Lowassa, Sumaye waibukia bungeni

Lowassa, Sumaye waibukia bungeni

Umemtaja Ali Kiba na Diamond nimekumbuka kuhusu zile kura za mkulu kule MTV aaah sorry Forbes ambazo kazoa. Sijui naye watampa shoo moja ya kuonyesha siku ya kuoewa Tuzo! Anyway hata akitwanga pushup 20 jukwaani itakuwa sifa ya Tanzania duniani
Mtachonga sana but nothing u will change.
 
Wana haki ya kufuatilia kinachoendelea bungeni kama raia wa Tanzania

Nitamkumbuka Lowasa kwa neno moja tu (kunyamaza kimya)ni silaha aliyoitumia kweli imemfanikisha.
kumbe kukaa kimya huwa ni silaha, sasa mbona wagoni huwa wanakaa kimya na haiwasaidii mkuu

ukisha kuwa na kosa (wizi,ugoni, na mfanano wake) na ilajulikana/ukakamatwa hata kama ulikuwa mwongeaji kama trump nguvu huwa zinaisha na utakuwa kimya.

kwa wale walio upande wako watatafsiri ni busara, ushujaa. na ww kuwa mfano wao.
 

Aliyekuwa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo asubuhi wamehudhuria Bungeni ambapo kimeanza kikao cha kwanza cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, mjini Dodoma.
Mawaziri hao wastaafu walioihama CCM na kuhamia CHADEMA walikwenda mjini Dodoma kutoa somo kwa wabunge wa UKAWA jinsi ya kukabiliana na wabunge wa CCM wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge.


 
Aibu sana,yani leo lowasa na sumaye wanakaa sehemu za wageni wa kawaida badala ya VIP!
Mbona Mkapa Mwinyi Kikwete walikuwa hapo hapo tatizo wapambe wa magufuli munaangalia post kwa mshiko
 
Umemtaja Ali Kiba na Diamond nimekumbuka kuhusu zile kura za mkulu kule MTV aaah sorry Forbes ambazo kazoa. Sijui naye watampa shoo moja ya kuonyesha siku ya kuoewa Tuzo! Anyway hata akitwanga pushup 20 jukwaani itakuwa sifa ya Tanzania duniani
Kwa kwa hili jukwaa hata kàma ulikuwa na msongo wa mawazo utapona
 
Huyu mzee ni wakati wake wa kupumzika sasa awe mshauri!!

2020 atahamia ccm na kustaafu hapo ndipo patakapo kuwa mwisho wa upinzania Tanzania
Hivi inakuwaje mnapangia watu muda wa kupumzika? Pumzika wewe mwache anayetaka kuendela na siasa aendelee, ebu kamwambie Mugabe au Museveni apumzike kama hutarudi na ngeu!
 
LOWASSA, SUMAYE WAIBUKIA BUNGENI

Aliyekuwa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo asubuhi wamehudhuria Bungeni ambapo kimeanza kikao cha kwanza cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, mjini Dodoma.
View attachment 427744 View attachment 427745 View attachment 427746 View attachment 427747 View attachment 427748
NAONA KAULI YA HAPA KAZI TU WANAPINGANA NAYO:KWELI KABISA WANAENDA KUKAA BUNGENI AISEE HII NI DHARAU WACHUKULIWE HATUA.
 
Hawa wazee waondoke hawana Msaada wowote opposition
 
siasa sio fair kabisa yaani wamerudi kama watazamaji....
 
Wanalipwa na Chadema si unaona walitunga kuwa kamati kuu itakuwa Dodoma kukutana na wabunge wa Chadema? Lengo ilikuwa kuwatengenezea ulaji na wao watoke wakapunge upepo wa viyoyozi bungeni Dodoma lengo kuwasaidia Ku Steam out frustration zao kidogo.NIlichojifunza ni kuwa MTU aliyekuwa akikaa viti vya waheshimiwa Leo anakaa viti vya wageni ambavyo hata watoto wa shule hukalia wakienda kutembelea binge nawahurumia sumaye na lowasa wanadhalilisha hadhi ya uwaziri mkuu mstaafu.
Msuya angekaa wapi!!? nielimishe
 
Back
Top Bottom