Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,513
- 5,595
mwenyewe nashangaa au kuchunga kuna msimuChezea mwanasiasa wewe?
mwenyewe nashangaa au kuchunga kuna msimuChezea mwanasiasa wewe?
Suti za Mh Lowassa zimesimama Wakuu! Acha kabisa.
Sijui Sheria Ngowi ndo anamshonea!?
Hawajielewi hao akina sumaye na lowasa walitakiwa waalikwe na bunge wao wanajipeleka tu wazee wazima ona wanavyodhalilika cheki sumaye alivyonywea profesa baregu kashika tama ya kukata tamaa yaani hajiskii vizuri kabisa.lowasa anajikaza tu kisabuni ila ukimtizama yuko hoiAibu sana,yani leo lowasa na sumaye wanakaa sehemu za wageni wa kawaida badala ya VIP!
zinasimama hata akikaa?
safi sana kamanda Lowassa na Sumaye....bado mpo mioyoni mwa watanzania.LOWASSA, SUMAYE WAIBUKIA BUNGENI
Aliyekuwa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo asubuhi wamehudhuria Bungeni ambapo kimeanza kikao cha kwanza cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, mjini Dodoma.
View attachment 427744 View attachment 427745 View attachment 427746 View attachment 427747 View attachment 427748
Hata mim namshangaa,sijui ng'ombe kamuachia nani.!hataki kuchunga????????????????????????/
Za mkulu je?Suti za Mh Lowassa zimesimama Wakuu! Acha kabisa.
Sijui Sheria Ngowi ndo anamshonea!?
Wazee wako ndo wamepumzikaHao wazee hawataki kupumzika salama
Salim Ahmed akienda bngeni huwa anakaa wapi? Warioba je? Sita naye akitembelea bunge atakalia kiti chs spika etie!Wanalipwa na Chadema si unaona walitunga kuwa kamati kuu itakuwa Dodoma kukutana na wabunge wa Chadema? Lengo ilikuwa kuwatengenezea ulaji na wao watoke wakapunge upepo wa viyoyozi bungeni Dodoma lengo kuwasaidia Ku Steam out frustration zao kidogo.NIlichojifunza ni kuwa MTU aliyekuwa akikaa viti vya waheshimiwa Leo anakaa viti vya wageni ambavyo hata watoto wa shule hukalia wakienda kutembelea binge nawahurumia sumaye na lowasa wanadhalilisha hadhi ya uwaziri mkuu mstaafu.