Isaya Nehemia
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 555
- 452
Nami nahesabika kwa Lowasa
Kila siku unafukuzwa na mgambo na deli lako la kahawa bado unashabikia CCM?
Hovyooo!
ccm msione aibu jitokezeni.
Nami nahesabika kwa Lowasa
ukawa 63
Wajitokeze wapi wako ICU hapa ni lowasaaa tu
Mi wa 64
Lowassa Chadema
Na mie Lowasa!
Ingawa simpendi LOWASA lakini CCM siipendi zaidi.........HUU NI WAKATI WA MABADILIKO AMKAAAAAA MTANZANIAAAAAAAAAA..................
Nami nahesabika kwa Lowasa