mwakweya70
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 414
- 106
siyo Tanzania labda nchi ya kusadikika,watanzania wanajitambua na wanamfahamu fika Lowassa,na wala hawajasahau mambo yake,kwa hiyo ushindi kwake ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano,acha aendelee,kunogesha genge,majukwaani na dakika zake kumi,maneno yanahesabika kama tembe,anaogopa akisema mengi atagurumbusha mikashfa yake lukuki.