Themi1
Senior Member
- Jul 23, 2015
- 171
- 70
Mtachanganyikiwa tr 26 oct na fisadi lenu.[/QUOTE mtanganyikiwa nyie hadi mnafuata bushoke silaa mshumbuz awe kampeni manager
Mtachanganyikiwa tr 26 oct na fisadi lenu.[/QUOTE mtanganyikiwa nyie hadi mnafuata bushoke silaa mshumbuz awe kampeni manager
lowasa si msafi ila kura .ampigia
kwa umoja wetu tushiriki katika kuleta mabadiriko ya kiuchumi na kimfumo katika taifa letu. Tanzania ni yetu sisi tunaoishi leo na vizazi vyetu vijavyo. Tumuone lowasa kama shujaa aliyetumwa kuja kulikomboa taifa hili linaloharibiwa makusudi. Lowasa ni kama habari ya mwanampotevu sasa anarudi nyumbani.
Walambo mje uku walambo mje huku; yeeeeeee. tokeni ccm njooni tujenge Tanzania mpya.
LOWASA CHINI KWA CHINI, LOWASA CHINI KWA CHINI YEEEEEEE
Umenikumbusha mbali saaana! Walambo walambo mjae huku we see eee! Hapo boizia Na kazima lazima wakae mbali.Big up sana kwa Machine Yetu EL,ndo mana ana roho ya ukombozi,Mzuka Wa Milambo bado anaoo.Hapa sasa naamini kua October 25 asubuhi Nchi ipo walambo oyeeeee! Nimkumbuke Mwl Zoma,Katrige n.k.
Kuanzia awamu ya tatuya utawala wa nchi yetu imekuwa ikiongozwa na kundi la mafilisi wa mali za taifa letu na kupelekea umasikin mkubwa mno kwa watanzania. Watanzania tuikatae ccm kwa kuinyima kura hapo october 25 mwaka huu, jiandae kupiga kura ya ndiyo kwa LOWASSA
Unamfahamu Msemakweli?