Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

Lakini ni ukweli unasikitisha kwamba wananchi wengi wa vijijini hawana habari na vuguvugu la kisiasa linaloendelea..wengi wao wanajua tu ccm ndio inayodumisha amani na kuwa isipotawala vita kubwa itatokea..umati huu uliobado na ujinga mwingi ndio wapiga kura wazuri wa chama cha mafisadi na bahati mbaya wako wengi mno ukilinganisha na wavuguvugu ambao wengi wetu tuko mijini tu..kwahyo nafasi ya ccm kuendelea kubaki ni kubwa zaidi

mkuu hizo kata nilizokutajia ni vijijini kabisa. mfano kijiji cha MLOKA kinapakana na POLI LA SEROU GAME RESERVE. WAMECHOKA NA CCM
 
Kwa zaidi ya wiki tatu nilikuwa napita maeneo ya jaribu, kivinje, bungu, kibiti, mkonngo, utete, kilimani, mloka, nyamwage, somanga mpaka kilwa masoko. Nilichojionea ni anguko baya kwa ccm. Wenyeji wa maeneo hayo wamesikitishwa na kusahauliwa kwa wilaya ya rufiji na kilwa. Barabara yenye rami ni moja tu yaani kilwa road. Ukichepuka barabara nyingine yeyote ni vumbi na hazipitiki kipindi cha mvua. Wanasema wanyama aina ya tembo na faru ambapo zamani walikuwa wanaonekana hata katika mashamba yao kwa sasa hawapo tena. Nilifika mloka nilishangaa kuona watu wakisema ccm huku hatuitaki tena. Kama mtakumbuka katika uchaguzi wa serikali za mitaa wilaya ya rufiji cuf walishinda kwa zaidi ya asilimia 65% lakini wanasema hizo 35% walizopata ccm wasitegemee tena. Maji yamekuwa tabu wakati mtu rufiji upo jirani. Dai lao kubwa ni kama serikali ya ccm wameshindwa kusamabaza maji kwa warufiji pamoja na kilwa kwa kutegemea mto rufiji je wataweza kufanya nini?. Pia wanalalamika kama waziri wa afya ambaye alishindwa ubunge alishindwa kuboresha huduma ya affya hata kwenye kata moja je nani ataweza?.... mao, mao..

Tatizo la CUF wengi waliopewa majimbo hayo hawajarudisha form,wakidhani wanaikomoa CHADEMA.
 
Lakini ni ukweli unasikitisha kwamba wananchi wengi wa vijijini hawana habari na vuguvugu la kisiasa linaloendelea..wengi wao wanajua tu ccm ndio inayodumisha amani na kuwa isipotawala vita kubwa itatokea..umati huu uliobado na ujinga mwingi ndio wapiga kura wazuri wa chama cha mafisadi na bahati mbaya wako wengi mno ukilinganisha na wavuguvugu ambao wengi wetu tuko mijini tu..kwahyo nafasi ya ccm kuendelea kubaki ni kubwa zaidi

Kijiji gani hicho mkuu hakina redio au televisheni mpaka wasijue tanzania inaendaje
 
Lakini ni ukweli unasikitisha kwamba wananchi wengi wa vijijini hawana habari na vuguvugu la kisiasa linaloendelea..wengi wao wanajua tu ccm ndio inayodumisha amani na kuwa isipotawala vita kubwa itatokea..umati huu uliobado na ujinga mwingi ndio wapiga kura wazuri wa chama cha mafisadi na bahati mbaya wako wengi mno ukilinganisha na wavuguvugu ambao wengi wetu tuko mijini tu..kwahyo nafasi ya ccm kuendelea kubaki ni kubwa zaidi

Hapana sasa hivi wananchi wameamka sana
 
Tathimin yako tu hiyo na mapenzi yako,ila si kwa urahisi namna hiyo,magufuli ni taugh sana kwa lowassa
 
Tatizo la ukawa now ni mawili
1-afya ya mgombea
2- kundi la wamama watu wazima...kundi hili wengi ni ccm

Otherwise huu uchaguzi ni wao
wasiposhinda wasimlaumu mtu
 
Lakini ni ukweli unasikitisha kwamba wananchi wengi wa vijijini hawana habari na vuguvugu la kisiasa linaloendelea..wengi wao wanajua tu ccm ndio inayodumisha amani na kuwa isipotawala vita kubwa itatokea..umati huu uliobado na ujinga mwingi ndio wapiga kura wazuri wa chama cha mafisadi na bahati mbaya wako wengi mno ukilinganisha na wavuguvugu ambao wengi wetu tuko mijini tu..kwahyo nafasi ya ccm kuendelea kubaki ni kubwa zaidi

Kwahiyo Imani Yako Wewe Unajua Wote Walioko Mjini Wamezaliwa Na Kukulia Mjini? Na Kwa Taalifa Yako Watu Wa Vijijini Wanaiga Mambo Mengi Mijini
 
tatizo la cuf wengi waliopewa majimbo hayo hawajarudisha form,wakidhani wanaikomoa chadema.

mkuu asikudanganye mtu "hakuna sehemu hata moja ambayo cuf hawana mgombea , unayoyasema wewe yametokea mtwara na sio rufiji, kilwa, lindi wala luangwa. Kote cuf wameweka wagombea kuanzia ubunge mpaka udiwani.
 
kwa zaidi ya wiki tatu nilikuwa napita maeneo ya jaribu, kivinje, bungu, kibiti, mkonngo, utete, kilimani, mloka, nyamwage, somanga mpaka kilwa masoko. Nilichojionea ni anguko baya kwa ccm. Wenyeji wa maeneo hayo wamesikitishwa na kusahauliwa kwa wilaya ya rufiji na kilwa. Barabara yenye rami ni moja tu yaani kilwa road. Ukichepuka barabara nyingine yeyote ni vumbi na hazipitiki kipindi cha mvua. Wanasema wanyama aina ya tembo na faru ambapo zamani walikuwa wanaonekana hata katika mashamba yao kwa sasa hawapo tena. Nilifika mloka nilishangaa kuona watu wakisema ccm huku hatuitaki tena. Kama mtakumbuka katika uchaguzi wa serikali za mitaa wilaya ya rufiji cuf walishinda kwa zaidi ya asilimia 65% lakini wanasema hizo 35% walizopata ccm wasitegemee tena. Maji yamekuwa tabu wakati mtu rufiji upo jirani. Dai lao kubwa ni kama serikali ya ccm wameshindwa kusamabaza maji kwa warufiji pamoja na kilwa kwa kutegemea mto rufiji je wataweza kufanya nini?. Pia wanalalamika kama waziri wa afya ambaye alishindwa ubunge alishindwa kuboresha huduma ya affya hata kwenye kata moja je nani ataweza?.... mao, mao..

kwa faida yako; huko watu wengi hawakujiandikisha kwenye daftrai la wapiga kura

hakuna dalili za bvr kupita maeneo hayo tena .

Pole yako

View attachment 280959
 
WAMEJIANDIKISHA;

ANGALIA HAPO CHINI ; UCHAGUZI NI STATISTIC AU DATA SIO MBWEMBWE

attachment.php
 
Itakavyokuwa lakini msisahau kuwa CCM tayari wana majimbo matatu--Bumbuli, Peramiho na Ludewa parliamentary candidate wamestand unopposed na kuna kata pia sikumbuki idadi wagombea wamesimama bila kupingwa. hili tusilisahau wakati tunajadili haya mambo ya politiki
 
Back
Top Bottom