Kwa kila dalili za kampeni na watu wengi wasomi na wasio wasomi zinaonyesha lowassa ni raisi! Pia ukiona kampeni ya ccm na team yake wanavhanganyikiwa hata mgombea anaweweseka na kusema maneno ya kuujumiwa na wana ccm hii ni dalili tosha mambo yako kombo.
Hapa ccm inatapatapa si unajua ukichinja kuku lazima atapetape
Rais wa Face book
Ukweli ndiyo huo ni lazima Lowassa ndiye Rais. Niko kikazi mkoa Fulani kwa wiki kadhaa. Ninakuhakikishia Lowassa ataongoza mikoa zaidi ya 15. Na kanda ya ziwa watagawana kura ambapo inategemewa na Magufuli.
Yaani hizi siasa yaani ni mpaka raha. Mnavyotiririka na kukubaliana utafikiri mna uhakika na mkisemacho. Hata kama ni kweli lakini in politics anything can happen at anytime. Kuweni na subira. Oktoba 26 itafika!
Kwa kila dalili za kampeni na watu wengi wasomi na wasio wasomi zinaonyesha lowassa ni raisi! Pia ukiona kampeni ya ccm na team yake wanavhanganyikiwa hata mgombea anaweweseka na kusema maneno ya kuujumiwa na wana ccm hii ni dalili tosha mambo yako kombo.
Hapa ccm inatapatapa si unajua ukichinja kuku lazima atapetape
Bhosheke? Bobalumbuyo? Unene nalishimba lya Buyenze gete ululyukumba abanhu buja gulala.Shimba ya buyenze aka bhosheke umeongea pointi tupu. Wengi tupo hapa kusukuma masaa yaende japo imefikia hatua watu tunachukiana hadi mtu ana ku unfriend Facebook!!
Bhosheke? Bobalumbuyo? Unene nalishimba lya Buyenze gete ululyukumba abanhu buja gulala.
Sipati picha tarehe 26 Oktoba itakavyokuwa. Waliokosana pengine wataanza kusameheana au pengine ndo watazidi kuchukiana. Mimi nilishaapa kutokosana na mtu kwa ajili ya siasa hizi za kinafiki. Ndiyo maana hata Ng'wanapagi akinitukana navumilia tu after all hatujuani.