey Mwanri na wengine wengi!
Ulitaka wawe wapi?
Yeah, hawa jamaa wanakera sana! Wote wapo na EL, kuna Aloyce Kimaro, Davis Mosha, Aggrey Mwanri na wengine wengi!
Yaani KIMARIO ningeshangaa kama usingeandika hivyo.Akina KIMARIO mnampenda sana Lowasa sisi wengine akina Mwakidodile tukiwaambia hapiti mnaweza tupiga mawe
Mkuu kuna bandiko lako umeliweka ni reeeeeeeefu nilidhani wewe ni mchambuzi kumbe ni walewale buku 7. Na hii wiki naona mtachafua sana Jukwaa mana mshapoteanaYaani KIMARIO ningeshangaa kama usingeandika hivyo.Akina KIMARIO mnampenda sana Lowasa sisi wengine akina Mwakidodile tukiwaambia hapiti mnaweza tupiga mawe
Yaani KIMARIO ningeshangaa kama usingeandika hivyo.Akina KIMARIO mnampenda sana Lowasa sisi wengine akina Mwakidodile tukiwaambia hapiti mnaweza tupiga mawe
Kila ninapopita kila ninaposikia kila ninaposikiliza kila ninapoangalia namwona lowasa akienda kupigiwa kura na makundi yote si wazee si vijana si wanawake kila mmoja ameapa kumpigia lowasa kura ya urais si mijini si vijijini kote wanamwona lowasa kua ni rais wao
Yaani KIMARIO ningeshangaa kama usingeandika hivyo.Akina KIMARIO mnampenda sana Lowasa sisi wengine akina Mwakidodile tukiwaambia hapiti mnaweza tupiga mawe
kama kelele zinapiga kura basi ndie mshindi....
Wanaopiga kelele wana vichinjio
Mwenyekiti wa chadema amesema ya kwamba Chama chake ,,hakitakubali matokeo kama yakiwa yamepikwa", huwo usemi wa Bw.Mbowe unamaanisha nini? Ni kwamba liwalo na liwe ukawa wameshajipanga kukataa matokeo kwa maana unaposema hatutakubali matokeo yakiwa yamepikwa hivi kwenye nchi inayoendelea na masikini kama TanZania unawezaje kuwa na 100% free and fair elections?
Ndiyo maana siku zote hata wasimamizi wa kimataifa husema kwamba "a part from minor irregularities the alection was free and fair" ukiachilia mambo madogo madogo kama kuchelewa kufika kwa sanduku la kura au kituo kuchelewa kufunguliwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki!
Hivyo nasema Serikali ijiandae vizuri dhidi ya hawa mafisadi kwani wameshadhamiria kufanya chochote ili kushinikiza kuwa sehemu ya Serikali ijayo na kama watu watalemazwa au kufa haijalishi maadamu hakuna raia wa KLM atakayeumizwa kwani Moshi hakuna maandamano!
haya maneno tulikua tunaambiwa watanzania alafu sijui tukalishwa nini nakubadilishiwa maneno nayo tukayaamini na kuyasahau haya, hivi ni kweli jamani wote tukafuata bichwa la mtu mmoja alie uza chama!? kama ni kurogwa mwambieni mganga hakumaliza dawa mimi haijaniingia wa magufuli haijamuingia