FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Muulize mama'ko.Kwani uchungu ni kitu kibaya?
Muulize mama'ko.Kwani uchungu ni kitu kibaya?
Hutajua chochote iwapo hutahoji.....unaandika maneno mazuri ila hujielewi...tatizo lako wewe ni kupinga ukweli,usiupinge hata kama umekuumiza.Ungekuwa na open mind ungeweza kujua mleta mada ni mtu wa tabia gani.
Kwake kila akiamka jambo la kwanza ni Lowassa hili Lowassa lile. Kwake kumtaja ni kama mlo wa kwanza wa siku. Fungua akili mkuu ili utambue mambo
Wana haki ya kufuatilia kinachoendelea bungeni kama raia wa Tanzania
Nitamkumbuka Lowasa kwa neno moja tu (kunyamaza kimya)ni silaha aliyoitumia kweli imemfanikisha.
Yaani... daaah, jamaa Presidential material sanaaaaaaa, sanaaaaaa.... CCM yangu ilimfunda, kumlea, kumkuza, na kumpa hekima na busara kubwa sana huyu Lowassa...
Umetuacha CCM ila bado tunakupenda wengine.. Nasema toka moyoni, ukimcheki tu Mh. Lowassa unapata faraja, amani, furaha, na matumaini makubwa ya moyo, cheki hata hapo kila anayekutana nae anatabasamu toka moyoni, mcheki Capt. Mkuchika.. anafuraha sana, Mh. Lowassa ana karama za kipekee kabisa we have to admit..!! Mungu akulinde always..!!
Mh. Lowassa utukumbuke japo kwa barua au sms basi hata sema marafiki zangu mlio CCM nawasalimia, inatosha... milima haikutani binadamu hukutana..
Kwani hujui kama alitumwa kuua upinzani. Huyo ni kama Mrema tu na sasa tumerudi kwenye utawala wa chama kimoja.Naona akisalimiana na wanaccm wenzake!