Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Kubwajinga Mvua ya thailand ilikuwa ni sehemu ya kuonyesha kuwa Lowassa ni mtu wa kuthubutu na anapenda kujaribu teknolojia mpya. Nyie bado mnawaambia wakulima waendeleze kilimo kwa Jembe la Mkono na kutegemea mvua inayonyesha kwa Kudra ya Mwenyezi Mungu!! Lazima tuwang'oe Mwaka huu ili nchi yetu iendelee kwa kuakisi Rasirimali tulizonazo.
Allen,
- LOWASSA ni mwizi na TAPELI. Ukweli ni kuwa hakuna mvua ya kutengeneza inayotumika kiuchumi mahali popote duniani, achilia mbali Thailand ambao kuna ufuska na utapeli zaidi kuliko mashamba na viwanda. Hiyo mvua ingekuwepo California wangekuwa wanaitengeneza hivi sasa kuondoa ukame walionao.
- LOWASSA; Alikuwa anatafuta jinsi nyingine ya kuliibia taifa na wakati huo huo kulizima nyeti la Richimonduli ambalo lilikuwa linamkalia kooni wakati ule.
- LOWASSA; Angekuwa ameacha faili la aliyemuahidi mvua ya kujaza mabwawa ya umeme, kama ingekuwa ni kweli, na serikali ya Pinda ingeweza kuendeleza alikoacha wakati na yeye akilisukuma akiwa bungeni. Hayo hayakutokea.