Lowassa "nitaanzisha benki ya bodaboda"

Lowassa "nitaanzisha benki ya bodaboda"

Kumbe bora azungumze dakika mbili tu
akizungumza mda mrefu ndo kama haya sasa
what next?benki ya mama lishe?

Hivi bodaboda ni ajira?au ni tatizo la miundo mbinu mibovu?

Kila nchi hasa zilizoendelea zina bodaboda?

yeye akienda Ujerumani kutibiwa huwa anakuta bodaboda huko?

dunia imefika mwisho kumbe na wewe unaweza kuongea kitu cha kipuuzi kama hiki?? The boss seriously??? Yaan na wewe umeanza pointi za umbea umbea kama wanawake? Eti anaenda kutibisha ujerumani?? Kwani uwa anakuaga??? Mbona humzungumizii nduguyo na tezi dume???

Siamini aisee lowasa amewashika kubaya.
Anyway siwezi amini kuwa wewe ndo umeandika maneno haya.

Plz u a abig man i know u plz act as a man siasa zisikushushie heshima loh.

Siamini kama ni wewe umekosa pointi ukaanza kuzungumizia safari za watu waendao ujerumani au wewe ndo dr wake??? Umeanza kutoa siri za mteja wako??? Poleee
 
Benki ya bodaboda? Dunia ya leo ya sayansi na teknolojia, Lowasssa anaona jibu kwa Tanzania ni kuwa bodaboda?

Watanzania tudai mdahalo wa wagombea urais! hapa kuna hatari ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Mdahalo, now!

siku ya huo mdahalo unaoutaka ambao hautakusaidia wewe wala familia yako ninauhakika utapanda boda boda ili uwahi kufika mapema
 
Lowasa hatoi taswira ya rais ambaye anaweza kutoa kauli ya kuinspire inayoweza kuwa quoted vizazi kwa vizazi

Tatizo ni ulofa, kuna waliojinasibu hawadil na malofa wanadil na wenye uwezo wa uwekezaji mkubwa. Pamoja na kuwasababishia malofa ulofa walionao wanaponda kila kinachotamkwa cha kuwaendeleza malofa dhidi ya ulofa wao. Hawa hufurahia kusikia Dangote ametengewa heka 2000 kwa ajili ya uwekezaji, lakini dereva wa bodaboda kufunguliwa benki ili ajiendeleze kibiashara kwao ni kashfa na matusi.

Tutafika.
Halafu leo ndo mnataka kura zao?

Semeni basi ninyi mmepanga kuwasaidiaje Hawa dhidi ya ulofa wao?
Ni vyema sana tukajua mpango wenu wa kuwasaidia ili tupime mpango upi ni bora
 
Ukisikiliza maoni ya mashabiki wa CCM utagundua jinsi taifa letu lilivyo jenga fikra mgando katika jamiii yetu

Nilidhani CCM inadhamira ya dhati kuondoa umaskini lakini kumbe imejaa dharau, jeuri na kiburi dhidi ya sekta zisizo rasmi kama bodaboda, mama Ntilie na wengineo wa aina hiyo.

Ndiyo maana wanakuja na gia ya kugawa milioni hamsini kwa kila kijiji huku wananchi bado wana kumbukumbu ya yale mabilioni ya Kikwete yalivyoishia kwa wajanja wachache.
Bora nichague mchafu aliyeopolewa chooni kuliko aliyebaki chooni
 
Come on nigga!! Mbona hunijibu? Umechokoza Sasa umenasa!!

mkuu vp kwan tupo kwenye mashindano? Пнсхас хх ее!
 
Kama miundombinu itakuwa vizuri hasa barabara kukawa na reasonable traffic jam tofauti na sasa hivi, tukaanzisha viwanda vya kutosha siwaoni boda boda barabarani kubeba watu bali kuelekea makazini(viwandani),hawawezi kuisha kabisa but at least tutawapunguza na ku-idescourage hii sekta for good.....tusifike sehemu watoto wakaanza kuchukulia boda boda as a dream job
 
Kumbe bora azungumze dakika mbili tu
akizungumza mda mrefu ndo kama haya sasa
what next?benki ya mama lishe?

Hivi bodaboda ni ajira?au ni tatizo la miundo mbinu mibovu?

Kila nchi hasa zilizoendelea zina bodaboda?

yeye akienda Ujerumani kutibiwa huwa anakuta bodaboda huko?

Acha kuropoka wewe umesahau rais wako baba riz alijisifia ajira milioni moja zikiwamo za wauza vocha
 
Acha kuropoka wewe umesahau rais wako baba riz alijisifia ajira milioni moja zikiwamo za wauza vocha

Kwahiyo kama JK alituuza basi na Edo naye tukubali?
Mabadiliko yako Wapi sasa kama bado mnamcopy JK
 
Achana na hao teamtezijike hawana future. Wanasubiri hizo tisheti zipauke ndipo washtuke wameibiwa.

Humu na wasiwasi na uwezo wa watu wengine kufiri hivi ukianzisha benk ya bodaboda unadhani watakuwa wanakopesha boda tu @##$@@$$@@$ zenu hi ni benk ya vijana wote mtaji unatoka kwa ila mtaji unatokanan na boda boda
 
Ushabiki wavyama ndounatugalim wadau. Mm binafs sioni kitu chaajabu moja kwa moja naona ni moja ya upatikanaji wa ajila watu wataajiliwa nakujiajili kutokana na bank hiyo. Nimawazo mazr pia kwataifa letu. Vizr mheshimiwa kwakuliwaza hilo. Heli yako ww kuliko mtu anayesema kua atagawa hela kila kijiji manake nijanga tanzania tunavijiji vingi sana hiyo hela imetoka wapi jamani.
 
Humu na wasiwasi na uwezo wa watu wengine kufiri hivi ukianzisha benk ya bodaboda unadhani watakuwa wanakopesha boda tu @##$@@$$@@$ zenu hi ni benk ya vijana wote mtaji unatoka kwa ila mtaji unatokanan na boda boda

Ungewauliza vizuri hawa mazezeta wa CCM kwani TWB (Tanzania Women Bank) inakopesha wanawake tu?

Lowasa is creative guys...
 
Ukisikiliza maoni ya mashabiki wa CCM utagundua jinsi taifa letu lilivyo jenga fikra mgando katika jamiii yetu

Nilidhani CCM inadhamira ya dhati kuondoa umaskini lakini kumbe imejaa dharau, jeuri na kiburi dhidi ya sekta zisizo rasmi kama bodaboda, mama Ntilie na wengineo wa aina hiyo.

Ndiyo maana wanakuja na gia ya kugawa milioni hamsini kwa kila kijiji huku wananchi bado wana kumbukumbu ya yale mabilioni ya Kikwete yalivyoishia kwa wajanja wachache.
Bora nichague mchafu aliyeopolewa chooni kuliko aliyebaki chooni
Kwa nini uchague huyo mwenye uchafu wa chooni ili hali wasafi wanne wapo? Kama unapenda harufu ya chooni,bora uchagua yule aliyeko chooni.
Vinginevyo useme uchafu siyo agenda yako.
 
Benki ya Bodaboda=Benki ya Vijana

Kipi cha ajabu?
Toa ujinga wako hapa kwani vijana wote tunaendesha bodaboda we kichwa kweli,

Huyu mzee Lowasa kachanganyikiwa tena akisikia mahakama ya mafisadi ndiyo anapagawa kabisa.
 
Back
Top Bottom