Lowassa "nitaanzisha benki ya bodaboda"

Lowassa "nitaanzisha benki ya bodaboda"

Japan ina eneo dogo kuliko Tanzania, tena wakazi wake ni zaidi ya mil 150. Ulisha sikia wameopt bodaboda kama ajira kwa vijana wao. Usimtetee Lowasa, hizo fikra za kizamani ndo zimetufikisha hapa. Tunataka fikra mpya. Lowasa anafanya repackaging fikra zilizofeli na kiziita mabadiliko. Tuache kuwatetea wagombea maana mwisho wa Siku sisi ndo tunaumia.

Tumia akili ndogo uliyonayo kufikiri, japan sio tanzania, uchumi wa japani sio wa tanzania, matatizo ya kiuchumi ya japani sio kama ya tanzania. Japani ni developed economy, tanzania ni kati ya nchi masikini zaidi duniani.

Sasa kama huwezi kutofautisha hilo kwa ujumla kichwani una kamasi sio akili na hukutakiwa kuandika huo uharo. Kama ni mifano toeni kwa nchi tunazolingana nazo kiuchumi, sio japan,ujerumani na fisi wengine watasema marekani.
 
Na wewe pia unashindwa kuelewa Bigger Picture

Seriously?

Kuna tofauti gani kama akisema ananzisha benki ya Vijana? Kutaja bodaboda ni kulenga kundi maalum katika jamii

Mtaji unaweza kupatikan kwa wao kununua Hisa..Kipi cha ajabu?

Tatizo lenu mna myopic Thinking

Mkuu huna haja ya kushangaa, mtu akishakua mshabiki wa ccm anakua kama mgombea ubunge wa ubungo kwa ccm,dont expect anything good from ccm supporters.
 
Kumbe bora azungumze dakika mbili tu
akizungumza mda mrefu ndo kama haya sasa
what next?benki ya mama lishe?

Hivi bodaboda ni ajira?au ni tatizo la miundo mbinu mibovu?

Kila nchi hasa zilizoendelea zina bodaboda?

yeye akienda Ujerumani kutibiwa huwa anakuta bodaboda huko?

Unanivunja mbavu yaani tunapokwenda sipo wa TZ wapo kama kituko hawawazi mbali
 
akili za lowasa zinazidi kuisha ndio maana anaongea muda mchache.
 
Cdm laana ya kumtumia huyu mzee wa watu badala ya kumuacha apumzike itawatafuna maisha yenu yote.
 
Kumbe bora azungumze dakika mbili tu
akizungumza mda mrefu ndo kama haya sasa
what next?benki ya mama lishe?

Hivi bodaboda ni ajira?au ni tatizo la miundo mbinu mibovu?

Kila nchi hasa zilizoendelea zina bodaboda?

yeye akienda Ujerumani kutibiwa huwa anakuta bodaboda huko?
Bora huyu anawasaidia bodaboda kwa mtindo huu;
attachment.php
 
uongo huu leo alikuwa kahama mjini amesema ataanzisha benki ya watu wa uchumi wa hali ya chini yaani bodaboda machinga mama ntilie na wengineo

ha ha ha,benki ya watu wa chini si zipo-National MICROFINANCE BANK(NMB).....keyword hapa ni MICROFINANCE.



PIA kuna vikoba,thinca etc..

sasa yeye BENK OF MOTORCIRLE itakua na nini kipya kuzidi hizi microfinance za sasa?
 
hahaha miaka 40 sijui kwenye siasa ndo anakuja na solution hiiiiiii! benki!!! zilizopo zoooote hakuna sio!!! ukawa nishasema humu kuchamba kwingi mkono huondoka na mavi mwishowe
 
Alisema benki ya economically marginalized groups kama boda, mama lishe etc Moderator weka hii mada sawasawa!

lakini hizi bank si zipo...
na zinatoa mkopo hadi wa elfu hamsini...?
au yeye hii motorcircle bank inatoa mkopo kuanzia sh 500 nini?
 
Last edited by a moderator:
Kuna ahadi nyingine watu huwa wahaahidi ili wapate kura na sio ili wakatekeleze kwamba wanauchungu nazo sana. Na tatzo kubwa linachangiwa na sisi Watanzania kupenda ushabiki na kutaka kusikia kile kinachochekesha tu. EL anaahidi mamb amabyo hata ukija kumuambia kuwa ni yeye aliahid hatakubali, Mtanzania tufungue akili zetu, tukubali kusikia ukweli na sio kuambiwa tunachotaka kusikia tu.

Tusikilize sera kwa makini tuwaulize watatatua namna gani na sio watupe generalization maan watakua wanatudanganya. EL anajua akiwaambia bodaboda hvyo watakubali na watampa kura ila ukweli hana nia hiyo.
 
dunia imefika mwisho kumbe na wewe unaweza kuongea kitu cha kipuuzi kama hiki?? The boss seriously??? Yaan na wewe umeanza pointi za umbea umbea kama wanawake? Eti anaenda kutibisha ujerumani?? Kwani uwa anakuaga??? Mbona humzungumizii nduguyo na tezi dume???

Siamini aisee lowasa amewashika kubaya.
Anyway siwezi amini kuwa wewe ndo umeandika maneno haya.

Plz u a abig man i know u plz act as a man siasa zisikushushie heshima loh.

Siamini kama ni wewe umekosa pointi ukaanza kuzungumizia safari za watu waendao ujerumani au wewe ndo dr wake??? Umeanza kutoa siri za mteja wako??? Poleee


Point ni kuwa anasafiri na amesafiri nchi nyingi zilizo endelea..
na amesoma UK..
je huko kuna bodaboda?
kuendeleza nchi ni kuzi accept bodaboda?
kama means ya usafiri kwa wananchi?
hajajifunza kitu katika nchi alizozitembelea?
 
ila mke wake alisema kuwa anamfahamu vizuri mmewe hana tatizo lolote.....

Wewe unavyomtazama mzee unaona yupo sawa.

anatakiwa apumzike yule sizani kama angekuwa ni mzazi wako ungefurahishwa.
 
hili ni wazo zuri sana. hii itasaidia watu kuwa na tabia ya kujiwekea akiba. aanzishe na ya mamalishe ili wasicheze upatu wazipeleke benki. makondakta, madereva, wakulima wa vitunguu nk, wote waanzishe.
 
Point ni kuwa anasafiri na amesafiri nchi nyingi zilizo endelea..
na amesoma UK..
je huko kuna bodaboda?
kuendeleza nchi ni kuzi accept bodaboda?
kama means ya usafiri kwa wananchi?
hajajifunza kitu katika nchi alizozitembelea?
kama unataka kusolve tatizo unaangalia context na zana ulizonazo. kwa context ya tanzania bodaboda ni ajira. huwezi kuwa unasolve tatizo tanzania huku kichwani unapiga picha mazingira ya uingereza. hii idea ya benki ya bodaboda ni nzuri mno.
 
Kumbe bora azungumze dakika mbili tu
akizungumza mda mrefu ndo kama haya sasa
what next?benki ya mama lishe?

Hivi bodaboda ni ajira?au ni tatizo la miundo mbinu mibovu?

Kila nchi hasa zilizoendelea zina bodaboda?

yeye akienda Ujerumani kutibiwa huwa anakuta bodaboda huko?

reasoning capacity yako.................labda kwa kuwa wengi hatupendi kufikiri.............., lakini fuatilia idadi halisi ya walengwa na iwapo hatua za makusudi zitafanyika kuwaendeleza kwa kuwajengea uwezo.
 
Mtu akikushauri wazo la kijinga, nawe unajua ni la kijinga ila ukalipokea na kufurahia unakuwa zuzu. Hilo wazo la lowasa ni la kizuzu, na wote mnaolifurahia ni mazuzu tu. Kama tunataka Mabadiliko ya kutupeleka kwenye NEEMA ya utajiri, kwa nini tuendelee kujilinganisha na maskini.? Huo ndo uzuzu,ni sawa na mtu unafurahia kuwa kesho utasafiri kwa ndege wakati umekatiwa tiketi ya basi. Kama siyo uzuzu ni kitu gani.
Hahahaaaaa, inabidi nicheke, kweli ccm ni janga la dunia, ina vijana wasio na akili kabisa. Labda nikuulize kwa hiyo akili yako ndogo unadhani mgombea wako anaesema pia anataka mabadiliko akipata urais leo keaho unaamka unakuta kila kitu safi?
 
Back
Top Bottom