LOWASSA ni tishio

We mchokozi sema unachotaka kusema , usiume ume, ebu eleza ulichonacho na wape watu ukweli!

Haya...au unataka tukubembeleze??

au nikusaidie??
 
Labda kama tafsiri yako ya kumsema mtu iko narrow na kufikiria kwamba mtu hawezi kusemwa mpaka atajwe jina. Huyu bwana amekuwa akishutumiwa kwa maneno na parables mbalimbali, labda kwa vile na yeye ana mtizamo marrow kama wewe, kwa kudhani kwa sababu jina lake halitamkwi wazi basi hasemwi, na hii pengine ndiyo inayomfanya hata yeye afikirie kwamba ni kipenzi cha watanzania. Kumbe anachotakiwa kukifahamu ni kwamba kila neno fisadi au mafisadi linapotajwa ametamkwa yeye. Ajue kwamba Fisadi na Lowassa ni synonimous na aelewe kwamba kila wakati linapotamkwa moja basi ajue limetajwa lingine na yote hayo yanafanya reference kwake.

Kwa hiyo ndugu yangu kama ulikuwa na wasiwasi kwamba anaogopwa basi ujue anatajwa sana kuliko mtu yeyote na kama ulikuwa unajipa moyo kwamba anaogopwa basi ujue pia kwamba kutokana na kulichukia sana jina lake basi hata kulitaja watu hawataki. Wameamua kutumia jina lake lingine i.e. FISADI.
 
Nakushukuru sana mkuu Mbopo kwa ufafanuzi huu mwanana. Huyu bwana anatajwa sana, tena kwa mabaya na dua za kumuombea kila baya hapa duniani lakini maskini hajui wala hajijui. Siyo tu kwamba hao uliowasema wanamtaja, watanzania wote wanamlaani yeye kila wanapokumbana na hali mbaya ya maisha ambayo ukali wake ungeweza kupunguzwa kama kodi zao asingekuwa anzipangia hila za kutuibia. Huyu ni next to shetani kwa kupigiwa kelele kila siku!
 
We mchokozi sema unachotaka kusema , usiume ume, ebu eleza ulichonacho na wape watu ukweli!

Haya...au unataka tukubembeleze??
au nikusaidie??

FEDHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!wote isipokuwa Dr Slaa wanamuogopa jamaa sana kwani ni mtu mwenye pesa zake na remote ya kuendeshea government!namtoa dr Slaa sababu aliweza kuikomalia kwa ujasiri report ya Dr Mwakyembe hadi jamaa akajiuzulu!
 
nimekuwa nkifuatilia kwa makini hoja za wanasiasa wa nchi hii kuanzia chama tawala mpaka vya upinzani nkagundua kuwa wote wanamuogopa lowassa.si mbowe,padri dk slaa ,prof lipumba ,mbatia.hata mwakyembe na sitta.huwa wanazungumzia ufisadi na kuponda watu wengine lakini sijawai sikia wakimsema jamaa hadharani kwanin?
unahitimu lini class 7 this year or next year
 
Siyo kwamba hasemwi. Mwenzenu huyu ni sikio la kufa!

Siyo sikio la kufa mkuu. Huyu na wapambe wake ni watu wenye ufinyu wa kujua sentiments za watu na kudhani kwamba utajiri wao haramu utawafikisha kwenye utukufu na ndiyo maana hawaishi kuleta thread za kuchokonoa na kupima upepo humu JF. Ndiyo maana mtu na akili zake anaweza kuibukia humu akidai kwamba Lowassa hana hatia na kwamba alijiuzulu kuiokoa serikali wakati tunajua kwamba hakuwa na hoja za kutetea aliyoyafanya pale mjengoni. Jamaa huyu hajawahi kukutana na changamoto zozote za kupima uwezo wake wa kujieleza au kujenga hoja na ndiyo maana huwa anaogopa kuwakabili hata waandishi wa habari wa ndani na nje zaidi ya wale wa Habari Corporation au magazeti aliyoyanunua kama Tanzania Daima ya akina Kibanda, Katabazi na Mullinda.
 
Sijui umetumia vigezo gani kujua ulicjhokiandika kwani kwa kumbukumbu zangu kati ya hao uliowataja hakuna anayemuogopa lowasa na wote huwa na wana ujasili wa kuymtaja bila woga..............ila nahisi mafisadi wapo kazini kwa style tofauti
 
Ndugu yangu hawa watu wana matatizo ya uelewa finyu. Sitta na Mwakyembe wamekuwa wakitoa matamko ya wazi kumhusu huyu jamaa na hata kwenye tuhuma za Mwakyembe kuhusu tisho la maisha yake ametamka wazi jinsi Fred alivyohusika. Ulitaka amtaje vipi au aandike kwenye jiwe kama zile amri kumi za Mungu alizopewa Nabii Mussa? Hawa jamaa wamemkata jongoo kwa meno mara kibao na huyu mtu wenu kila akilala anawaota hao unaosema wanamuogopa.
 
Labda kama tafsiri yako ya kumsema mtu iko narrow na kufikiria kwamba mtu hawezi kusemwa mpaka atajwe jina. Huyu bwana amekuwa akishutumiwa kwa maneno na parables mbalimbali, labda kwa vile na yeye ana mtizamo marrow kama wewe, kwa kudhani kwa sababu jina lake halitamkwi wazi basi hasemwi, na hii pengine ndiyo inayomfanya hata yeye afikirie kwamba ni kipenzi cha watanzania. Kumbe anachotakiwa kukifahamu ni kwamba kila neno fisadi au mafisadi linapotajwa ametamkwa yeye. Ajue kwamba Fisadi na Lowassa ni synonimous na aelewe kwamba kila wakati linapotamkwa moja basi ajue limetajwa lingine na yote hayo yanafanya reference kwake.

Kwa hiyo ndugu yangu kama ulikuwa na wasiwasi kwamba anaogopwa basi ujue anatajwa sana kuliko mtu yeyote na kama ulikuwa unajipa moyo kwamba anaogopwa basi ujue pia kwamba kutokana na kulichukia sana jina lake basi hata kulitaja watu hawataki. Wameamua kutumia jina lake lingine i.e. FISADI.

mh mh si kweli akiongewa fisadi basi ujue ni r.a ndo mwakyembe huwa anamtamka hata kwenye vikao vy a cc
 
Alikuwa bado kwao Somalia ambako TV zimepigwa marufuku. Ndo maana anasema kwamba master wake anaogopwa. Mwenzio anatamani kuhama nchi!
 
mh mh si kweli akiongewa fisadi basi ujue ni r.a ndo mwakyembe huwa anamtamka hata kwenye vikao vy a cc

Kwani RA si ni mifuko ya suruali ya Lowassa. Au wewe hujui hilo? kwani utajiri wa RA anautumia wapi kwingine kama siyo kufanikisha safari ya Lowassa? Fungua macho!
 
Nilijua tu Mbopo aka Mwambene katika thread hii ungekuja kumfurahisha bosi wako anayekutumikisha kazi binafsi za kampeni hadi unasahau majukumu yako kama mtumishi wa umma. Subiri tutakuletea taarifa za fedha alizochukua Membe kwa RA kisha zikakufikia wewe ukazila sijui utafungua kimywa kwa kutumia ID ipi tena.
 
Jamani fungueni macho Lowassa atakuwa Rais na nyote mtafunga midomo yenu. Hii nchi si yenu wana JF ni ya watanzania wote ambao asilimia 80 ni majuha, yaani wanaganga njaa tu. Huwezi kumwambia mtu mwenye njaa usile kama ana njaa na anaitwa kula! Hili ndo taifa leo wana JF, Vungueni macho
 
Baba wenzio hawatumiki kijinga hivi! Tumeshakwambia kwamba kama bifu lako ni Mwambene kuchukua nafasi yako basi utaendelea kupiga kelele na kukasirika sana lakini haitakusaidia, na ndiyo maana tulikushauri uombe nafasi kama hiyo Vodacom au NSSF ambako mkubwa wake na wewe mnachangia siri moja ya kutia aibu sana. Njoo tu na hizo habari zako za kuunga unga na wenye akili zao watajua kwamba huo ni mwendelezo wa chuki zako kwa kitumbua kilichotiwa mchanga na hasira za wakubwa zako kukosa dili la ujenzi wa minara pacha ya ubalozi wa Tanzania kule Nairobi. Kwa kasi sana sasa unawafanya watu wamtoe paka kwenye gunia ili wakujue wewe ni nani na mienendendo yako ya kimaisha. Tutapasua bomu hivi karibuni. Watch this space!
 
Wakuu hii mada imanifanya nijitoe pangoni na kuingia jamvini. Mimi nimeishi na kufundisha maeneo ya Mto wa Mbu na baadae Meserani na namjua muungwana huyu kwamba ni mtu katili na dikteta. Mwaka 1996 tulimfuata kuomba mchango kwa ajili ya kuwalipa waalimu wa kujitolea waliokuwa wametoka chuoni Monduli ili kuja kujitolea akatufukuza ofisini na kutishia kuiamuru mamlaka husika (Halmashauri ya Wilaya) kutuchukulia hatua za kinidhamu. Baadae ilibainika kwamba yeye alikuwa na hisia kwamba tulikuwa tunatumika na mpinzani wake wa kisiasa ambaye hata hatumfahamu. Hivi huyu ndiyo leo mnampigia debe awe mkubwa wetu? Kweli usilolijua ni usiku wa giza. lakini muda uliobaki utawafundisha kitu watanzania na mwaka 2015 watajua kwamba hilo siyo kimbilio.
 
Baba wenzio hawatumiki kijinga hivi! Tumeshakwambia kwamba kama bifu lako ni Mwambene kuchukua nafasi yako basi utaendelea kupiga kelele na kukasirika sana lakini haitakusaidia, na ndiyo maana tulikushauri uombe nafasi kama hiyo Vodacom au NSSF ambako mkubwa wake na wewe mnachangia siri moja ya kutia aibu sana. Njoo tu na hizo habari zako za kuunga unga na wenye akili zao watajua kwamba huo ni mwendelezo wa chuki zako kwa kitumbua kilichotiwa mchanga na hasira za wakubwa zako kukosa dili la ujenzi wa minara pacha ya ubalozi wa Tanzania kule Nairobi. Kwa kasi sana sasa unawafanya watu wamtoe paka kwenye gunia ili wakujue wewe ni nani na mienendendo yako ya kimaisha. Tutapasua bomu hivi karibuni. Watch this space!

Duuh Kwa JF kugumu...watu wanaleta fitina kumbe ni maswala binafsi ya kazi ,pub na mademu.
 
Jamani fungueni macho Lowassa atakuwa Rais na nyote mtafunga midomo yenu. Hii nchi si yenu wana JF ni ya watanzania wote ambao asilimia 80 ni majuha, yaani wanaganga njaa tu. Huwezi kumwambia mtu mwenye njaa usile kama ana njaa na anaitwa kula! Hili ndo taifa leo wana JF, Vungueni macho

You can fool some people sometimes but you cant fool all the people all the time. Anaweza honga hao wana CCM wenzake kwenye vikao vya uteuzi lakini siyo watanzania hawa ambao wanasubiri na visu vyao wafanye ungariba. Wamemchoka!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom