Lowassa: Nitashusha bei ya mafuta

Lowassa: Nitashusha bei ya mafuta

Lofa ni wewe, kwani ilivyokuwa $107 kwa pipa na being ya lits kuwa tshs2100 yalikuwa yamechujws?

Chamsingi elewa sio unalazimisha maji kupanda mlimani, hizo bei ni za crude oil, mbona wewe ni kilaza hivyo?
 
Wanajamvi.

Ni kilio cha kusaga meno mitaani kwani bei ya petroli na diesel ipo juu kutokana na wakubwa kuishikilia biashara hii.

Mgombea urais kupitia CHADEMA Edward Lowassa amesema ataporomosha bei ya mafuta akitinga ikulu kwani kufanya hivyo kutasaidia mfumuko wa bei kuwa chini kwa bidhaa nyingine.

Labda mafuta ya alizeti haha..... Na unaamini kweli itakua hivyo? Hivi wewe ni kilaza eeee?
 
BAWACHA inawanawake warembo sana ... CCM wamejaa wachawi watupu....
 
wewe acha kujitoa fahamu hizo ni bei za mafuta ambayo hayajasafishwa ndio hutolewa takwimu zake na kuuzwa kwa pipa sio lita sasa umejiuliza gharama za kuyasafisha mpaka yanakuja kwako ikoje?....Lowassa hana uwezo wa kushusha mafuta bei tusijidanganye

Fuata Mkumbo ndiozao wanakurupuka
 
Duniani kote bei ya Mafuta imeshuka sana ... $38 kwa pipa kutoka $ 85 kwa pipa !!! CCM wamekuwa wakipandisha kwa maslahi yao ...
 
kusema tu atashusha bei ya mafuta NYUMBU wanafurahi! hivi mmewahi kujiuliza atashushaje au ana visima vya mafuta!?
tumieni hiyo zawadi ya kichwa kwa kufikiri angalau kidogo sio kufugia nywele tu
Wewe ndo kichwa maji kweli. Ile kodi serikali yenu ya magamba iliyoongeza kwenye mafuta si ndiyo hii inayotumaliza kwenye bei. Utaongezaje kodi kwenye bidhaa muhimu kama mafuta?
 
Duniani kote bei ya Mafuta imeshuka sana ... $38 kwa pipa kutoka $ 85 kwa pipa !!! CCM wamekuwa wakipandisha kwa maslahi yao ...

Mara $40 Mara $38, sasa mwisho mtasema pipa la mafuta ni bure, ila kumbuka hiyo $40. Ni crude oil, basi ujue Lowassa wenu atashusha bei ya crude oil..... Ila pure oil, ukitaka chuja crude oil then pitia gharama zote, utaniambia ungekua ni wewe, umechuja, ukasafirisha, bado tenderer atake faida, je bei ungetaka ifike shingapi? Ulitaka Lita iuzwe buku nini?
 
Kaa kimya si lazima uwe unacomment kila kitu kama hujui mambo ya hydrocarbon! ... Crude oil inatoa product nyingi na kwa taarifa yako hapa tunazungumzia bei ya pipa siyo lita moja... kweli CCM mtaji wao ni Ujinga !!! Unajua sababu ya kuua TIPPER? MAJIZI MAKUBWA ...
Mara $40 Mara $38, sasa mwisho mtasema pipa la mafuta ni bure, ila kumbuka hiyo $40. Ni crude oil, basi ujue Lowassa wenu atashusha bei ya crude oil..... Ila pure oil, ukitaka chuja crude oil then pitia gharama zote, utaniambia ungekua ni wewe, umechuja, ukasafirisha, bado tenderer atake faida, je bei ungetaka ifike shingapi? Ulitaka Lita iuzwe buku nini?
 
kusema tu atashusha bei ya mafuta NYUMBU wanafurahi! hivi mmewahi kujiuliza atashushaje au ana visima vya mafuta!?
tumieni hiyo zawadi ya kichwa kwa kufikiri angalau kidogo sio kufugia nywele tu

Umenifurahisha sana ebu waeleze hata wajitambue kidogo
 
Mara $40 Mara $38, sasa mwisho mtasema pipa la mafuta ni bure, ila kumbuka hiyo $40. Ni crude oil, basi ujue Lowassa wenu atashusha bei ya crude oil..... Ila pure oil, ukitaka chuja crude oil then pitia gharama zote, utaniambia ungekua ni wewe, umechuja, ukasafirisha, bado tenderer atake faida, je bei ungetaka ifike shingapi? Ulitaka Lita iuzwe buku nini?

Hata kama ni hivyo, bei ya nishati ya mafuta inapaswa kuwa si zaidi ya TZS 1,600 kote nchini!!

Hapa muhimu ni kuwa na mipango na sera nzuri tu za kiuchumi, baaaasi!!

Inawezekana!!....The problem here is CCM na sera zake za kiuchumi na kodi....zinaumiza watu, zime fail!!
 
Labda mafuta ya alizeti haha..... Na unaamini kweli itakua hivyo? Hivi wewe ni kilaza eeee?

Subiri dogo sindano ikuingie, sindano hii imewachoma pabaya, katikati ya makalio yenu lazima mruke luke,subiri sindano ipenyeze dogo..
 
Wanajamvi.

Ni kilio cha kusaga meno mitaani kwani bei ya petroli na diesel ipo juu kutokana na wakubwa kuishikilia biashara hii.

Mgombea urais kupitia CHADEMA Edward Lowassa amesema ataporomosha bei ya mafuta akitinga ikulu kwani kufanya hivyo kutasaidia mfumuko wa bei kuwa chini kwa bidhaa nyingine.
Hivi tangu lini mwizi akwa mtu wa msaada kwa jamii?
 
Kaa kimya si lazima uwe unacomment kila kitu kama hujui mambo ya hydrocarbon! ... Crude oil inatoa product nyingi na kwa taarifa yako hapa tunazungumzia bei ya pipa siyo lita moja... kweli CCM mtaji wao ni Ujinga !!! Unajua sababu ya kuua TIPPER? MAJIZI MAKUBWA ...
Kweli Lowasa ufisadi umemchanganya hasa baada ya kusikia kuwa mahakama ya mafisadi itaanzishwa ndiyo kachanganyikiwa kabisa.
 
Kaa kimya si lazima uwe unacomment kila kitu kama hujui mambo ya hydrocarbon! ... Crude oil inatoa product nyingi na kwa taarifa yako hapa tunazungumzia bei ya pipa siyo lita moja... kweli CCM mtaji wao ni Ujinga !!! Unajua sababu ya kuua TIPPER? MAJIZI MAKUBWA ...

Kwa hiyo unataka kusema pipa linauzwa $40, nitayari mafuta yaliyo chujwa? Hivi wewe ni mmsai wa makuyuni eeee? Hebu kasome upya hiyo Habari, uilewe vizuri, afu rudi huku, sio unakurupuka kama mtu alitoka usingizini baada ya mda wa kazi kufika but still on bed.
 
Back
Top Bottom