Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Kwa kutumia Tafsiri ya Mke wa Godbless Lema, Bi Neema Tarimo.
"Kumbe hawa Mashoga Lowassa na Sumaye Walikuwepo Bungeni Leo"
"Kumbe hawa Mashoga Lowassa na Sumaye Walikuwepo Bungeni Leo"
Nusu kafirPresidential material wenu "alikalia maji"Geita akalowanisha kaboka.
Za uncle vipi uzikubali nini??Suti za Mh Lowassa zimesimama Wakuu! Acha kabisa.
Sijui Sheria Ngowi ndo anamshonea!?
Kiatu pia alichovaa n kitamu balaa' mzee anapenda vitu vizuri asee! Sio hili lingosha tulilonalo sasa hivi.Na kanimaliza rangi ya tai inamaanisha kujiamini na mamlaka
Roho imekuumaAcha kejeli za kijinga

Hawezi ng'ang'ania hivyo vijisentiSwali je hapo wanalipwa kwa mahudhurio hayo au wanajitegemea
Hivi tecno y6 ni bei gani?
Ndo maana akasema anauchukia umasikiniKiatu pia alichovaa n kitamu balaa' mzee anapenda vitu vizuri asee! Sio hili lingosha tulilonalo sasa hivi.
Umasikini ugonjwa mbaya sanaSwali je hapo wanalipwa kwa mahudhurio hayo au wanajitegemea
Mkuu Umeugusa Moyo wangu kwa Maneno yako yaliyo jaa Herima na Ustarabu uliko tukuka. Umeifanya siku yangu kuwa muruwa kabisaYaani... daaah, jamaa Presidential material sanaaaaaaa, sanaaaaaa.... CCM yangu ilimfunda, kumlea, kumkuza, na kumpa hekima na busara kubwa sana huyu Lowassa...
Umetuacha CCM ila bado tunakupenda wengine.. Nasema toka moyoni, ukimcheki tu Mh. Lowassa unapata faraja, amani, furaha, na matumaini makubwa ya moyo, cheki hata hapo kila anayekutana nae anatabasamu toka moyoni, mcheki Capt. Mkuchika.. anafuraha sana, Mh. Lowassa ana karama za kipekee kabisa we have to admit..!! Mungu akulinde always..!!
Mh. Lowassa utukumbuke japo kwa barua au sms basi hata sema marafiki zangu mlio CCM nawasalimia, inatosha... milima haikutani binadamu hukutana..
Nice..Safi lakini.....
Lowassa bado ana miss alivyokuwa waziri mkuu.......
Rais wa mioyo ya baadhi ya watanzania........
Ni wakati mzuri wake kustaafu siasa.....
Unajua hizo ni cm wanazotumia akina mama niluvyokuona nayo ikabidi nikuulize mana nataka nika mnunulie wife
Ujinga uliotukuka! Watu wanasoma alichopost mchangiaji! Hujawahi ona mwanafunzi kutoka familia ya kitajiri anatumia counter book na mwanafunzi kutoka familia masikini anatumia kidaftari kidogo ila mwanafunzi anaetumia kidaftari kidogo anaandika vitu vya maana na wa counter anaandika pumba tupu! Wewe na hiyo i Phone 6 au samsung galax Note 7 umeandika nini sasa? Bora hata mwenye Huawei Y520Unajua hizo ni cm wanazotumia akina mama niluvyokuona nayo ikabidi nikuulize mana nataka nika mnunulie wife
Mkuu,umeniacha hoi!Lowassa anapendeza kuwa raisi sio yule Fundi garage.
Ndoto za kijinga sana!!