LOWASSA ni tishio

Let us be contructive, huyo jamaa ni tishio kwelikweli ndani ya ccm, sio tishio kwa wapiga kura. Na hata mimi naona kama atakuwa mgombea wa ccm. 2015 patamu sana, akili mu kichwa Watanzania.:gossip:
 
Inaelekea Mafisadi walikuchagua bila kupitia CV yako.

Hebu tuletee ushahidi ni lini CDM wamemzungumzia Lowasa. Waliomzungumzia Lowasa hivi karibuni ni UVCCM na Sumaye. Actually, CDM watasherehekea siku Lowasa atakapopitishwa kuwa mgombea.

Hasawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
sishangai kuwa hatuko sayari moja, unatoka sayari ya mafisadi, we have nothing, nothing at all in common.
Kwenye bluu; za kukkwapua mabillioni ya hela za watz, kujilimbikizia, hadi kuvimbiwa na kuzitumia kuingia madarakani, if yes then lowasa anajua siasa za kisasa.
Kwenye nyekundu: Anasikiliza nani? Au unamaanisha alivowasikiliza wachawi wa thailand na kuwaleta tz kunya mvua?
Anawasikiliza mafisadi wenzake wanapopanga uharamia kwa tz. Au ulikuwa unamaanisha kuwa lowasa anasikilizia wananchi wanavolalama na hali ngumu ilhali ana limbikizi la milenium?
kwenye purple: lowasa anachafuliwa? Hivi utasema jalala/dampo linachafuliwa?
anyways, kamati ya mwakyembe iliyomwondoa el upm ilikuwa na wajumbe wangapi wa cdm? Hii kashfa richmond ilichunguzwa na nani?
Kwenye black; kwa nini haendi court kwa kuchafuliwa jina?

Kama uko kwenye sayari hii tunayoiishi, basi ni mgonjwa wa akili, kuna kitengo kiko muhimbili utapata msaada.



senksi mkuu
 
Ndugu,
Nimefuatilia kwa mamini majibu ya wengi humu. Inaonyesha dhahiri kwamba bila kujali itikadi za kichama, wengi hawamkubali LOWASSA. Na mimi mmojawapo. Si kwa ushabiki wa kichama wala nini, ni kwa masilahi ya Taifa tu.
Ila sasa, lisemwalo lipo, kama tumeshajua hivi na nia ya mtu huyu iliyojaa tamaa, nawaomba tusimame kidete kwa pamoja na kuondoa tofauti za kichama ili kumpinga huyu mtu. Ni TISHIO kwa nchi hii.
Tumpinge kwa nguvu zote kwa sababu itatugharimu. Nina maana kusema kwamba maoni haya mnayotoa yasiishie humu tu kwa kumjibu huyu kibaraka KAUMZA sijui KAUZU, ambaye sina hakika amelipwa kiasi gani kuandika utumbo kama huu.
Kama ni Rais niko tayari kumuunga mkono mwingine yeyote awe Slaa, Sitta, Membe au Magufuli lakini si Lowassa.
 
Lowasa hagombei yeye. Anatafuta mtu mtakayemkubali ninyi. Ndivyo alivyofanya mwaka 1995. Mwalimu akauzima mradi ule. Alikuja fanikiwa mwaka 2005. JK ni Rais wetu sasa. Mengine ni historia. 2015 endeleeni kumkaba yeye. Hamuwezi kukaba hata penati. Atatokea kwingine kivingine.
 
Kuna ukweli fulani katika jambo hili, hivi unajua viongozi wote waliokwenda Loliondo kwa Babu walikwenda baada ya kusikia Lowasa amekunywa kikombe cha Babu!! ...na kadri siku zinavyozidi utasikia wengi zaidi wakimiminika Loliondo!

upupu+crap=tambwe hiza
 
Nimekuwa nikifuatilia sana vyombo vya habari vinavyopinga Lowassa(Mwanahalisi na Raiamwema) na vinavyo msapoti(Rai na Mtanzania). Nimefuatilia sana wanasiasa wanaompinga na kumsapoti. Mwisho nimebaini kuwa Lowassa ni tishio kubwa kwa wanaoutaka urais wa muungano ndani ya chama chake na kwa upande wa upinzani. Ana nguvu kubwa sana serikalini na katika chama. Ni bingwa wa kuratibu mtandao kisomi. Ni mtendaji na haogopi. Na iwapo ataamua kugombea, hatakuwa na mpinzani mwenye nguvu ndani ya chama chake na hata ktk uchaguzi mkuu. Sote tumeshuhudia jinsi alivyoweza kuukwaa uenyekiti wa kamati ya bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama bila mtu yeyote kutia mguu kumpinga. Na sasa tumeshuhudia jinsi anavyopata sapoti kutoka kwa Mhe Beatrice Shelukindo na mumewe William Shelukindo. LOWASSA NI TISHIO
Bwn Kahumuza unaishi ulimwengu gani wewe??????? Ni kwa uzuri gani katufanyia huyu Bwn Lowasa wako???????? Huyu Bwn alianza ufisadi siku nyingi tuu!!!!!! Hapa
Arusha watu walisha mchoka kama wewe hujui!!!!!!!!!!! Siku ya uchaguzi wa TZ kidogo auwawe na watu wenye hasira kali, gari lake lilipondwa mawe kama unabisha uliza watu wa Ars. Hayo madogo mpinzani wake alikuwa anajificha kwa kuogopa Umafia wa huyu Mwizi!!!!!!!!!! Aliiba saana AICC Mpaka akauwa CO ya Tours ya Jumuiya, akaanzisha CO nyingine inayo fanya kazi kwa ubunifu wake wa kimafia.
Kama unasema ni mafia ndio maana ni tishio, hiyo ni kweli!!!!!! Kijana wake Fred Lowasa kamshikia bango kijana mzalendo Mrisho akasimamishwa uongozi kwenye UVCCM Ars, kisa kasema baba yake ni fisadi na R Azizi, akazimwa kusudi anyamaze.
Lakini nakwambia pamoja na fedha mnazolipwa kujaribu kuwangalisha hao mafisadi hamtaweza!!!!! Watanzania wa leo sio wa jana hawadanganyiki!!!!!!!!!!!!
Hao si Malegwanani kuwahonga simu za Alphatel. Nani asiyejua kuwa huyu Bwn katuingiza hasara ya mabilion ya Shilingi hadi leo tunadaiwa na DOWANS na RICHMOND kAMPUNI ZA KUCHONGA KUWAIBIA WA TZ. Watu wametoa data zote za CO za huyu Bwn na DATA za mijumba yeye na mtoto wake waliyo nunua London, lakini serikali imepiga kimya. WATU WAMECHOKA NA HAO MAFISADI!!!!!!!!
Watu wanajua, shule hazina walimu, madawati hadi leo kuna watoto wanakaa chini, hospitali hazina dawa, madaktali hakuna, kama zipo ni maili nyingi kwa wakina mama wenye mimba kuzifikia. Yote shauri ya ufisadi wa watu wako hao unaowasifia!!!!!!!! Watanzania si mbumbu, amepandikiza watu kama wewe wamfagilie kwenye bunge, chama cha SISIEM, UVCCM lakini hawezi kubadili mtazamo wa WTZ wote, hiyo na Mungu wetu anayechukia uovu atatupigania!!!!!!!!!
Aliyofanya yanatosha anelekea kwenye uangamivu wake sasa, kama unabisha muulize Muhamahri Ghadafi wa Libya!!!!!!!!!!!
 
hakuna lolote hapa. Lazima wewe umelipwa pesa na rostam aziz au lowassa mwenyewe. Lowassa ni kiongozi anayeleta aibu kwa tanzania na kwa chama chake ccm. Ni mpenda mali, ana utajiri mkubwa usioweza kuelezeka (unexplained wealth). Kama wewe unamsifia lowassa kwa utendaji kazi je edward moringe sokoine ungesemaje? Waziri mkuu mchapa kazi na mwenye msimamo ambayo tanzania imewahi kumpata katika historia yake ni edward sokoine na julius nyerere aliyemtangulia.

Mawaziri wakuu wote waliofuata, ikiwemo lowassa, ni bomu tu. Kuhusu lowassa kuwa tishio, labda kwa ccm kwani hicho ni chama kilichotekwa na mafisadi. "tishio" la lowassa unalosema wewe ni kutokana na kuwa na pesa nyingi za kifisadi kuweza kununua kura za wana ccm na si kutokana na ubora wa uongozi.

Ccm ina viongozi bora na "tishio" zaidi kuliko fisadi lowassa kwa utendaji kazi na uadilifu ambao wanafaa kuwa rais. Nao ni samuel sitta, harisson mwakyembe, john magufuli na bernard membe.

Lowassa na genge lake la mafisadi wakiwemo rostam aziz, andrew chenge, nazir karamagi, yusuf makamba, peter serukamba, makongoro mahanga, na wengine wanastahili kwenda jela si ikulu.
tuko pamoja!!!! Mkuu hawa wote sehemu yao ni lupango, wakanyee debe ni wezi tu!!!!!!!!!! Watapatikana tuu labda wahame tz!!!!!!!!
 
naunga mkono hoja,na ndio anayewatia homa CDM,na ndio maana cdm wakilala wakiamka ni lowasa,huyu jamaa akisimama chadema chali coz lowasa anajua siasa za kisasa,ni msomi na ni msikivu na si mropokaji kama padri slaa! sasa wanachofanya cdm ni kumchafua kwa kashfa ambazo hawawezi kuthibitisha,wanabase kwenye rumours only! cdm need to be realistic with people na waambie sera zao na mipango yao,politics of critizing others imeshapitwa na wakati!

Aha hizo, EL hana ubavu wa kuwa tishio kwa CDM, on the contrary yeye ndiye anayehofia CDM. Fisadi ni fisadi tu na anajua kuwa CDM wanaujua ufisadi wake kwa details nyingi kupita maelezo; yaani halali usingizi kwa kujua kuwa anaweza kuumbuliwa na PEOPLE POWER ile mbaya!
 
mchapa kazi huyo ombwe lake la uongozi wa ufuatiliaji linaonekana wazi
Jf ni moja ya nguzo zilizopangiwa mkakati kutumika kubadili misimamo ya watu,na kuna watu humu wanaonekana ni full supporter wa cdm bila kutia shaka ila polepole kutokana na heshima zao humu kutokana na michango yao makini wataanza kupigia mafisadi upatu bila watu wengi humu kujua na kutokana na ukweli kuwa Jf inaushawishi mkubwa,hii sumu itaenea kwa vyombo vingi vya habari tunavyoviamini.hii vita vya ukombozi wa kweli si ndogo na bila makamanda waliojitoa mhanga mwanzo mwisho tutasalimu amri bila kujua ndio tunajisalimisha tunyongwe na si kuhurumiwa! TANZANIA KWANZA DAIMA!
 
naunga mkono hoja,na ndio anayewatia homa CDM,na ndio maana cdm wakilala wakiamka ni lowasa,huyu jamaa akisimama chadema chali coz lowasa anajua siasa za kisasa,ni msomi na ni msikivu na si mropokaji kama padri slaa! sasa wanachofanya cdm ni kumchafua kwa kashfa ambazo hawawezi kuthibitisha,wanabase kwenye rumours only! cdm need to be realistic with people na waambie sera zao na mipango yao,politics of critizing others imeshapitwa na wakati!

Naushauri huu kwako na kwa huyo Lowasa unayemleta hapa kwetu......

  1. Nadhani umeingia humu JF bila kupiga hodi,uwezo mdogo wa kusoma majira,wakati na nyakati
  2. Sikulaumu maana nabashiri yawezekana wewe ni mwanachama wa UVCCM tena upo upande wa wendawazimu wenzako akina Shigela na wengine
  3. Watanzania wa sasa sio wa enzi za ndio mzee na upuuzi unaotaka tuuamini,nani asiyemjua EL na skendo zake?
  4. Nakutuma kawaambie umeleta salamu lakini watu hawajaipokea mjipange upya for the next time.....
Nitafute...........
 
[QUOT na weweE=itahwa;1797245]naunga mkono hoja,na ndio anayewatia homa CDM,na ndio maana cdm wakilala wakiamka ni lowasa,huyu jamaa akisimama chadema chali coz lowasa anajua siasa za kisasa,ni msomi na ni msikivu na si mropokaji kama padri slaa! sasa wanachofanya cdm ni kumchafua kwa kashfa ambazo hawawezi kuthibitisha,wanabase kwenye rumours only! cdm need to be realistic with people na waambie sera zao na mipango yao,politics of critizing others imeshapitwa na wakati![/QUOTE]
YAANI NA WEWE UNAKAA NA KUSIMMULIA WANAO KUWA UNA AKILI AU HUWA UNAITWA BABA , USELESS MAN, LOWASA NI MWIZI NA WEWE NI KUWADI WAKE , HASAFISHIKI HATA KWA ACID NDUGU YANGU LABDA KWENU NYIE KAMA AKINA MILLYA ,BACHE NA WAJINGA WAJINGA WENGINE KAMA WEWE, WANJF HIVI NI RASMI KILA MTU ACHANGIE HOJA HUMU HATA KAMA HUJUI KINACHOENDELEA, MIMI NAFIKIRI HAPA PAMEKUWA NI KIJIWE AMABCHO HATA WENDAWAZIMU KAMA HUYO JAMAA HAPO JUU ANWEZA ONGEA , NA THRED ZISIZO NA MSHIKO MOERATORS MNAZIFUTA MAPEMA KABLA HAZIJATUUDHI NA KUHARIBU MODE ZETU
 
LOWASSA TISHIO?!
Tusiandike kwa mate wakati wino upo:

1972 - 1973 Milambo High School (combi: Swahili, History na English - SHE) Division III

1975 - 1970 University of Dar es Salaam (B.A. Theatre Arts "Sanaa ya maigizo") Pass

AMA KWELI TISHIO!

 
,,,,,,huyu jamaa akisimama chadema chali coz lowasa anajua siasa za kisasa,ni msomi na ni msikivu na si mropokaji kama padri slaa! sasa wanachofanya cdm ni kumchafua kwa kashfa ambazo hawawezi kuthibitisha,wanabase kwenye rumours only! cdm need to be realistic with people na waambie sera zao na mipango yao,politics of critizing others imeshapitwa na wakati!

Mchafu hachafuki, hawezi chafuliwa wakati mchafu!! labda kusafishwa, hata yeye mwenyewe anajua yu mchafu ndio maana juhudi zake kubwa ni kujisafisha!!!! tena kwa gharama kubwa.
 
Jamani, mtaacha lini ku-champion mijitu mijizi, minyang'anyi, na mifisadi; badala yake mtuletee watu waadilifu wanaoweza kuisaidia nchi yetu?
Dude, stop trying to champion for thief/swindler.
 
Back
Top Bottom