Lowassa: Nitashusha bei ya mafuta

Lowassa: Nitashusha bei ya mafuta

alikua wapi skuzote , wakati ni waziri..????..........kura yanngu haipati....na kama kweli ukawa mnauchungu na maendeleo mngesimamisha mtu wenu...mmeishia kumsimamisha mtu mwenye sera za ccm....na miaka 50 yote..kafanyia kazi ccm...na mmesema hamjaona mabadiliko....sasa mamvi ndo ataleta...basi ccm ibado imara..mtaangaika saana...mwaka huu..ila ccm kupinduka shau...tukutane oktoba #hapanikazitu

How old are you? 😉
 
TAFAKARI EWE UNAYEJIITA MWANA CHADEMA
----------------------------------------------
Inasikitisha sana kuona ukabila na undugu kama huu Tz...

1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman
Mbowe (mchaga,kilimanjaro)

2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu
Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)

3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama -
Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga,
kilimanjaro)

4. Mkurugenzi wa Rasilimali wa chama- Ndugu
Suzan Lymo (mchag,Kilimanjaro)

5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu
John Mrema (mchaga, kilimanjaro)

6. Naibu katibu Mkuu wa chama - John
Mnyika ( mpare wa kilimanjaro mwenye maskani yake Dar)

7. Mwenyekiti wa Wanawake Halima Mdee (Mpare wa Kilimanjaro mwenye maskani yake Dar es Salaam)

8. Makamu mwenyekiti wa Wazee Susan Lymo (mchaga wa Kilimanjaro)

9. Walinzi wote wa Mbowe (wachaga wa Kilimanjaro)

10. Asilimia 98 ya madereva wa Chama wachaga wa Kilimanjaro

Asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa Chadema wanatoka Kilimanjaro na
Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Joyce Mukya, Grace Kihwelu, Suzan Lymo, Lucy Ndesamburo Owenya, Cecilia Pareso, Rebecca Mngodo na Rose Kamili.

11:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB
wa kuteuliwa,

12😀k Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb
wa kuteuliwa

13:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa
Kuteuliwa

16:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB
kuteuliwa

16:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe
Mwenyekiti wa Chama,
Hii familia inataka iongoze watu zaidi ya milioni
44 haitakuja kutokea katika historia ya Tanzania

Ndio wanafamilia hawahawa waliomtengenezea zengwe la kumfukuza Mh Zitto Kabwe katika chama hiki cha kifamilia baada ya kuona anakubalika ndani ya chama hicho na anauwezo wa kuwa mwenyekiti endapo angechuana na Mbowe lakini si mchaga wala mtu was kaskazini.

Hapo ndipo vikao vya kifamilia vikaanza na kuamua kumtimua Zitto.

Wanafamilia hawa ndio wamemuuzia chama chao Edward Lowassa kwa kiasi cha Billion 10 ili agombee urais kupitia chama hiki! Dr Slaa alipohoji akaambiwa wewe sio mwanafamilia hivyo tulikustili kwa muda tu. Ndipo slaa akagundua kuwa sio chama bali ni SACCOS na kuamua kujiengua.

Mwl Nyerere aliwahi kusema, nanukuu " Mtu anayeonekana anapenda sana kwenda ikulu hafai hata kidogo ni wa kukwepa kama Ukoma".

NDG watanzania huyu Lowassa anavyopenda sana kwenda ikulu tumkwepe. Hizo bilioni 10 alizonunulia chama anataka akazirudishe kwa kutuibia sisi wananchi. ZINDUKA!

Kama amenunua chama akipewa nchi siataiuza kurudisha gharama zake......!!!!?

#SayNo2Fisadi
#FisadiMwikoIkulu
#RestInPeaceFisadi
#NoEntryB
 
Huna akili ww ... endelea kupiga ngoma ... Kuchezea nishati kwa kuweka mikodi isiyokuwa na maana unaua kila sekta ya kiuchumi ... CCM mmeshindwa kila kitu! Utazuia vipi mfumuko wa bei na kuzalisha kwa gharama nafuu kama unapandisha bei ya nishati? ... Kafie mbele ww mhudumu wa Lodilofa
Kwa hiyo unataka kusema pipa linauzwa $40, nitayari mafuta yaliyo chujwa? Hivi wewe ni mmsai wa makuyuni eeee? Hebu kasome upya hiyo Habari, uilewe vizuri, afu rudi huku, sio unakurupuka kama mtu alitoka usingizini baada ya mda wa kazi kufika but still on bed.
 
We mpumbavu mwambie fisadi lenu kuwa hapati kitu na mahakama ya ufisadi sasa inaanzishwa sijui ataponea wapi.

Mwaka huu nyie mnaokula kupitia LUMUMBA Mtaweka cheka.

Lowassa ikulu yake.
 
Wanajamvi.

Ni kilio cha kusaga meno mitaani kwani bei ya petroli na diesel ipo juu kutokana na wakubwa kuishikilia biashara hii.

Mgombea urais kupitia CHADEMA Edward Lowassa amesema ataporomosha bei ya mafuta akitinga ikulu kwani kufanya hivyo kutasaidia mfumuko wa bei kuwa chini kwa bidhaa nyingine.
Pia amesema atazuia viongozi wa chama na serikali kutumia usafiri binafsi badala yake watatumia Bodaboda......Yeye ataachana na Lexus na Nissan Patrol atatumia Altezza......Maamuzi magumu haya ee?
 
Nampenda Lowassa kwasababu ana hulka za kiuongozi. Jambo kama hilo linatekelezeka vizuri tu na lina athari chanya na za moja kwa moja kwa maisha ya mtanzania mmojammoja!
Anatatua tatizo kutoka kwenye mzizi, sio kukata shina unaacha mzizi!
Mimi na familia yangu tutampigia #LOWASSA pamoja na wagombea wa #UKAWA.
 
Kuna mtu atakuja kusema anakataza kauli kama hizo kwani
zinaweza leta uvunjifu wa amanai na uhaba wa mafuta vituoni....
hivyo mgombea husika haache kusema hivyo.[/QUOTE
Wewe ni zaidi ya nyumbu inaonekana kabisa ni jinsi gani ulivyo zaidi ya Lofa na mpumbavu. Fuatilia ujue ni kwa sababu gani mafuta yamepanda bei. Kama hujui nakujuza, tenda mpya ya kuingia mafuta imetolewa kinyemela na bei yake iko juu kuliko tenda ya mwisho, kabla mafuta yaliingizwa kwa bei ya $40 kwa Tani moja, sasa hivi yanaletwa kwa $60 kwa Tani wakati bei ya mafuta duniani haijapanda. Endelea kubishana kipumbavu na kilofa lofa.
 
Kuna mtu atakuja kusema anakataza kauli kama hizo kwani
zinaweza leta uvunjifu wa amanai na uhaba wa mafuta vituoni....
hivyo mgombea husika haache kusema hivyo.[/QUOTE
Wewe ni zaidi ya nyumbu inaonekana kabisa ni jioni gani ulivyopanga zaidi ya Lofa na mpumbavu. Fuatilia ujue ni kwa sababu gani mafuta yamepanda bei. Kama hujui nakujuza, tenda mpya ya kuingia mafuta imetolewa kinyemela na bei yake iko juu kuliko tenda ya mwisho, kabla mafuta yaliingizwa kwa bei ya $40 kwa Tani moja, sasa hivi yanaletwa kwa $60 kwa Tani wakati bei ya mafuta duniani haijapanda. Endelea kubishana kipumbavu na kilofa lofa.
 
Mtimbo Wewe ndio unaweza kuwa Nyumbu,

FACTS: mafuta yalikua TZS 2100 wakati pipa likiwa USD 107 (sawa na TZS188,320 sawa na TZS941 per litre) bei ya mafuta ikashuka hadi USD 55 sawa na TZS 118,800 sawa na TZS594. Bei ya Mafuta mtaani ni TZS 2298

Angalia hapa: Bei ya lita mtaani ilikua TZS 2,100 wakati wananunua lita kwa TZS 941
sasa hivi bei 2,298 wakati wananunua lita kwa TZS 594.

SAWLI nani Nyumbu? Je kama kweli Lowasa kasema mafuta yatashuka kuna logic?

Note bei ilipokua USD107 exchange rate 1760 na sasa bei USD55 nimetumia exchange 2160

Kumbuka pia gharama za usafirishaji duniani zimeshuka kwa sababu ya kushuka kwa gharama za mafuta not considered.

Tujadiliane bila matusi

...kwani mafuta nchi za jirani ni bei gani? Nchi zingine za EAC kwani wao bei ikoje
 
wewe acha kujitoa fahamu hizo ni bei za mafuta ambayo hayajasafishwa ndio hutolewa takwimu zake na kuuzwa kwa pipa sio lita sasa umejiuliza gharama za kuyasafisha mpaka yanakuja kwako ikoje?....Lowassa hana uwezo wa kushusha mafuta bei tusijidanganye

Mkuu takwimu huwa hazijibi kwa maneno, hujibiwa kwa takwimu tu. Lete zako hapa tuone utofauti
 
TAFAKARI EWE UNAYEJIITA MWANA CHADEMA
----------------------------------------------
Inasikitisha sana kuona ukabila na undugu kama huu Tz...

1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman
Mbowe (mchaga,kilimanjaro)

2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu
Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)

3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama -
Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga,
kilimanjaro)

4. Mkurugenzi wa Rasilimali wa chama- Ndugu
Suzan Lymo (mchag,Kilimanjaro)

5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu
John Mrema (mchaga, kilimanjaro)

6. Naibu katibu Mkuu wa chama - John
Mnyika ( mpare wa kilimanjaro mwenye maskani yake Dar)

7. Mwenyekiti wa Wanawake Halima Mdee (Mpare wa Kilimanjaro mwenye maskani yake Dar es Salaam)

8. Makamu mwenyekiti wa Wazee Susan Lymo (mchaga wa Kilimanjaro)

9. Walinzi wote wa Mbowe (wachaga wa Kilimanjaro)

10. Asilimia 98 ya madereva wa Chama wachaga wa Kilimanjaro

Asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa Chadema wanatoka Kilimanjaro na
Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Joyce Mukya, Grace Kihwelu, Suzan Lymo, Lucy Ndesamburo Owenya, Cecilia Pareso, Rebecca Mngodo na Rose Kamili.

11:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB
wa kuteuliwa,

12😀k Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb
wa kuteuliwa

13:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa
Kuteuliwa

16:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB
kuteuliwa

16:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe
Mwenyekiti wa Chama,
Hii familia inataka iongoze watu zaidi ya milioni
44 haitakuja kutokea katika historia ya Tanzania

Ndio wanafamilia hawahawa waliomtengenezea zengwe la kumfukuza Mh Zitto Kabwe katika chama hiki cha kifamilia baada ya kuona anakubalika ndani ya chama hicho na anauwezo wa kuwa mwenyekiti endapo angechuana na Mbowe lakini si mchaga wala mtu was kaskazini.

Hapo ndipo vikao vya kifamilia vikaanza na kuamua kumtimua Zitto.

Wanafamilia hawa ndio wamemuuzia chama chao Edward Lowassa kwa kiasi cha Billion 10 ili agombee urais kupitia chama hiki! Dr Slaa alipohoji akaambiwa wewe sio mwanafamilia hivyo tulikustili kwa muda tu. Ndipo slaa akagundua kuwa sio chama bali ni SACCOS na kuamua kujiengua.

Mwl Nyerere aliwahi kusema, nanukuu " Mtu anayeonekana anapenda sana kwenda ikulu hafai hata kidogo ni wa kukwepa kama Ukoma".

NDG watanzania huyu Lowassa anavyopenda sana kwenda ikulu tumkwepe. Hizo bilioni 10 alizonunulia chama anataka akazirudishe kwa kutuibia sisi wananchi. ZINDUKA!

Kama amenunua chama akipewa nchi siataiuza kurudisha gharama zake......!!!!?

#SayNo2Fisadi
#FisadiMwikoIkulu
#RestInPeaceFisadi
#NoEntryB

Mkuu hoja yako inahusiana vipi na mafuta kupanda ama kushuka bei?

Jitazame kama upo kwenye thread sahihi, na uwepo wako hapa JF unaleta afya au la?
 
Mtu kasomea maigizo na kukata mauno anakuja danganya watu hapa.
Bei ya mafuta ya petrol inapangwa huko ulimwengu wa kwanza na sie wa ulimwengu wa tatu tunapewa bei elekezi tu,mambo kama hayo awadanganye hao wanywa viroba wake.
 
TAFAKARI EWE UNAYEJIITA MWANA CHADEMA
----------------------------------------------
Inasikitisha sana kuona ukabila na undugu kama huu Tz...

1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman
Mbowe (mchaga,kilimanjaro)

2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu
Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)

3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama -
Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga,
kilimanjaro)

4. Mkurugenzi wa Rasilimali wa chama- Ndugu
Suzan Lymo (mchag,Kilimanjaro)

5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu
John Mrema (mchaga, kilimanjaro)

6. Naibu katibu Mkuu wa chama - John
Mnyika ( mpare wa kilimanjaro mwenye maskani yake Dar)

7. Mwenyekiti wa Wanawake Halima Mdee (Mpare wa Kilimanjaro mwenye maskani yake Dar es Salaam)

8. Makamu mwenyekiti wa Wazee Susan Lymo (mchaga wa Kilimanjaro)

9. Walinzi wote wa Mbowe (wachaga wa Kilimanjaro)

10. Asilimia 98 ya madereva wa Chama wachaga wa Kilimanjaro

Asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa Chadema wanatoka Kilimanjaro na
Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Joyce Mukya, Grace Kihwelu, Suzan Lymo, Lucy Ndesamburo Owenya, Cecilia Pareso, Rebecca Mngodo na Rose Kamili.

11:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB
wa kuteuliwa,

12😀k Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb
wa kuteuliwa

13:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa
Kuteuliwa

16:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB
kuteuliwa

16:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe
Mwenyekiti wa Chama,
Hii familia inataka iongoze watu zaidi ya milioni
44 haitakuja kutokea katika historia ya Tanzania

Ndio wanafamilia hawahawa waliomtengenezea zengwe la kumfukuza Mh Zitto Kabwe katika chama hiki cha kifamilia baada ya kuona anakubalika ndani ya chama hicho na anauwezo wa kuwa mwenyekiti endapo angechuana na Mbowe lakini si mchaga wala mtu was kaskazini.

Hapo ndipo vikao vya kifamilia vikaanza na kuamua kumtimua Zitto.

Wanafamilia hawa ndio wamemuuzia chama chao Edward Lowassa kwa kiasi cha Billion 10 ili agombee urais kupitia chama hiki! Dr Slaa alipohoji akaambiwa wewe sio mwanafamilia hivyo tulikustili kwa muda tu. Ndipo slaa akagundua kuwa sio chama bali ni SACCOS na kuamua kujiengua.

Mwl Nyerere aliwahi kusema, nanukuu " Mtu anayeonekana anapenda sana kwenda ikulu hafai hata kidogo ni wa kukwepa kama Ukoma".

NDG watanzania huyu Lowassa anavyopenda sana kwenda ikulu tumkwepe. Hizo bilioni 10 alizonunulia chama anataka akazirudishe kwa kutuibia sisi wananchi. ZINDUKA!

Kama amenunua chama akipewa nchi siataiuza kurudisha gharama zake......!!!!?

#SayNo2Fisadi
#FisadiMwikoIkulu
#RestInPeaceFisadi
#NoEntryB

copy and paste
 
Back
Top Bottom