Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Mnaosema Lowassa Hawezi kushinda ina maana hata dalili hamzioni? au ndo ushabiki tu unawasumbua?

Ebu Angalia Tu Hata Kwa Hii Thread Ccm Watapita Wangapi?

mkuu naomba nikufundishe namna ya kufanya tathimini, angalia waliocoment hapo utajua wanaounga mkono, angalia like utakazopata hizo nazo zinakuunga mkono na mwisho angalia view halafu toa like na waliocoment vizuri na wanaobaki jua hao ni ccm, ccm si watu wa maneno sana bali vitendo zaidi, usanii mmebaki nao nyinyi.
 
hahaaa thread kama hizi zinafanya wengi wasikoment.
 
Ccm lazima wakimbie nchi!tatizo wizi wa kura hujaona jana eti kikao cha lukuvi na lubuva???
 
mkuu naomba nikufundishe namna ya kufanya tathimini, angalia waliocoment hapo utajua wanaounga mkono, angalia like utakazopata hizo nazo zinakuunga mkono na mwisho angalia view halafu toa like na waliocoment vizuri na wanaobaki jua hao ni ccm, ccm si watu wa maneno sana bali vitendo zaidi, usanii mmebaki nao nyinyi.
Nyinyiem ndio 'Ruin' kwa wasanii.
 
Ccm lazima wakimbie nchi!tatizo wizi wa kura hujaona jana eti kikao cha lukuvi na lubuva???

wameleta mpaka watu wa ku hack mtandao wa BVR wamewapangishia nyumba Upanga,
Tunawaangalia tu,***** zao.
 
Back
Top Bottom