Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,365
- 108,520
Hao mafisadi anaotakiwa kuwaongelea wapo wapi? Kama wapo sasa inakuaje hatujawahi kusikia wakishughulikiwa na tawala zilizopita?
Hii inathibitisha tu kuwa mgombea wa UKAWA kichwani kutupu.
Kwanza anamuachia Babu Seya, halafu haoengi chochote juu ya mafisadi.
Bado namuuliza anaenda Ikulu kufanya nini?