ndio siasa! uhaba hauwezi kutokea, kama atashusha ni kwa mipango ya serikali yake kama atashinda.Kuna mtu atakuja kusema anakataza kauli kama hizo kwani
zinaweza leta uvunjifu wa amanai na uhaba wa mafuta vituoni....
hivyo mgombea husika haache kusema hivyo.
Ni kweli...miaka 50 ijayo mkishastaarabika
Kumbe kuna mambo ya ukanda
Na sisi huku nyanda za juu zamu yetu lini
Haya mambo ya ukanda kiukweli hata sio ya kufagilia yumkini hata km mtu hana uwezo ikiwa tu wa kanda yako utalazimika kumchagua
Mungu tusaidie
Ni jambo la heri sana hili; tumwombee maisha marefu na aione Ikulu. Haiingii akilini soko la dunia mafuta yako chini ya USD 40 kwa pipa lakini Dar ni more than T.Sh. 2,290 per litre. Huko mikoani ndio balaa.
Ndio maana tunampendaaaaaaa
Sbb mafuta yameshuka sana kwingineko duniani..
Pipa moja linauzwa $ 40...
Lowassa baba okoa wananchi wa Taifa letu..
kusema tu atashusha bei ya mafuta NYUMBU wanafurahi! hivi mmewahi kujiuliza atashushaje au ana visima vya mafuta!?
tumieni hiyo zawadi ya kichwa kwa kufikiri angalau kidogo sio kufugia nywele tu
Wewe Lofa kweli tatizo lenu mnasoma vichwa vya Habari, $40 NI PIPA LA MAFUTA AMBAYO HAYAJACHUJWA (CRUDE OIL). Kweli Mkapa yuko sahihi kabisa mzazi, kama uko comfortable na hiyo post hahaha tell you voting for lowasa is like chilling with a zombie diablo lowasa de mello Gãndhi!!