Lowassa, Sumaye waibukia bungeni

Lowassa, Sumaye waibukia bungeni

Lowasa ana tamani angekuwa mbunge,,,hahahaha
 
Wanavyoangalia ni kuwa wanafanya observation ili kupata majibu ya maswali juu wanayoyajua wao juu ya Bunge. Nafikiri baada ya analysis yao watatupa findings.
 
Suti za Mh Lowassa zimesimama Wakuu! Acha kabisa.

Sijui Sheria Ngowi ndo anamshonea!?
Watanzania ni watu wa kuongelea mambo ya suti kusimama?kama issue ni suti kusimama mbona hata za kina Aly Kiba na Diamond pia zimesimama?Mwache "mzee" aliangalie bunge kwa jukwaani,akichoka hapo aliangalie kupitia luninga au alisikilizie kwenye bomba,ingawa bado anatamani kuwa active participant.
 
Umemtaja Ali Kiba na Diamond nimekumbuka kuhusu zile kura za mkulu kule MTV aaah sorry Forbes ambazo kazoa. Sijui naye watampa shoo moja ya kuonyesha siku ya kuoewa Tuzo! Anyway hata akitwanga pushup 20 jukwaani itakuwa sifa ya Tanzania duniani
 
Back
Top Bottom