Lowassa: Rushwa ni kansa inayoitafuna nchi

Ukimuuliza mwenyewe atakuambia hashuhuliki na mambo madogomadogo...... Yy anadeal na bomu Linalokaribia kulipuka......ajira kwa vijana.......baada ya hapo anaingia Kanisani na msikitikini kumtolea Muumba,mambo ya rushwa amewaachia takukuru....... Huyo ndio Lowasa aka Mamvi,aka waziri Mkuu Mstaafu........na sasa mZee wa Twaweza.
 
Itakuwa ngumu sana. Nimekuwa nikimfuatilia kwa kila tukio na bahati nzuri amekuwa na matumizi mazuri sana ya vyombo vya habari kwa kila tukio la kisiasa au kijamii analolifanya kupata 'coverage' ya 'Media'. Sijawahi kusikia kwa kweli. Na kwa mazingira ya nchi yetu yalivyo kiongozi asiyekemea rushwa anatia shaka kidogo.

Kwa kuongezea katika mada yako pia siridhishwi na ushiriki wake pale bungeni kama Mbunge, sijawahi kumwona au kumsikia akichangia kama ambavyo nilitarajia! Sitaki kuamini kuwa hana cha kuchangia tangu alipoacha cheo cha uWaziri Mkuu!
07/10/2014 | Na Grace Macha | ArushaMikoani | maoni 0 | wasomaji 57
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, (CCM), amekemea tabia ya baadhi ya viongozi wa serikali na mila wanaochukua rushwa na kuuza ardhi za wananchi wakiwemo wajane kinyume cha utaratibu.
Aidha, ameitaka jamii ya wafugaji kuelewa kuwa ardhi ni utajiri mkubwa, hivyo wailinde kwani wanavyoiuza ndiyo tatizo la ukosefu wa maeneo ya malisho ya mifugo yao linavyozidi kukua.
Lowassa, aliyasema hayo jana wakati akifungua mkutano wa siku mbili wa kujadili changamoto za ardhi na mazingira wilayani Monduli uliowashirikisha wajumbe zaidi ya 400 wakiwemo viongozi wa mila (malaigwanani), viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi, (CCM) kuanzia ngazi za Vijiji, Kata na Wilaya.
Alisema kuwa tatizo la ardhi wilayani hapa ni kubwa lakini limekuwa likizidi kuongezeka kutokana na wafugaji kuuza ardhi waliyokuwa wakiitumia kwa ufugaji kwa watu wengine ambao huibadilisha matumizi na kuitumia kwa kilimo na kuendeleza makazi.
Hata hivyo, Waziri Mkuu huyo aliyejiuzulu, alisema kuwa sehemu kubwa ya ardhi ya jimbo hilo imetengwa kwa ajili ya uhifadhi wa wanyamapori na jeshi, huku eneo dogo likibaki kwa ajili ya matumizi ya wananchi ambao idadi yao imekuwa ikiongezeka, hivyo akawataka washiriki wa
mkutano huo wajadili matumizi bora na endelevu ya ardhi hiyo.
"Tumewaita hapa tujadiliane tuone tatizo liko wapi kisha tushauriane tufanye nini kulimaliza, ndiyo maana tumewaalika wataalam wa ardhi wa halmashauri na Kamaishna msaidizi wa ardhi (Kanda ya Kaskazini),
Doroth Wazala watusaidie," alisema Lowassa.
Kwa upande wake, Mbunge wa viti maalum, Namelok Sokoine (CCM), alisema kuwa wilayani hapa kuna migogoro mingi ya ardhi kuanzia ngazi za familia
na koo, jambo linaloibua uhasama miongoni mwa jamii kutokana na wengine kuamua kupelekana mahakamani.

chanzo: Tanzania Daima
 
Ni kweli mkuu,hata bungeni ni very rare kuchangia.Labda supporters wake watumbie!.
 
“Tumewaita hapa tujadiliane tuone tatizo liko wapi kisha tushauriane tufanye nini kulimaliza, ndiyo maana tumewaalika wataalam wa ardhi wa halmashauri na Kamaishna msaidizi wa ardhi (Kanda ya Kaskazini),
Doroth Wazala watusaidie,” alisema Lowassa.
Kwa upande wake, Mbunge wa viti maalum, Namelok Sokoine (CCM), alisema kuwa wilayani hapa kuna migogoro mingi ya ardhi kuanzia ngazi za familia
na koo, jambo linaloibua uhasama miongoni mwa jamii kutokana na wengine kuamua kupelekana mahakamani.

chanzo: Tanzania Daima

Leo umeiamini tanzania daima?😉😉😱
 
Nazan tatizo umeanza kushugulika na juzi, lowasa akiwa wazir mkuu katika halmashauli zote alikuwa anakemea wizi na ufisad na ni wakati wake ndipo uwezo wa pcccb uliiimarishwa nna kupewa mamlaka makubwa. Kumbuka wakatk wa sumaye nchi ilijaaa mirad hewa kibao na EL alipokuwa pm kila kona ma Ded walikuwa wanajinyea. Bungeni kesha ongea sana isipokuwa tangu atolewe u PM hapendi kuingilia sana utendaji ili isionekane anamfanyia fitna Aliyepo.
 
Sijawahi au kumuona Lowasa Bungeni au kwenye mikutano anakemea Rushwa na Ufisadi uliokithiri nchi hii.

Huwa nasikia elimu, vijana nk. Hata sasa imefikia wahisani kukata misaada lakini sijawahi kumsikia Lowasa anakemea ufisadi. Mwenye evidence aweke hapa.

Lowassa akemea rushwa kwenye ardhi

Muda wake wote wa uongozi kakemea haya tu?
 
unachekesha wewe. hivi mwizi anaweza akakemea wizi? maajabu haya.

Sijawahi au kumuona Lowasa Bungeni au kwenye mikutano anakemea Rushwa na Ufisadi uliokithiri nchi hii.

Huwa nasikia elimu, vijana nk. Hata sasa imefikia wahisani kukata misaada lakini sijawahi kumsikia Lowasa anakemea ufisadi. Mwenye evidence aweke hapa.

NB: Nahitaji ushahidi wenye mashiko, pia nahitaji angalau matukio matatu kwa kuwa Lowasa amekuwa kiongozi tangu ujana wake
 
kiongozi gani anaweza kukemea kama sio EL wengine kelele tu ufutiliaji hakuna kama unataka ushaidi waulize ma RC na DC EL akiwa PM walivyokuwa wanachapa kazi
 
yote uliyosema ni kweli kipindi chake vijizi vidogo vidogo vilikiona cha moto. da!.

Nazan tatizo umeanza kushugulika na juzi, lowasa akiwa wazir mkuu katika halmashauli zote alikuwa anakemea wizi na ufisad na ni wakati wake ndipo uwezo wa pcccb uliiimarishwa nna kupewa mamlaka makubwa. Kumbuka wakatk wa sumaye nchi ilijaaa mirad hewa kibao na EL alipokuwa pm kila kona ma Ded walikuwa wanajinyea. Bungeni kesha ongea sana isipokuwa tangu atolewe u PM hapendi kuingilia sana utendaji ili isionekane anamfanyia fitna Aliyepo.
 
miaka ya sabini akiwa bado mbichi hasa......... Alikuwa ana deposit fedha nyingi bank - clock tower branch-arusha.
Watu walikuwa wanaogopa kumhoji fedha hizo alikuwa anapata wapi.
Tunamuogopa sana
anatupa wasiwasi
hakuanza leo huyu
 
Atazungumziaje masuala a Rushwa na Ufisadi ilhali yeye mwenyewe ni fisadi?

we nawe una wivu wa kike tu: makamba alishasema ccm wote watoa rushwa ila tatizo viwango ndio tofauti,lowasa fisadi kawa hyo mmakonde wa mambi yako alivo fisadi ila grade wanazidiana
 
Atazungumziaje masuala a Rushwa na Ufisadi ilhali yeye mwenyewe ni fisadi?

we nawe una wivu wa kike tu: makamba alishasema ccm wote watoa rushwa ila tatizo viwango ndio tofauti,lowasa fisadi kama hyo mmakonde wa mambi yako alivo fisadi ila grade wanazidiana
 
Eeee bhana nakala ya uzi huu iwafikie kiloriti na ocampo four .
 
Lowassa akemea rushwa kwenye ardhi

07/10/2014 | Na Grace Macha | ArushaMikoani | maoni 0 | wasomaji 57
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, (CCM), amekemea tabia ya baadhi ya viongozi wa serikali na mila wanaochukua rushwa na kuuza ardhi za wananchi wakiwemo wajane kinyume cha utaratibu.
Aidha, ameitaka jamii ya wafugaji kuelewa kuwa ardhi ni utajiri mkubwa, hivyo wailinde kwani wanavyoiuza ndiyo tatizo la ukosefu wa maeneo ya malisho ya mifugo yao linavyozidi kukua.
Lowassa, aliyasema hayo jana wakati akifungua mkutano wa siku mbili wa kujadili changamoto za ardhi na mazingira wilayani Monduli uliowashirikisha wajumbe zaidi ya 400 wakiwemo viongozi wa mila (malaigwanani), viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi, (CCM) kuanzia ngazi za Vijiji, Kata na Wilaya.
Alisema kuwa tatizo la ardhi wilayani hapa ni kubwa lakini limekuwa likizidi kuongezeka kutokana na wafugaji kuuza ardhi waliyokuwa wakiitumia kwa ufugaji kwa watu wengine ambao huibadilisha matumizi na kuitumia kwa kilimo na kuendeleza makazi.
Hata hivyo, Waziri Mkuu huyo aliyejiuzulu, alisema kuwa sehemu kubwa ya ardhi ya jimbo hilo imetengwa kwa ajili ya uhifadhi wa wanyamapori na jeshi, huku eneo dogo likibaki kwa ajili ya matumizi ya wananchi ambao idadi yao imekuwa ikiongezeka, hivyo akawataka washiriki wa
mkutano huo wajadili matumizi bora na endelevu ya ardhi hiyo.
“Tumewaita hapa tujadiliane tuone tatizo liko wapi kisha tushauriane tufanye nini kulimaliza, ndiyo maana tumewaalika wataalam wa ardhi wa halmashauri na Kamaishna msaidizi wa ardhi (Kanda ya Kaskazini),
Doroth Wazala watusaidie,” alisema Lowassa.
Kwa upande wake, Mbunge wa viti maalum, Namelok Sokoine (CCM), alisema kuwa wilayani hapa kuna migogoro mingi ya ardhi kuanzia ngazi za familia
na koo, jambo linaloibua uhasama miongoni mwa jamii kutokana na wengine kuamua kupelekana mahakamani.

chanzo: Tanzania Daima
hizo za rushwa za chini elfu 50 hata mkuu wa kaya anajeuri ya kusemea ila kaa la moto ni rushwa za mikataba,siku nikisikia lowasa anasema kuna mkataba wa kifisadi akiukemea kwa nguvu zote na mimi ntakuwa teamlowasa
 
Sijawahi au kumuona Lowasa Bungeni au kwenye mikutano anakemea Rushwa na Ufisadi uliokithiri nchi hii.

Huwa nasikia elimu, vijana nk. Hata sasa imefikia wahisani kukata misaada lakini sijawahi kumsikia Lowasa anakemea ufisadi. Mwenye evidence aweke hapa.

NB: Nahitaji ushahidi wenye mashiko, pia nahitaji angalau matukio matatu kwa kuwa Lowasa amekuwa kiongozi tangu ujana wake
Jiandae kung'olewa kucha hili ndilo jiwe pekee la pembeni ambalo limewashinda wapinzani kuinulia jengo wana bwabwaja tu lakini hawaitumii agenda hii fresh ikiwa directional kama ulivyoiweka hapa labda nao ndio haohao
 
Back
Top Bottom