Wewe ni kiazi perse; nasikitika nimechelewa kukujibu upumbavu wako! Kwa hiyo bei ikiwa zaidi USD 100 huwa yanasafishwa kwanza au ni hiyo hiyo crude? Issue hapa ni change kwenye crude iwe reflected pia kwenye refined na ndivyo inavyopaswa. Wakati crude inashuka kwa bei ya kutisha duniani, hapa kwetu refined inapanda. This is very simple logic wala haihitaji elimu yoyote. Hoja za kijinga kama hizo ndizo mnawadanganyia "wananchi" kwenye kuomba kura.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.