siri sijaona, tatizo system tu hapa, kama tangu enzi za Nyerere, mzee huyu ni fisadi basi wao ndio waliomlea....wangemdhibiti tangu kipindi hicho....leo mnakuja na haya mashataka yake kwenye umma....eti ahukumiwe kwenye Uchaguzi tu.....ila angekaa nje ya siasa mnakuwa kimya.....tizama tangu aweke chini uawaziri mkuu....hakuna aliyepiga kelele......ila leo hii kaibuka nanyi mmeibuka....hivi mna msaada gani kama kweli huyu jamaa ni mbaya kiasi hicho?
Wananchi wa kawaida mnatuchanganya sana.....huku mitaani mtu akidhaniwa mwizi au ana makosa fulani yanayo thibitika haraka viongozi wa mtaa na wananchi hushughulika nae......nini tatizo huko juu? SITETEI ufisadi ILA ufisadi bila kuchuka hatua haina maana ....au hatua ya kumchukulia fisadi ni Kumnyima kura za kushika URAIS tu?