Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,250
- 44,579
Wanaodhani JK ni dhaifu wawaulize akina Mramba na Yona. EL hawezi kuthubutu kutoa tamko lolote angalau kwa sasa ingawa hicho ndicho wanachotaka kitokee akina Sitta & Co kule Mjengoni.
Lowassa ameshika makali wakati wenzake wameshika mpini. zaidi ya yote, watanzania si wajinga tena... janja ya nyani kwisa gunduauna uhakika? Nini kinakupa uhakika wote huo?
Mimi sijali nia yake...lakini aki-hit back na kukitikisa chama, itasaidia sana!
KUna uwezekano kuwa EL alitumia hila kushawishi wenzake ambao bila kujijua wakapitisha kitu ambacho ni ulaji wake yeye na marafiki zakeThe Richmond matter was discussed at cabinet level and the concept Cabinet collective responsibility dictates that all those present were part and parcel of the decision to proceed with Richmond.
Kwa salary ipi na per dm ipi inayomwezesha a public servant to own a vast number of bangaloos in TZ as well as in the RSA?? EL ameshachafuka na ananuka, asitake kuwaambukiza na wenzake kwa kuwatuma watu visionless kama nyie!! Lets gets on the serious business ya kuokoa rasilimali za nchi hii ... EL ... EL .. who the hell is he?? kama alikuwa na ndoto za kuja kuwa army-in-chief wa nchi hii nendeni mkamwambie AMESHAFULIA ... atulie tu na miradi yake ya kifisadi ... Muungwana si mjinga kiivyo manvyofikiri ... EL atamalizwa tu ... take it as a note!!
una uhakika? Nini kinakupa uhakika wote huo?
Mimi sijali nia yake...lakini aki-hit back na kukitikisa chama, itasaidia sana!
Tafadhali mkuu maneno hayo niliyobold yanahitaji prove ya hali ya juu sana! Unless otherwise lakini kulinganisha ufuska wa Muungwana na Mwandyosya nadhani humtendei haki mwandosya! Fuatilia vizuri ugomvi wao vizuri! Kwa jinsi ninavyojua huo ugomvi unatokana na utendaji zaidi na si wanawake! Kikwete alionekana goigoi asiyekuwa na uwezo wa kutoa idea wakati huo mwandyosya akiwa chini yake na mawazo mengi yalikuwa haliyokuwa anayatoa hayakuwa na tija.
- Mkuu Mwandosya ni mmoja wa viongozi wachache sana ninaowaheshimu kwa sababu ya personal conduct yake, lakini it was with a great pain nilipokuja kugundua kuwa kumbe na yeye ni kipanga wa mademu,
- Binafsi kama wewe nilikuwa ninaamini kwamba ugomvi wao Maji ulikuwa wa kikazi, no way haukuwa mazee yalianzia kwa demu ndio yakaenda kwenye kazi kwa sababu kama unamuelewa vizuri Muungwana, ni kwamba it takes hizo lines za dems kumchukia kiongozi mwignine, kwa sababu kama waligombania utendaji wa kazi then how come leo ni waziri katika cabinet yake Muungwana, halafu kwa nini wakati wa kampeni za urais wa 2005 Mwandosya asiseme wazi to the public kwamba Muungwana hafai kikazi na sababu ndio maana hawakuelewana, WHY it does not make a sense! ukiwa na nafasi pitia pale Maji wanaoelewa watakupa darasa vizuri makuu!
Respect.
FMEs!
What happened to Mramba and Yona indeed??
The issue in my humble opinion is that EL was sacrificed. The Richmond matter was discussed at cabinet level and the concept Cabinet collective responsibility dictates that all those present were part and parcel of the decision to proceed with Richmond. It is inconceivable that EL could decide to move forward peke yake. Hata kama jamaa ni fisadi na anatamaa, he had chances galore to make $$ many times more than Richmond by staying as PM thru to 2010.
Yawezekana kabisa kwamba JK saw his friend as a threat hasa kama ni kweli kwamba EL alikuwa amepandikiza watu wake all over the place. Lakini, by the same token, EL knew that JK was way more popular and less devisive and therefore more palatable to not just the masses, but also within CCM. He was going to bid his time mpaka 2015.
JK's error was that kama ndugu yangu moja alivyo point out humu ndani, alimtosa EL haraka mno. He did not even put up a semblance of fighting the man's corner! He could have doen so and then "resigned"to the fact that the pressure for EL was too great. Instead he let the man go and thus has ended up being seen as Judas. Remember the way Mkapa fought for Simba alipokata Simba's resignation. Had JK done similar leo the matter would have been looked at differently.
As it stands, EL is fighting a guerilla battle undercover to hit back. He might not even make a statement, tempted and angered as he may be to do so.
The crux: what is RA going to do? He can calm both down and re-engineer something we have not thought of. The "Holy Trinity" might still be alive and kicking!
Mzee FMES.
Umeandika vizuri sana.Lakni swali langu ni dogo.. ina maana huo urafiki wote tulioambiwa huko nyuma kati ya President na huyu Edward ndio umekwisha kabisa? Najaribu kutazama nguvu aliyokua nayo president naiona lakini nachelea kusema je ataweza kuitumia ka Lowasa.Sitaki kuwa Thomaso lakini nina hakika haya mambo yana weza kuwa zaidi ya vile tunavyowaza na vigumu sana kuamini kuwa hawa mabwana hizi siasa zimewatenganisha kwa kiasi tunachofikiri.Anyway ngoja tuone
Duuh, inauma roho lakinimzee nasikia baada ya tamko la Salva Lowassa alikasirishwa sana na alikuwa tayari kujibu mapigo na ndio kilimfanya Luhango to come out a little bit stronger. Sasa wanajua kwa vile Kikwete "kajivua" lawama; na serikali imesema wale watendaji wengine hawana makosa makubwa hivyo, basi Lowassa anajikuta ndiye pekee anayeachiwa mauchafu yote ya Richmond.
Matokeo yake sitoshangaa tukaambiwa kuwa Richmond iliingia nchini bila kuingizwa na mtu yeyote na kuturudisha kwenye proverbial "square one".
Ukitaka kuja ni nanni hasa alihusika na Richmond ni lazima mtafute aliyehusika na Dowans kwanza. Hivyo, katika sakata lilivyo sasa ni Lowassa ndiye mwenye kupoteza zaidi kuliko Kikwete.
all in all tumeshasema na kuongea sana tunahitaji conclusion ambayo tunabidi kujiuliza kama kweli we still need EL awe kiongozi wetu? je kurudi kwake kuna impact gani kwa taifa letu kwa ujumla?
Binafsi nafikiri EL should be give the stand to talk, kama kweli tunataka kujua nani anausika na RD then let the man speak. Tumuombe agombee urais kupitia CCM hiyo hiyo maana wakati wa kampeni za vitongoji tutajua ukweli kwani ndipo tutaweza kumuliza atueleze RD ni ya nani.
APEWE JUKWAA AONGEE TUJUE UKWELI BADALA YA KUGESS
Mkuu hivi unajua Richmond walikuwa wanavuta ngapi kwa mwaka mzima kama wangeendelea ku suppy umeme!..Kisha basi hii ndio ilikuwa imetoka yaani hadi kizazi chake kingeendelea kutajirika..It is inconceivable that EL could decide to move forward peke yake. Hata kama jamaa ni fisadi na anatamaa, he had chances galore to make $$ many times more than Richmond by staying as PM thru to 2010.