Lowassa: Nitadhibiti rushwa kwa siku 100

Lowassa: Nitadhibiti rushwa kwa siku 100

Magufuli hana vission kabisa..... Lazima wananchi tuwe makini sana, huu ndio wakati wa mabadiliko

Hata kama vision si sawa vission tumekuelewa. Lowasa ana vision gani? Kisha anaongozwa na core value gani? Halafu mbona hajawahi kutueleza strategies zake za kuendea hiyo vision yake. Isije akawa hapa juujuu tu anatuambia elimu elimu elimu huku hakuna mkakati wowote wa kufikisha elimu ya bure kw wotea
 
Lowassa-list of shame.JPG Kubenea na Lowassa.JPG
Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
 
Zile episode zako za uongo zimeishia wapi? Baada ya kutueleza uongo Dr slaa kaja kukuumbua ,

Endeleeni kupiga hela za hilo fisadi lenu ila nchi n ya Dr Magufuli

Na Gwajima vipi mbona hamumujibu mshenga ili tuseme South kuna nini.
 
Waziri Mkuu mstafu na mgombea wa umoja wa Ukawa Ndg. Edward Lowassa katema cheche na kusema Ukawa wakipewa ushindi, ndani ya siku 100 ataziba mianya yote ya rushwa, ufisadi akianza na bandarini ambapo zaidi ya Billioni 21 upotea kwa siku..

Lowassa kasema kuwa serikali ya Ukawa itakuwa na wajibu mmoja tu, ambao ni kutoa huduma iliyobora kwa wananchi na kwa wakati. Hiyo ndio serikali ninayotaka kuiona, na hayo ndio mabadiliko wanayoyataka wananchi. Hili litaendana na kuziba mianya ya rushwa, na nawahidi ndani ya siku 100 mianya hiyo itazibwa.... Alisema

Kwa hii hatua na kauli ya Lowassa ni wazi wananchi wanaelekea kufaidi matunda ya nchi yao, na sio kikundi kidogo cha watu.. Hatua kama hizi zilifanikiwa sana Singapore, Malaysia, Taiwan na Korea Kusini.. Na hata Rwanda baada ya Kagame kuingia ndani ya siku chache alifanikiwa kuthibiti rushwa, ufisadi na aina zote za dhuluma...

Mytake: Nafurahi kuona serikali ya Ukawa kutupeleka katika speed ya maendeleo kama Singapore, Korea Kusini au Malysia....

Inawezekana kabisa akadhibiti RUSHWA. Kumbuka kudhibiti sio kuondoa au kuzuia rushwa. Nadhani kwa tamaa yake akiwa Rais rushwa zote zitakuwa amedhibiti ziende kwake tu na sio mtu mwingine. Uwezo huu wa kudhibiti rushwa zote zikaelekezwa kwake Lowassa anao kabisa. Mwananchi chukua Hatua, epuka FISADI na mla rushwa mkuu. Magufuli anatosha kuzuia rushwa nchini.
 
Sambamba na hapo atavibomoa vijumba vyote vya udongo kuanzia huko Kigoma hadi Manyara...

Kweli mazingaumbwe hayataisha toka kwa nywele nyeupe. "Shetani aamua kumuabudu Mungu"

Hatudanganyiki mwaka huu.
 
Mmhhh kwa list hiyo itabidi na yeye aanze kukimbia kivuli chake. Kwa maana hiyo sijui km tutafika mbali km hilo halitatokea

Ufisadi wa CCM unakwenda kwisha na tena hata hayo mabilioni wanayoyatumia sasa itabidi maelezo ya kutosha
 
Waziri Mkuu mstafu na mgombea wa umoja wa Ukawa Ndg. Edward Lowassa katema cheche na kusema Ukawa wakipewa ushindi, ndani ya siku 100 ataziba mianya yote ya rushwa, ufisadi akianza na bandarini ambapo zaidi ya Billioni 21 upotea kwa siku..

Lowassa kasema kuwa serikali ya Ukawa itakuwa na wajibu mmoja tu, ambao ni kutoa huduma iliyobora kwa wananchi na kwa wakati. Hiyo ndio serikali ninayotaka kuiona, na hayo ndio mabadiliko wanayoyataka wananchi. Hili litaendana na kuziba mianya ya rushwa, na nawahidi ndani ya siku 100 mianya hiyo itazibwa.... Alisema

Kwa hii hatua na kauli ya Lowassa ni wazi wananchi wanaelekea kufaidi matunda ya nchi yao, na sio kikundi kidogo cha watu.. Hatua kama hizi zilifanikiwa sana Singapore, Malaysia, Taiwan na Korea Kusini.. Na hata Rwanda baada ya Kagame kuingia ndani ya siku chache alifanikiwa kuthibiti rushwa, ufisadi na aina zote za dhuluma...

Mytake: Nafurahi kuona serikali ya Ukawa kutupeleka katika speed ya maendeleo kama Singapore, Korea Kusini au Malysia....
Maskini Tanzania watu wake wanaangamia kwa kukosa maarifa! Siku 100 rushwa iishe hospitalini,mahakamani,polisi na ofisi mbalimbali zinazotoa Huduma? This is too much lies!
 
georgemwaipungu naona umeamua kujibu mapigo. Naona unatumia nguvu nyingi kusafisha kinyesi.
....endelea lakini tukutane 25 kwenye ballot box.
 
Last edited by a moderator:
Maskini Tanzania watu wake wanaangamia kwa kukosa maarifa! Siku 100 rushwa iishe hospitalini,mahakamani,polisi na ofisi mbalimbali zinazotoa Huduma? This is too much lies!

Ndio maana mzee Mkapa akawapa majina mawili tu. Kweli taifa halina watu wenye maarifa. Na akasema atabomoa nyumba za nyasi na kuwajengea nyumba nzuri Tanzania nzima ndani ya siku 100, then watu wanasema oyeeeeeee!
 
Back
Top Bottom