rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,455
- 20,690
vigezo vya msamaha vinaeleweka kuna mkosa ambayo hayana msamaha sasa sijui atatumia vigezo vipi huyu jamaa anatumia taaluma yaeya sanaa vizuri
shtuka wewe ile kesi ilitengenezwa na hukumu yao ilishafaamika hata kabla ya case, hujiulizi kwanini alifungwa na wanawe wote hadi aliyekua under age? unataka kusema mahakama haikujua kama yule kijana alikua mdogo?
nini kilisukuma wafumbie macho suala hilo? jamaa alipanga apoteze family nzima ila baada ya shinikizo kubwa ndio kwenye rufaa wakaachia wale wawili,ila ukipata file la hukumu ndo utajua kuna mambo mengi ambayo hayakutajwa hadharani.
Una uhakika na unachosema au unaropoka tu. Marando Mabere alikuwa wakili wao anajua kila kitu. Muulize atakuambia ukweli. Acha kuleta mambo ya kijiweni hapaNi mtanzania gan asiyejua kua Babu seya alidhulumiwa, kafungwa kisa alikua anamega kisela mzigo wa kiwete! BIG UP LOWASA
hakukutana na JK barabaran so anajua mchezo uliotumika kumfunga seya babuKwa hiyo Lowasa anaamini Babu seya kaonewa? au kaona ni mtu muhimu sana hadi aachiwe? Kila siku tunawangisha vichwa kuangalia namna gani tutawalinda watoto wetu dhidi ya ukeketaji, ubakaji, mimba za utotoni, ukosefu wa elimu na ajira, halafu mshenzi mmoja anasema atamwachia huru mbakaji, kweli?
Watanzania tumekuwa wayahudi mara hii? leo hii wayahudi wanajutia kumsulubu yesu na kumwachia balaba, sie tunashangilia mtu anayetaka kumwachia mbakaji, kweli? Nimesikitika sana siko tayari kumuunga mkono Lowasa kwa namna yeyote ile nasimama peke yangu.
Lowassa ni mgonjwa anajisemea hovyo. Kinachofanya kazi ni pesa zake na si yeye.
Rubbish!!! Una uhakika? Kasema lini? Na wapi? Kama una ushahidi nakushauri ukae kimya tu. Wewe ni chuki tu binafsi dhidi ya Lowassa inakusumbua. Polee!!!
mbona aden rage aliposamehewa na rais baada ya kufungwa kwa wizi wa mipira 50 tu ya adidas yenye thamani ya tsh 2500 kila mmoja hukuandamana ?Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.
Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?
Lowassa ataleta mgongano wa kidola.
Chanzo: Raia Tanzania
Kwahiyo mahakimu na majaji waliosikiliza shauri la Babu seya hawana maana? JK pamoja na mapungufu yake anaheshimu sana utawala wa sharia na uhuru wa mahakama. Halafu leo mpuuzi mmoja anataka kura kwa kutumia hila ovu! kwetu ukimsimamisha motto wa shule hata kama unamuuliza njia tu umekwenda na maji, utakula mboko na utalipa ngombe zisizopungua kumi, halafu mtu anataka kumwachia mbakaji, hapana kabisa.
are you sure?Ni mtanzania gan asiyejua kua Babu seya alidhulumiwa, kafungwa kisa alikua anamega kisela mzigo wa kiwete! BIG UP LOWASA
hakukutana na JK barabaran so anajua mchezo uliotumika kumfunga seya babu
huenda anajua namna kesi ilivyopikwa na ushahidi feki
leo hii serikali ikitaka kukupa msala kesho asubuhi itakutwa bunduki na kipande cha meno ya tembo chumbani
utasemwa bunduki iliporwa shtakishari na tembo aliuwawa KARIAKOO usiku alipokuja mjini toka maporini
Huyu mzee hovyo kabisa kumtoa babu seya kunawahusu nn watanzania wanaotaka maendeleo?? Au ndo mabadiliko yenyewe haya??!!!
msamaha kwa mbakaji watoto....?!!
Unaongea hovyo kama mlevi wenu Luwashaaa ..anasimama anasema shut up wakati huohuo anazunguka anawaomba kura aliowaambia shut up ..acheni matusi, semeni sera zenye mashiko si porojo za babu seya ..hayo ya babu seya nendeni kwenye familia yao kwasababu hill si concern ya maendeleo yetu, kama mnataka kutoa watu magerezani semeni kwamba mna Sera ya kutoa wafungwa magerezani