Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

mkuu angalia hata hii post, views ni 124 wakati comment na like hazizidi hata 15, maana yake wengi wameangalia na kupita, hao ndo ccm, ndo maana nasema msije mkayakataa matokeo maana mnadhani kura ni maneno.

uzi ndio kwanza bado mpyaa, mfa maji wewe
 
Urais wa Lowassa umetabiriwa tokea zamani . Na yote tunayo yaona mitaani ni ishara tosha kwamba tabiri hizo zina kwenda kutimia. Kampeni za CCM ni za nguvu ya pesa na sio kampeni za nguvu za watu. " Peoples Power" Viva.
 
Mpendwa na wanamabadiliko mpendwa na wana ccm Edward Ngoyai Lowasa ndio rais mpya wa tz
 
MaCCM hawapiti humu ama wanapita ila wanahofia wakitoa hoja MaCHADEMA wengi wataacha kujibu kwa hoja wataanza kutukana tena pengine matusi ya nguoni, hivyo wanaamua kuwapisha wenye matusi wapite. Kumwacha mtu apite siyo kushindwa ila inategemea unazungumza na nani au la, unabadilishana mawazo na nani. Kwa kawaida tunabadilishana mawazo na mtu aliyepia na mawazo, unayedhani ukiongea naye utaambua jambo jipya toka kwake. Ni kawaida watu wazima wote wakiona genge la wahuni wanaongea mambo yao, hawajihusishi nao huwapita kuelekea kwenye genge linalofanana nao.
JF. ni kama imejipambanua kama chombo cha CHADEMA, huandika habari zinashadadia mambo ya Chama ni kama Gazeti la Uhuru linavyoshabikia CCM. Utakuwa mwendawazimu kama utaandika makala inayoshabikia UKAWA ukaipeleka Gazeti la Uhuru. Haitatoka. Lakini pia utakuwa mtu wa ajabu kweli kweli kama utatafuta habari nzuri za CHADEMA katika Gazeti la Uhuru. Utaula wa chuya, hutapata hali kadhalika ukitafuta habari chanya za CCM katika Gazeti la Tanzania Daima.
Kutokuwepo washabiki wa CCM JF siyo kipimo cha kukubalika kwa Liwasa na kuwepo washabiki wengi wa Liwasa humu ndani pia siyo kipimo cha kukubalika inawezekana mashabiki wa CCM wapo mahali pengine. Hatutegemei mashabiki wa Yanga wawepo kwenye uwanja wa mazoezi Klabu ya Simba au shabiki wa Simba awepo kwenye jukwaa la Yanga
Mnaosema Lowassa Hawezi kushinda ina maana hata dalili hamzioni? au ndo ushabiki tu unawasumbua?

Ebu Angalia Tu Hata Kwa Hii Thread Ccm Watapita Wangapi?
 
Ulipo tupo. Ninaichukia ccm kuliko shetani wabunge wake wanatukana bungeni wanatunga sheria za kunajisi taifa kwa mfano ya mafuta na gas sio kwa faida yetu ni kwa wageni viongozi wetu wamekua madalali mpaka ninajisikia aibu mbele ya wageni wanaokuja hapa nchini wengine wanapewa nafasi serikalini lakini si tu kwamba awatimizi wajibu wao bali wala hata awajui wajibu wao nini
 
Au tuwazukien hapo walipopangiwa nyumba tuwarambe vimeza ugal then tutembee mbele
Kuna vijana wa IT walipelekwa china mwezi machi kwa kazi hiyo pia.Dawa kupiga kura kuzilinda kuhesabu hapo hapo kituoni.Tusikubali masanduku yabebwe kupelekwa wilayani
 
mr bantulile, Jf si kama chombo chadema kama unavyodhani, Hapa kuna mkusanyiko wa watu wote kama hivi unavyoona, wewe ni ccm na upo hapa, tatizo ni kwamba ni dalili za kushindwa ndo zinawafanya mjifiche,

kwa maana unayoipeleka ukisema Jf ni kama chombo cha chadema ni sawa na kusema Tanzania ni chombo cha Ccm kitu ambacho hakipo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom