Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Muulize Mzee wa Msoga anajua ziko wapi.
Kweli ni vibaya kumuuliza Lowassa madudu yake aliyotutendea maana ni JENEZA LINALOTEMBEA. Tusije tukamharakashia safari yake.
Muulize Mzee wa Msoga anajua ziko wapi.
Ikiwa na yeye amefisadi atawajibishwa ila ikiwa ni mali zake aendelee tu.