Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Hahaaa kusikia hausikii ,Owky..; Na kuona hauoni???
Mwenye macho haambiwi tazama. Mambo mswano kwa Magufuli.!!
Nasema Magufuli apishwe tu !! HAKUNA NAMNA NYINGINE.
#Hapa kazi tu.
Mabadiliko kwanza halafu kazi baadaye!
 
Ahahahaha eti lowassa aingie ikulu.we left him a lesson kule chimwanga nadhani hakuuelewa ujumbe ...money can't buy everything..you and membe dwarfed magufuli with ur money and influences still he prevailed,ur arch rival learnt ww hujaelewa tutakukumbusha tarehe 25
 
Wakitishia askari tutapiga kura za chuki zidi ya ccm
 
Huyu lowassa mnampa moyo tu hila Rais ni Magufuli huo ndo ukwel tena ukwel mchungu
 
Lowasa ajiandae tar 25 kuyapata aliyoyapata zile na za 5 mbaya sana kwake nyota yake ya kukatwa kila tarakimu ya 5 inapoishia
 
Lowassa ndiye raisi ajaye na Kikwete atamkabidhi nchi bila kipingamizi
 
Kimsingi mwangwi wa ushindi wa urais kwa mh.Lowasa unasikika na hata dola wanajua lakini wanachofanya sasa hv Ukawa ni kutanua upenyo wa Mh.Lowasa kutangazwa.

Ikumbukwe katiba yetu ina msimamo wa chama kimoja japo kipengele kidogo kiliruhusu uwepo wa vyama vingi.Hivyo inasema (katiba)kuwa atakayetangazwa na tume ndiyo rais na hakuna kipengele kinachoruhusu matokeo kupingwa mahaksmani.Na kipengele hki ndo kinawapa kiburi ccm kwamba anayehusika na kutoa matokeo anaweza kushinikixwa kwa vitisho akatamka just kutamka tu.

Hakuna vigezo vya kutamkwa mshindi hata kama kuna udanganyifu.

Wana ccm na Ukawa wanapaswa kujua hilo.

By:ccm damdam.
 
Hilo liko wazi,na ndo maana watu wanapata kiwewe kila kukicha,mara tutakutana msituni,mara kinyerezi niya mtu binafsi,mara umeme mgao ni wa kutengeneza,mara mkuu wa majeshi yuko nje kikazi,mara .......................
 
Tutalinda kura zetu na watalazimika kumtangaza lowasa kuwa rais
 
Ninyi hammjui Lubuva nyie! Huyo atamtangaza tu hata kama atawekewa bunduki kichwani! Labda wampige sumu kabla!!
 
Kila ninapopita kila ninaposikia kila ninaposikiliza kila ninapoangalia namwona lowasa akienda kupigiwa kura na makundi yote si wazee si vijana si wanawake kila mmoja ameapa kumpigia lowasa kura ya urais si mijini si vijijini kote wanamwona lowasa kua ni rais wao
 
Hakuna ubishi ushindi ni mkubwa mno kwa Lowassa .

Siku zote Utawala mbovu zaidi katika falme huchukiwa wananchi na huanguka vibaya mno.Wizi wa mali za umma ktk utawala tulionao umekuwa mkubwa kuliko awamu zote kwahiyo ni kibali tosha kwa Mungu kuiondoa ccm
 
Kila ninapopita kila ninaposikia kila ninaposikiliza kila ninapoangalia namwona lowasa akienda kupigiwa kura na makundi yote si wazee si vijana si wanawake kila mmoja ameapa kumpigia lowasa kura ya urais si mijini si vijijini kote wanamwona lowasa kua ni rais wao

Yaani KIMARIO ningeshangaa kama usingeandika hivyo.Akina KIMARIO mnampenda sana Lowasa sisi wengine akina Mwakidodile tukiwaambia hapiti mnaweza tupiga mawe
 
Yaani KIMARIO ningeshangaa kama usingeandika hivyo.Akina KIMARIO mnampenda sana Lowasa sisi wengine akina Mwakidodile tukiwaambia hapiti mnaweza tupiga mawe
Yeah, hawa jamaa wanakera sana! Wote wapo na EL, kuna Aloyce Kimaro, Davis Mosha, Aggrey Mwanri na wengine wengi!
 
Back
Top Bottom