mizarb
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,402
- 1,290
Ha ha ha kituko cha mwaka shetani kusema ataanza kumuabudu mungu
Yah ni pale Mungu anapoudhihirisha ukuu wake na hashindwi kitu
Ha ha ha kituko cha mwaka shetani kusema ataanza kumuabudu mungu
Watanzania wana fursa ya kupata rais anayejua anataka kufanya nini kwa watanzania from day 1.
Hana muda wa honeymoon na porojo za kipuuzi.
Kura yangu anayo EL na nyingine zaidi nitajitahidi kushawishi wengine
Magufuli hana vission kabisa..... Lazima wananchi tuwe makini sana, huu ndio wakati wa mabadiliko
hiyo inawezekana 100%
rizi moko atakiona
Mods mnahujumu posts za Lowassa. Hii ipelekwe Jukwaa la Uchaguzi Tanzania. Mmeacha kule mambo ya kipuuzi ya ushindi wa yanga dhidi ya simba afu mmehamisha mada ya msingi kama hii kuileta kwenye jukwaa ambalo halina mvuto kwa sasa ili iwe je?
Waziri Mkuu mstafu na mgombea wa umoja wa Ukawa Ndg. Edward Lowassa katema cheche na kusema Ukawa wakipewa ushindi, ndani ya siku 100 ataziba mianya yote ya rushwa, ufisadi akianza na bandarini ambapo zaidi ya Billioni 21 upotea kwa siku..
Lowassa kasema kuwa serikali ya Ukawa itakuwa na wajibu mmoja tu, ambao ni kutoa huduma iliyobora kwa wananchi na kwa wakati. Hiyo ndio serikali ninayotaka kuiona, na hayo ndio mabadiliko wanayoyataka wananchi. Hili litaendana na kuziba mianya ya rushwa, na nawahidi ndani ya siku 100 mianya hiyo itazibwa.....
Hawa majamaa saizi ni kuwapuuza tu. Manake wameamua kuwa upande moja waziwazi kabisa.... Forum inakufa
Mafisadi kama Home shopping centre, Escrow, Richmond, Meremeta, Kagoda, zile Bl 8 za TCRA, waanze kukimbia mapema. Kiama kimefika, bado siku 27 tu
Ha ha ha kituko cha mwaka shetani kusema ataanza kumuabudu mungu
Mkuu panua Akili usipanue vidole ni lini lowasa akawa na dhamira ya dhati ya kukemea rushwa
Ni upofu tu wa pesa ndio umekufikisha hapo huko nyuma hukuwa hivyo
Fisadi huku kwetu nanjilinji wanajuwa n lowasa ambaye yuko ukawa
Zile episode zako za uongo zimeishia wapi? Baada ya kutueleza uongo Dr slaa kaja kukuumbua ,
Endeleeni kupiga hela za hilo fisadi lenu ila nchi n ya Dr Magufuli
Kwanini uame nchi???? Au kwasababu unaogopa utafungwa kwa wizi wenu wa maccm????Magufuli asipokuwa Rais , nahama nchi
LOWASSA Kaikuta JF na Atafilisika Kama Mrema na Kuiacha JF Ikidunda Tu. Acheni Kulalamika Kama Mbowe!
Tunahitaji mabadiliko yaliyo bora chini ya Dr Magufuli