Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Anadhani alivyoinunua CHADEMA kiulaini asbh ndo ataichukua nchi ya Tanzania? Raisi ni Magufuli wacha Lowasa awe msindikizaji tu
 
Wewe ndiyo umenunuliwa na magamba ili uongee ulivyoongea huna jipya chamsingi kula buku saba yako kutoka lumumba
 
Nimeawasili Hapa Muda Huu Na Kuongea Na Mwenyekiti Wa Vyama Vinavyunda Umoja Wa Katiba Ya Wananchi Ukawa, Nimegundua Tanzania Bila Ccm Inawezekana!
 
Nafasi ya Tanu imechukuliwa na CCM na nafasi ya CCM imechukuliwa na UKAWA.
 
Nimeawasili Hapa Muda Huu Na Kuongea Na Mwenyekiti Wa Vyama Vinavyunda Umoja Wa Katiba Ya Wananchi Ukawa, Nimegundua Tanzania Bila Ccm Inawezekana!
Unga Unga eeh? Hata post yenyewe ya kuunga unga. Sasa ulitegemea Mbowe akwambie nini? Kwamba Tanzania Bila CCM haiwezekani?
 
Ukweli kwamba Lowasa atashinda uchaguzi Mkuu ujao hauna pingamizi wala si wakutilia shaka ,sasa ninalowashauri ndugu zangu wa CCM haswa Magufuli na wenzake waliobakia kuwa wasalimu amri tu ,wasisubiri kuadhirika wakubali wameshindwa na haina haja ya kuendelea na kampeni.

Lowassa amekwisha shinda tena yupo mbali sana sana ,asiekubali kushindwa si mshindani CCM kubalini yaishe jipangeni tena hapo 2020 !
 
Lowasa amekwisha shinda tena yupo mbali sanasana ,asiekubali kushindwa si mshindani CCM kubalini yaishe jipangeni tena hapo 2020 !

Hizi ni ndoto za asubuhi kama sio za mchana hv kwa akili yako Lowasa ashinde kwa kura zipi hasa mnazotegemea? maana wananchi wa leo sio wakushikiwa akili kama wewe Lowasa Nooooo kamwe hataingia Ikulu ya wananchi labda ile ya kina mtei pale kinondoni ofisi za Chadema
 
Mwananchi wewe usitusemee wengine ebooo
 
Hahaaa kusikia hausikii ,Owky..; Na kuona hauoni???
Mwenye macho haambiwi tazama. Mambo mswano kwa Magufuli.!!
Nasema Magufuli apishwe tu !! HAKUNA NAMNA NYINGINE.
#Hapa kazi tu.
 
Kweli naunga mkono hoja wakubali mapema wemeshindwa lasivyo watatumia garama kubwa na mwishowe watashindwa na wajue lowasa anataka akute pesa za kukutosa hazina ole wenu muzimalize mtamjua lowasa ni mzee wa maamuzi magumu
 
Ukweli kwamba Lowasa atashinda uchaguzi Mkuu ujao hauna pingamizi wala si wakutilia shaka ,sasa ninalowashauri ndugu zangu wa CCM haswa Magufuli na wenzake waliobakia kuwa wasalimu amri tu ,wasisubiri kuadhirika wakubali wameshindwa na haina haja ya kuendelea na kampeni.

Lowasa amekwisha shinda tena yupo mbali sanasana ,asiekubali kushindwa si mshindani CCM kubalini yaishe jipangeni tena hapo 2020 !

Ndg yangu uliyoongea ni sawa lakini laiti ungejua mipango miovu inayopangwa Lumumba hakika ungesikitika.Utashangaa idadi ya askari siku hiyo itakuwa maradufu kwani mpaka makomandoo SIKU ya uchaguzi watavaa nguo za polisi
 
Hizi ni ndoto za asubuhi kama sio za mchana hv kwa akili yako Lowasa ashinde kwa kura zipi hasa mnazotegemea? maana wananchi wa leo sio wakushikiwa akili kama wewe Lowasa Nooooo kamwe hataingia Ikulu ya wananchi labda ile ya kina mtei pale kinondoni ofisi za Chadema

Nakubaliana na wewe kwamba Lowassa hataingia Ikulu.

Lakini ukweli ni kwamba Lowassa atapata ushindi mkubwa sana.

Dalili zinaonyesha kwamba, haki haitatendeka. CCM hawaonyeshi dalili ya kukubali kuachia madaraka hata kama watashindwa.

Ndiyo maana mnakataa kila jambo la upande wa upinzani hata kama lina ukweli wa wazi.

Nadhani unaposema Lowassa hawezi kwenda Ikulu, una maanisha msimamo huo wa kung'ang'ania madaraka ndiyo turufu pekee iliyobakia mkononi.

Kwa hiyo watu wajiandae kuendelea kutawaliwa bila ridhaa.
Tuna safari ndefu sana ya kujenga demokrasia chini ya watawala wenye mawazo mgando wanadhani wana hakimiliki ya kutawala hata kama watawaliwa wamechoka, wanataka mabadiriko.

Na nyie mnao suport hiki chama ndiyo wanufaika wa huo mfumo. Mnatunyonya hasa, si bure maana mwenye uzalendo wa kweli hawezi ku suport ccm, never.
 
Hayaishi mpaka muisome namba! Tunasubiri kipigo cha mbwa mwizi tarehe 26/10/2015!
 
Ukweli kwamba Lowasa atashinda uchaguzi Mkuu ujao hauna pingamizi wala si wakutilia shaka ,sasa ninalowashauri ndugu zangu wa CCM haswa Magufuli na wenzake waliobakia kuwa wasalimu amri tu ,wasisubiri kuadhirika wakubali wameshindwa na haina haja ya kuendelea na kampeni.

Lowassa amekwisha shinda tena yupo mbali sana sana ,asiekubali kushindwa si mshindani CCM kubalini yaishe jipangeni tena hapo 2020 !

Kweli naunga mkono hoja wakubali mapema wemeshindwa lasivyo watatumia garama kubwa na mwishowe watashindwa na wajue lowasa anataka akute pesa za kukutosa hazina ole wenu muzimalize mtamjua lowasa ni mzee wa maamuzi magumu

Ccm sikio la kufa.
 
Nyie ma CCM hamuoni aibu hata simbachawene katupigia kampeni maana hata gas kumbe serikali haihusiki ni deal la wa.....
Mambo yote lowasaaaaaaa ikulu asubuhi pombe mwisho bar lowasa mpaka ikulu
 
Ukweli kwamba Lowasa atashinda uchaguzi Mkuu ujao hauna pingamizi wala si wakutilia shaka ,sasa ninalowashauri ndugu zangu wa CCM haswa Magufuli na wenzake waliobakia kuwa wasalimu amri tu ,wasisubiri kuadhirika wakubali wameshindwa na haina haja ya kuendelea na kampeni.

Lowassa amekwisha shinda tena yupo mbali sana sana ,asiekubali kushindwa si mshindani CCM kubalini yaishe jipangeni tena hapo 2020 !

Akil yako inaendana na hilo jina lako kabisaaa
 
Hizi ni ndoto za asubuhi kama sio za mchana hv kwa akili yako Lowasa ashinde kwa kura zipi hasa mnazotegemea? maana wananchi wa leo sio wakushikiwa akili kama wewe Lowasa Nooooo kamwe hataingia Ikulu ya wananchi labda ile ya kina mtei pale kinondoni ofisi za Chadema

"Lowasa Nooooo kamwe hataingia Ikulu"

Hiyo kauli niliyokunukuu hapo juu ni ya kipumbavu kabisa kabisa, unaweza kusema hivyo kama kura zinapigwa nyumbani kwako mbweha we, wakati mwingine you guys push me beyond the limits.
 
Back
Top Bottom