DONNGO
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 369
- 120
msamaha kwa mbakaji watoto....?!!
Amekubakia wadogo zako:what: jieshmu gamba
msamaha kwa mbakaji watoto....?!!
Sasa wamekuwa maadui wakubwa kupita kiasi na uadui wao utatuletea mabadiliko makubwa mno tena mno!!Lowasa na Jakaya walikua maswahiba wakubwa. Kama Nguza alifungwa kwa shinikizo basi yeye ni mshiriki mkubwa. Hawakukutana barabarani.
Amekubakia wadogo zako:what: jieshmu gamba
Jamani huu ujinga mwingine kama tukiukubali tutakuwa watu wa hovyo na tutachekwa watu dunia nzima, kuna taratibu za kuendesha mtu, after all babu seya ni nani katika kutafuta maendeleo ya nchi hii? Ama kweli akili ni nywele......
Kale malimao huko na mwehu wenu nape.Lowassa ni mgonjwa anajisemea hovyo. Kinachofanya kazi ni pesa zake na si yeye.
Wote watatolewa tunaanza na a clean slateKama atamtoa babu seya basi amtoe na sheikh Ponda, sheikh Farid na wauaji wa albino.
Hili zee la ajabu sana kwani yeye mahakama?
Amtoe yeye nani!
weka ushahido or rather shutup
Lowasa na Jakaya walikua maswahiba wakubwa. Kama Nguza alifungwa kwa shinikizo basi yeye ni mshiriki mkubwa. Hawakukutana barabarani.
Huyu baba ana roho ya kisasi sana ndo kinachoifanya hadi CCM isambaratike roho ya kukomesha imekigharimu chama chakeNasikia kikwete ameagiza babu seya na mwanaye wabadilishiwe mashitaka ili isiwe rahisi kusamehewa kwa msamaha wa rais ajaye!!!!
Nadhani walibaka na kulawiti watoto wa shule za msingi.Je hicho ni kitendo chema?kilichowapeleka jela papii na nguza ni kitendo chao cha kujiliwaza na usingizi wa mkulu, wakaona haitoshi wakamtungia kabisa na wimbo wa SALIMA
Mbona Kikwete aliyasema hayo na hajamtoa
Lowassa ni mgonjwa anajisemea hovyo. Kinachofanya kazi ni pesa zake na si yeye.