MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Makampuni makubwa ya mafuta hapa Tanzania yanamilikiwa na familia ya KIKWETE.
Thubutuuu! Hayo mafutz anatengeneza mwenyewe?
kusema tu atashusha bei ya mafuta NYUMBU wanafurahi! hivi mmewahi kujiuliza atashushaje au ana visima vya mafuta!?
tumieni hiyo zawadi ya kichwa kwa kufikiri angalau kidogo sio kufugia nywele tu
kila bodaboda nitammilikisha nyumba.........",waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,lowasa lowasa lowasa lowasa.....
Na mi nashangaaa hivi watu hawasikilizi habari za kimataifa na hawajui shale oil ni nini, pia OPEC wanahangaika kuzalisha mafuta kwa wingi pamoja na mmarekani kuzalisha kwa njia ya shale.
Hapo hata mimi kanigusa, haya ndiyo mambo yanayowagusa watz woote siyo kujenga mahakama ya mafisadi!! Itanisaidia nini hiyo mahakama???
Wewe Lofa kweli tatizo lenu mnasoma vichwa vya Habari, $40 NI PIPA LA MAFUTA AMBAYO HAYAJACHUJWA (CRUDE OIL). Kweli Mkapa yuko sahihi kabisa mzazi, kama uko comfortable na hiyo post hahaha tell you voting for lowasa is like chilling with a zombie diablo lowasa de mello Gãndhi!!
wewe acha kujitoa fahamu hizo ni bei za mafuta ambayo hayajasafishwa ndio hutolewa takwimu zake na kuuzwa kwa pipa sio lita sasa umejiuliza gharama za kuyasafisha mpaka yanakuja kwako ikoje?....Lowassa hana uwezo wa kushusha mafuta bei tusijidanganyeMtimbo Wewe ndio unaweza kuwa Nyumbu,
FACTS: mafuta yalikua TZS 2100 wakati pipa likiwa USD 107 (sawa na TZS188,320 sawa na TZS941 per litre) bei ya mafuta ikashuka hadi USD 55 sawa na TZS 118,800 sawa na TZS594. Bei ya Mafuta mtaani ni TZS 2298
Angalia hapa: Bei ya lita mtaani ilikua TZS 2,100 wakati wananunua lita kwa TZS 941
sasa hivi bei 2,298 wakati wananunua lita kwa TZS 594.
SAWLI nani Nyumbu? Je kama kweli Lowasa kasema mafuta yatashuka kuna logic?
Note bei ilipokua USD107 exchange rate 1760 na sasa bei USD55 nimetumia exchange 2160
Kumbuka pia gharama za usafirishaji duniani zimeshuka kwa sababu ya kushuka kwa gharama za mafuta not considered.
Tujadiliane bila matusi
Acha kujitoa ufahamu wewe, 2010 chama Fulani kilikuwa na Sera ya elimu bure kwa wrote kuanzia chekechea had I chuo, chama kikubwa na wanazi wake wakapinga katakata kwamba haiwezekani na kwamba haitakuwa, cha kushangaza Leo 2015 chama like like kikubwa kinajinadi na wagombea wao kuwa watatoa elimu bure iwapo watarudi tens madarakana kitu walichokipinga 2010. Sasa sisi wananchi wa kawaida tuwaeleweje? Kwa mantiki hiyo usilete ubishi kwamba being ya mafuta haiwezi kushuka, yeye anajua atafanyaje hadi halo hiyo itokee. Tusiwe wanazi kupitiliza kwa vitu ambavyo so kwa faida ya wengi. Watanzania tulipofikia mabadiliko lazima, tukiwapa nafasi wakashindwa kutekeleza ahadi zao tutawahukumu muda ukifika, ila kwa sasa acha tuwape nafasi.
Thubutuuu! Hayo mafutz anatengeneza mwenyewe?
Hayo ndio mawazo tunayoyataka,keep it up Lowassa
Mtimbo Wewe ndio unaweza kuwa Nyumbu,
FACTS: mafuta yalikua TZS 2100 wakati pipa likiwa USD 107 (sawa na TZS188,320 sawa na TZS941 per litre) bei ya mafuta ikashuka hadi USD 55 sawa na TZS 118,800 sawa na TZS594. Bei ya Mafuta mtaani ni TZS 2298
Angalia hapa: Bei ya lita mtaani ilikua TZS 2,100 wakati wananunua lita kwa TZS 941
sasa hivi bei 2,298 wakati wananunua lita kwa TZS 594.
SAWLI nani Nyumbu? Je kama kweli Lowasa kasema mafuta yatashuka kuna logic?
Note bei ilipokua USD107 exchange rate 1760 na sasa bei USD55 nimetumia exchange 2160
Kumbuka pia gharama za usafirishaji duniani zimeshuka kwa sababu ya kushuka kwa gharama za mafuta not considered.
Tujadiliane bila matusi
Mkuu bora hata ucngemjibu sizani kama ameelewa.! Mafuta ni shida kwa sasa.!! Hii serikali dhaifu na bei zao elekezi za Ewura ni majanga!! Labda ngoja tuusubiri uchaguzi upite.
wewe acha kujitoa fahamu hizo ni bei za mafuta ambayo hayajasafishwa ndio hutolewa takwimu zake na kuuzwa kwa pipa sio lita sasa umejiuliza gharama za kuyasafisha mpaka yanakuja kwako ikoje?....Lowassa hana uwezo wa kushusha mafuta bei tusijidanganye
Kweli we kilaza, je kakwambia anatafanya procedure gani ili yashuke bei? Tafakari sio kila jambo unaloambiwa ni kulipokea!!! Mkapa hakukosea nimeanza kuamini.
kusema tu atashusha bei ya mafuta NYUMBU wanafurahi! hivi mmewahi kujiuliza atashushaje au ana visima vya mafuta!?
tumieni hiyo zawadi ya kichwa kwa kufikiri angalau kidogo sio kufugia nywele tu