Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,289
- 27,399
Mimi nimem-quote tu huyo bavicha kipindi hicho anapinga huo mradiMagu hakukataa bandari ya bagamoyo bali alisema kuna mambo ya kuzungumza ili kurekebisha mapungufu
Mama anakwenda kufanyia kazi mapungufu husika