kibaya-kenya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 649
- 166
Duu!Mwanakijiji,
watu kama nyie ndio mnawaomba wake zenu samahani mkiwafumania wake zenu wanapigwa bao na wanaume wengine, yaani kwa upeo wako uandishi hii sababu ya Malawi kutaka kumega sehemu ya Tanzania ni ndogo sasa sijui kubwa kwako itakuwa ni ipi?
Chama
Gongo la mboto DSM
Mimi nashangaa chain of command yetu iko wapi. Lowassa yeye ni nani kuzungumza kwa niaba ya JWTZ? Kamanda in Chief yuko wapi? Yaani Tanzania yetu imeshaparaganyika kiasi kwamba yeyote tu anaweza kuzungumza kwa niaba yake? Suala la vita au kuwa tayari kwa jeshi letu ni kamanda in chief peke yake anayeweza kulizungumzia. When was the last time you saw Lowassa inspecting a guard of honour?
eti wa Malawi ni ''WENZETU''
Mkuu you are being narrow minded.
Dont let your political affiliations na inlinations zikuzibe ufahamu wako wa kujua what is at stake.
Confrontations na Malawi zikianza hazitachagua mtu wa chama chochote na msimamo wake.
I usually dot aggree with EL , hasa katika stint yake ya uwaziri mkuu.
What is at stake here is bigger than your wildest imaginations.
Hivi umejiuliza haya mambo why now?
Is it a coincidence kwamba wakati huu huu na Mama Clinton yuko Malawi?
Na Malawi haikufanya kosa , IMELIGAWA ENEO LA EXPLORATION LILILO NDANI YA SEHEMU TUNALOLIDAI!
Explorers wenyewe:British!
It takes some brains to put two and two together.
Mtu usisahau vile vile kwa tamko hili la Lowassa limetolewa na Sitta na hata Waziri Membe.
Muchunguzi, kwa akili yako would you think that is also a coincidence!
That is called building up the pressure on Malawians.
Hivi wewe ulitaka Lowasa akubaliane na Malawi, usisahau kuwa pamoja na ufisadi wake bado ni mwenyekiti wa kamati ya ULinzi na Usalama.
Mkuu sampling ya hizo facts na analysis yake lazima itoe tamko thabiti- for now it doesent matter who says it, but imesemwa n Tanzania.
Soma link ya jamaa mmoja hapo juu , huko Malawi ujumbe umeshafika.
You know what? I will never be a vacuole like you are easily becoming.
Why go arrow headed to everyone against EL ideas? Insist on what you want and know, meanwhile forgetting to respond to the obvious? We have many of this type. You mentioned; The Sittas, the Membes all falling into this unnecessary trap. Unfortunately the thread is about EL.
Hii kamati ya ulinzi and …. Ni ya Bunge. Bunge and only Bunge. Siyo ya wizara ya Ulinzi au hata ya mkoa wa Mbeya. Powers zake zinabaki kuwa chini ya Bunge, finito!
Tusikae nje kwenye sofa tukisha ona mic then tunakuwa hysterical na kusema yanayo reflect yaliyo moyoni. NO NO! tusameheane.
Unaelekea kusema kitu kisichohitaji ushujaa wa vita vya Kagera kukishinda. Hapo unataja safari ya mama Crinton. Kweli hata kama siyo mpaka kuna lolote la kufanya? Hakutakuwa na ushujaa wa kusema songa mbele kama drones zitaanza kupita anga la Dar.
Kwani kila mtu akitoa tamko litamzuia US kufukuza mpagaji yeyote wa magogoni? Na kuwaambia mpaka ni lakeshore?
Unless we agree this is a country of stupid and so we are, I will never buy such excuses that allow every microphone holder to proclaim an imminent war against a neighbouring state.
I wish we are all less ignorant to make useless (so) leaders discover their impotence. Sorry!*
Mkuu Jasusi, Lowassa ndiye M/Kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, hivyo anazo nguvu na mamlaka yote kuzungumzia hili!.
Kwa powers alizo nazo, anaweza kumsummon MFI (Membe), CDF (Mwamunyange), CIS (R.O) na IGP (Mwema).
Utakuwa umechanganya kati ya kuzungumzia uwezekano wa Tanzania kuingia vitani na powers za kutangaza vita!.
Mwenye mamlaka ya kutangaza vita ni Amiri Jeshi Mkuu pekee na hakuna ku delegate jukumu hili!, lakini kuzungumzia nia ya kuilinda mipaka yetu, any leader anaruhusiwa kusema!.
Naendelea kukumbushia posibility ya
"Jiwe Walilolikataa Waashi, Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni!".
Pasco.
Lowassa ndio amir jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama na ufisadi pia
Mkuu MchunguZI, humu jf, tunatofautiana uwezo, uelewa na uchambuzi. Kwa vile CDF ni Mkuu wa Majeshi, basi wewe ndio unadhani anaweza akaamulisha EL awekwe ndani?!. Nasikitika kukueleza, CDF hana mamlaka hayo!. JK mwenyewe hana mamlaka hayo, itakuwa CDF?!. Aliyekuwa na mamlaka hayo alikuwa ni Nyerere peke yake kwa kutumia "Presidential Preventive Detention Order", ambapo wakati wa Mwinyi, Jaji Nyalali, akiwa Jaji Mkuu, alikifutilia mbali kipengele hicho ambacho kilikuwa kinakiuka lile tamko la kimataifa la haki za binaadamu ambalo tumeliingiza kwenye katiba yetu!.Hapo nilipoweka BOLD, angalia sana. Ukipenda usizidishe viungo. Una hakika anaweza kumusamoni CDF? Unanirudisha kule wabunge walipodai saluti za askari.
Yaani m/kiti wa kamati ya usalama ya Bunge amusamoni CDF? Aibu gani hii unaeleza. Je Rais atafanya nini kwa CDF? Rais ndo M/kiti wa kamati ya ulinzi na usala ya nchi/Taifa.
Hiyo haiwezekani. anaweza akauliza hili au lile na akapewa maelezo na CDF, lakini CDF anaweza akamukatalia ombi lake. Na ni ajabu kwamba hujui kama CDF anaweza akaamulisha EL kuwekwa ndani.
Achaneni na mtu huyu. Alidhani arrogance ndo strength.
Mkuu MchunguZI, humu jf, tunatofautiana uwezo, uelewa na uchambuzi. Kwa vile CDF ni Mkuu wa Majeshi, basi wewe ndio unadhani anaweza akaamulisha EL awekwe ndani?!. Nasikitika kukueleza, CDF hana mamlaka hayo!. JK mwenyewe hana mamlaka hayo, itakuwa CDF?!. Aliyekuwa na mamlaka hayo alikuwa ni Nyerere peke yake kwa kutumia "Presidential Preventive Detention Order", ambapo wakati wa Mwinyi, Jaji Nyalali, akiwa Jaji Mkuu, alikifutilia mbali kipengele hicho ambacho kilikuwa kinakiuka lile tamko la kimataifa la haki za binaadamu ambalo tumeliingiza kwenye katiba yetu!.
Nyie ndio wale watu ukimuona askari polisi, unajificha au kumpisha njia!. Kwa kukusaidia tuu, hakuna mtu yoyote mwenye uwezo wa kuamuru kumtia ndani mtu mwingine yoyote!, unless umevunja sheria!. Sio Rais, CDF, IGP au CIS etc.
Pasco, Ni suala la ufahamu tu! Nahisi huhitaji kufahamishwa kwamba CDF maana yake ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (Polisi, FFU, Fire, JKT, JKU -JWTZ). Kamata kamata ni kazi ya baadhi ya majeshi haya.*
Mwanzoni nilikuuliza kwa nini unahalalisha EL eti kumusamoni CDF. Una hakika? hutaki kujibu. Nilichokuelewesha ni kwamba. Hiyo ni kamati ya Bunge. Ktk masuala ya nchi tunazo kamati mbalimbali za ulinzi na usalama. Ipo kamati ya wilaya, ipo kamati ya Mkoa na ipo kamati ya Taifa. Kamati hizi hazimpi nafasi mbunge.*
EL ni mbunge wa kawaida kabisa! Hatuhitaji kutumia immunity zisizo rasmi alizo nazo maana ukizifikiria hizo hatumalizi ubishi huu. Si uliona mgombea ubunge wa CCM akimpa kofi OCD kule shinyanga?
Mpe CDF nafasi special. Mtu pekee anayeweza kumuita kwa madaraka yake na kwa urahisi ni Rais wa nchi maana ni mwenzake ktk kamati ya Ulinzi na usalama wa nchi. Sasa tena unatuambia M/kiti wa kamati ya ulinzi ya Bunge? He is just nothing na hastahili hata kufahamu undani wa usalama wa nchi kama alivyo CDF maana hakuwahi kuapa kulinda na kutunza siri za usalama na ulinzi wa nchi. Aliapa mambo yake ya ubunge tu!
Mpende EL lakini usimpe yasiyo yake.
................[snip]*Labda tujiulize mpaka Vita ipiganwe ni hatua ngapi na hatua gani hufuata, je? ni CDF anaamua, je ni Rais anaamua? au Bunge linaamua?
muwakilishi wetu ni Lowassa
Nchunguzi kwanza tuekewane katika yafuatayo.Pasco, Ni suala la ufahamu tu! Nahisi huhitaji kufahamishwa kwamba CDF maana yake ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (Polisi, FFU, Fire, JKT, JKU -JWTZ). Kamata kamata ni kazi ya baadhi ya majeshi haya.*
Mwanzoni nilikuuliza kwa nini unahalalisha EL eti kumusamoni CDF. Una hakika? hutaki kujibu. Nilichokuelewesha ni kwamba. Hiyo ni kamati ya Bunge. Ktk masuala ya nchi tunazo kamati mbalimbali za ulinzi na usalama. Ipo kamati ya wilaya, ipo kamati ya Mkoa na ipo kamati ya Taifa. Kamati hizi hazimpi nafasi mbunge.*
EL ni mbunge wa kawaida kabisa! Hatuhitaji kutumia immunity zisizo rasmi alizo nazo maana ukizifikiria hizo hatumalizi ubishi huu. Si uliona mgombea ubunge wa CCM akimpa kofi OCD kule shinyanga?
Mpe CDF nafasi special. Mtu pekee anayeweza kumuita kwa madaraka yake na kwa urahisi ni Rais wa nchi maana ni mwenzake ktk kamati ya Ulinzi na usalama wa nchi. Sasa tena unatuambia M/kiti wa kamati ya ulinzi ya Bunge? He is just nothing na hastahili hata kufahamu undani wa usalama wa nchi kama alivyo CDF maana hakuwahi kuapa kulinda na kutunza siri za usalama na ulinzi wa nchi. Aliapa mambo yake ya ubunge tu!
Mpende EL lakini usimpe yasiyo yake.
Mwana Mpotevu, huu mjadala sio kiboko, hizi ndizo opportunities za kuelimishana ili tuelekee kwenye ukombozi wa kifikra utakaoleta ukombozi wa pili wa Mtanzania.duh mjadala wenu na Pasco kiboko