Membe na Lowassa wamevunja katiba kwa kutamka mambo ya vita. Ibara ya 44 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2005 inasema...'Rais anaweza kutangaza kuwapo kwa hali ya vita kati ya ya Jamhuri ya Muungano na nchi yoyote'.
Viongozi wetu waepuke kutamka maneno yanayoashiria vita. wanaweza kujibu hoja bila kuonyesha dalili kwamba vita vyaweza kutokea.
Who is Lowasa in this country? Where is Jakaya Kikwete?
The Next Commander in Chief 2015
Kesi iko mahakamani ya nani atangaze vita 2ngoje mahakama itangaze nani wa kutangaza vita
Suala hili la uvamizi liko mahakamani, si vema sana kulizungumzia tutaingilia uhuru wa mahakama. Wazambia wanadai mambo makubwa sana ambapo taifa Kwa Sasa haliwezi kuwatimizia..
Nimeshindwa kusoma font zako zinaniumiza macho, ngoja wengine wasome wafafanue unachoeleza
kuna ajali iliotokea tabora watu wamekufa lakini bus lilikuwalimejaa kama watu 90 police wapo lakini hawafanyi kazi itakuwa hao wanajeshi ....
si bora waliache hilo ziwa waje waturudishie dhahabu zetu wanazowapa wazungu nani atakubali akapigani kwa faida ya wachache lowasa anajuwa atapata nin cha kumnufaisha
Ni Lowassa na nani wako tayari kuingia vitani Malawi?[/QUOTE....kaka lowasa ni luten wa jeshi mstaafu anajua vyema anachokiongea,,zaidi ni mwenyekiti wa kamati husika,ya ulinzi na mambo ya nje,,sauti yake ina nguvu,ujumbe wake ni mzito kwa maana ya nafasi yake,,pm mstaafu nithreat,na vita haianzi tu na milio ya risasi na mizinga,,membe alipiga risasi,,hawajajibu lowasa kasindilia kombora,,wakileta za kuleta,,unapigwa wimbo wa taifa amiri jeshi anaisogelea mic anazungumza maneno machache sana,,,wakati anaokota glasi anywe maji,,vijana wanaizingra lilongwe,,,bulantaye tayari meya atakuwa kamanda wa jeshi,,,yule mamaatakimbilia south africa kwa hifadhi ya muda,,kuelekea marekan,,,tutamelekacapt john komba,,awaimbie kwaya,na kuwa rais wa muda mkulo waziri mkuu mzee chipaka makamu wa rais ,,wamalawi watatuita wakombozi,,,,,heshma mbele,,,,weee subiri,,cheza na tpdf wewe,,,
gve them an inch n they take a yard,give dem a yard they take a mileHamna cha utaifa hapa vita ya Uganda ilituacha hoi mpaka Leo sasa ni bora tuwaachie Hilo ziwa vizazi vijavyo vikishakuwa na uwezo vitalikomboa lakini sisi kwa serikali hii ya ccm bado kabisa
Siamini hili; hii ndio sababu ya kwanini siamini anafaa kuwa Rais. Anazungumzia vita leo? kwa lipi hasa? wanataka kuescalate vitu bila sababu ya msingi. Hafai kuwa Amiri Jeshi Mkuu. Kama hii ni sababu ya kwenda vitani basi tumekosa viongozi kweli kweli!
Lowassa ni mwamba wa kaskazini wewe sio mcheza Ngoma Kama Joyce wetu
Anayeshika usukani ndiye dereva na wengine wote ni abiria tuu!. Hata kama mmiliki wa gari, naye yumo garini, naye pia ni abiria tuu!. Tunasikiliza sauti ya aliyetoa sauti, na sauti iliyosikika ni sauti ya aliyeitoa, not otherwise!.watu wa lowassa mmepata pa kutokea,eti kauli ya lowassa!hivi ni ya lowassa ama ya kamati anayoingoza?nahitaji ufafanuzi zaidi
Kwani kuna vita yoyote imetangazwa?.Membe na Lowassa wamevunja katiba kwa kutamka mambo ya vita. Ibara ya 44 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2005 inasema...'Rais anaweza kutangaza kuwapo kwa hali ya vita kati ya ya Jamhuri ya Muungano na nchi yoyote'.
Viongozi wetu waepuke kutamka maneno yanayoashiria vita. wanaweza kujibu hoja bila kuonyesha dalili kwamba vita vyaweza kutokea.
kijana haujui unachongea wewe pole sana.swali kwako huo ujumbe uliotumwa na malawi unajua ni ujumbe gani?pili hao waliotumwa unafahamu walifika kuonana na nani bungeni au spika peke yake?unafaha kazi za kamati za bunge?Nakushauri faham vizuri utendaji wa bunge kwanza itakusaidia sana.Loawasa ni mwenyekiti wa bunge ulinzi na usalama na kauli ilikua ni ya bunge na sio kauli yake binafsi. kauli ya membe ni kauli mhimili(serekali) na kauli ya lowasa ni kauli ya mhimili (bunge) kusupport kauli ya serekali.na kamati yake ilijiridhisha na ujumbe huo wa malawi ndio wakatoa kauli.fanya research kabla ya kuchangia bwana.Kwahili na mkubali JK always subira uleta heli! Hakuna aja ya kukurupuka mara wanapeleka vifaa na wanajeshi nini km sio ukosefu wa fikra? Malawi juzi walituma delegation tena mpaka Bungeni hiyo yote ni kzungumza na sio vinginevyo..LEO TUMEONA KAULI TATA ZA CHEAP POLITICIANS WENYE NIA YA KUINGIA IKULU..SITTA.... MEMBE....LOWASSA.. Hawa wote kwa mtizamo wangu ni wakurupukaji and gullible leaders yani ni wafuata upepo...viongozi bora ni watulivu, wasiokurupuka na wanaopenda majaridiano na sio vinginevyo...VITA NI HATUA YA MWISHO KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA