Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Lowassa has always been a thief and will always be a thief there is no getting around it.

He is absolutely unfit to run this country.
 
Lowassa hakustahili hata kugombea uraisi sema tu watanzania wengine wako kama maroboti na Lowassa ndiyo anayaendesha atakavyo.
 
Invisible tuletee matokeo ya uchunguzi huo kama yamemtia hatiani frederick. na fahamu kuwa frederick sio edward na kwa namna yoyote hawezi kumhusisha baba yake na matukio yake. mfano ni miraji na baba yake kikwete
Naamini watu mtaweza kukipakua na kutoa maoni yenu...

Kumbuka: Nyaraka hizi ni za SIRI KUBWA
 
Invisible tuletee matokeo ya uchunguzi huo kama yamemtia hatiani frederick. na fahamu kuwa frederick sio edward na kwa namna yoyote hawezi kumhusisha baba yake na matukio yake. mfano ni miraji na baba yake kikwete

Ndugu hata kama una mahaba ya dhati na Lowassa sema kweli iliyo kweli, moja ya vyanzo vya pesa ya Fredrick Lowassa ni kampuni ya Barare na Intergrated Property. Barare ni ya Lowassa na mke wake, Barare ina hisa Intergrated, utamtowaje Lowassa hapa?
 
mtahangaika sana kila mbinu, lakini mwisho wa siku kama wananchi wameamua huyo fisadi awe raisi atakuwa tu. huyo huyo jambazi kuu ndio tunataka awe kiongozi wetu. na nitampta kura yangu. msijichoshe bure. tukutane oktoba.
 
Unamaanisha hata Invisible leo amekuwa mwenye kuhangaika au? Je hii thread ni ya lini?
 
Last edited by a moderator:
Uchaguzi huu wa mahaba hauna tofauti na ujangili. Mungu atuepushie uhuni huu wa kutetea maovu hata kabla ya kuingia ikulu!
 
mabel unachanganya mambo. mhusika ni frederick na sio edward, na frederick ni separate entity, leo unatuletea barare. hebu tuletee usajili wa barare kutoka brela unaoonyesha ni ya edward na regina kabla hatujakujibu hoja zako
Ndugu hata kama una mahaba ya dhati na Lowassa sema kweli iliyo kweli, moja ya vyanzo vya pesa ya Fredrick Lowassa ni kampuni ya Barare na Intergrated Property. Barare ni ya Lowassa na mke wake, Barare ina hisa Intergrated, utamtowaje Lowassa hapa?
 
mabel unachanganya mambo. mhusika ni frederick na sio edward, na frederick ni separate entity, leo unatuletea barare. hebu tuletee usajili wa barare kutoka brela unaoonyesha ni ya edward na regina kabla hatujakujibu hoja zako

Mkuu wangu wewe hujasoma nyaraka za Invisible, kuna nyarakamoja inaonyesha usajili wa Barare na wenye hisa ni Lowassa na mke wake wakiwana hisa 500 kila mmoja. Nyaraka nyingine ni Intergrated Property Limited kuigawia Barare hisa.

Usiwe mvivu wa kusoma hizo nyaraka mkuu wangu.
 
Tuleteeni pia wamiliki wa kampuni kubwa ya usafirishaya ya GSM tuleteeni pia wamiliki wa bandari kavu za kurasini. Kama mnawajua kwa majina akuna aliye msafi ndani ya ccm
 
Huu ni upande mmoja wa story tu.....lowassa kapata kuwa exposed! Tujiulize tu, ni viongozi wangapi wanafanya mambo kama haya (kama yana ukweli). Nyaraka kama hizi ziko ngapi ambazo hatuzijui?!
 
Nyaraka hizi ni siri uliyepost unezitoa wapi? Na umepewa kwa madhumuni yapi? Na kwanini sasa?!
Na mbona majina yaliyopo kwenye nyaraka zako za siri ukijaribu kuwatafuta hao watu mtandaoni unapata vitu vya ajabu ajabu? Jaribu kumtafuta GEORGE SIMPSONS kwenye mtandao.....naomba wachangiaji tusikurupuke kujudge haraka! Lowasa might be fisadi lakini je, waliouficha ufisadi walikuwa na nia njema?
 
Nubaliana na wewe asilimia mia kwa mia
Hii inazidi kuthibitisha kuwa Lowassa ni Fisadi wa viwango vya kimataifa. Ina maana wangekuwa wanasajiliwa, bila shaka Lowassa angekuwa fisadi wa kulipwa, tena kwenye klabu kubwa kubwa...
 
Back
Top Bottom