Lowassa: Nitadhibiti rushwa kwa siku 100

Zile episode zako za uongo zimeishia wapi? Baada ya kutueleza uongo Dr slaa kaja kukuumbua ,

Endeleeni kupiga hela za hilo fisadi lenu ila nchi n ya Dr Magufuli

Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
 
Magufuli asipokuwa Rais , nahama nchi

Tunahitaji mabadiliko yaliyo bora chini ya Dr Magufuli

Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
 
LOWASSA Kaikuta JF na Atafilisika Kama Mrema na Kuiacha JF Ikidunda Tu. Acheni Kulalamika Kama Mbowe!

Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
 
Mfa Maji Haishi Kutapatapa. Mwenzetu ni Mgonjwa na Ana Ndoto za Mwendawazimu.

Hivi LOWASSA Hajaacha Tabia Yake ya Kuwalaghai Watanzania? Zile Mvua za Thailand Ziliishia Wapi?

Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
 
Mafidasi ndani ya CCM mkimsikia tu Lowassa mnapata uharo..... Ataanza na wale jamaa wa Home Shopping Centre ambapo Prince na Bi mdogo wana pct pale

Haaaaaaaa wacha urongo wewe anayeharisha mnae hukohuko ukawa
 
Sambamba na hapo atavibomoa vijumba vyote vya udongo kuanzia huko Kigoma hadi Manyara...

Kweli mazingaumbwe hayataisha toka kwa nywele nyeupe. "Shetani aamua kumuabudu Mungu"

Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
 
We kweli kubwajinga kama jina lako.... Mtazidi kusema ni mgonjwa ila sisi tunazidi kutafuta kura kwa wananchi vijijini

Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
 
Khaaa ! hili swali unauliza leo!?......wewe stupid kama ukawa !

Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
 
Anatafuta ugomvi na wachagga.

Kuna mtu ananambia ukienda idara ya yoyote ukikuta kuna mchagga ujuwe tatizo lako limeisha, unamnunuwa kwa thamani ndogo tu. Mwiko mchagga kukataa pesa.

Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
 
Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?

Kiongozi, Lowassa akimaliza kuwajengea maghorofa baada ya kutoa vijumba vyenu vya nyasi ndani ya siku 100 niite tusaidiane kupambana na rushwa...pathetic you!!!
 
Huna Elimu ndiyo maana unashindwa kujibu hoja unatukana.
Msipende kutoa hoja ambazo hamuwezi kuzitetea.

Wewe n punga hiyo elimu ya kudesa nayo n elimu

Tatizo lako unapanua vidole badala ya kupanua akili
 
Watanzania wenzangu tusidanganywe kuwa Magufuli atabadilisha hii nchi... hawezi watoa mabalozi, wakuu wa wilaya na mikoa waliowekwa wiki iliyopita, hawezi ondoa mizizi ya JK, hawezi ondoa mtu pale Bandarini maana wao ndo walimuweka pale.
Lowasa pekee anaweza maana akiingia mabalozi, wakurugenzi, wakuuu wa wilaya na mikoa wote watabalishwa na nchi itapaa hadi watuoneee gere
 
uyu ndiye hasa anayejua awa wapigaji wanapigia wapi na wanapigaje hivyo nina imani kubwa sana anaposema atadhibiti rushwa kwa siku 100 kwanza naona ni nyingi hizo ni siku 70 tu. Magufuli hajui chochote hajui watu wanapigaje na wanapigia wapi hivyo magufuli akipita na kuwa raisi tutegemee maumivu makubwa sana maana atakua anababatizwa tu akija kustuka tayari kaingizwa kwenye deal hivyo anaamua kukaa kimya. Tumpe kura lowasa akazibe ile mifereji yote
 
Sambamba na hapo atavibomoa vijumba vyote vya udongo kuanzia huko Kigoma hadi Manyara...

Kweli mazingaumbwe hayataisha toka kwa nywele nyeupe. "Shetani aamua kumuabudu Mungu"

Nenda mmu ndipo kunakufaa
 
tunataka kiongozi ambaye akiongelea rushwa anaoingelea kwa dhati toka moyoni mtu aliyekuwa ananunua viongozi wa dini,wanavyuo,wajumbe wa ccm ili apate urais leo anasema atadhibiti rushwa huu ni uwongo wa mwaka
 
Back
Top Bottom