laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,760
Wakati alipokuwa waziri mkuu alikuja eti na idea ya kutengeneza mawingu kutatuwa tatizo la umeme alipotoka Thailand.
Nikawaambia huyu mtu mgonjwa watu hawakuniamini, sasa wanajionea wenyewe.
Lowasa ndio rais ajae wa Tanzania.