Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Mada ya 2011, CCM walimchukulia hatua gani?
kama wameshindwa kumchukulia hatua tangu mwaka 2009, je ni wangapi ambao wana makosa kama haya au hata zaidi na hawajachukuliwa hatua kama huyu ndugu? Je asingehama chama angechukuliwa hatua? Ina maana tatizo hapa ni chama na nadhani wanaojenga hoja ya mfumo wana point.
 
...ooh My God, this is un****ing believable, so we are paying IPI(T)L while there is straw which sucks the juice into Barare Ltd, where Mr and Mrs are sitting comfotably, some people need to be hanged at msimbazi street to be honest.!!!!!! I am so angry now!
 
Maweee. Watu wale wale waliokuwa wanamtukana juzi tu leo hii ni...Njaa mbaya hasa ile ya kifikra!
 
Tunampenda Lowassa sio kwa sababu ya uimara wa CDM,NCCR,NLD ama CUF,La hasha,ila ni kwa sababu ya udhaifu na mapungufu makubwa sana ya CCM.
 
Hii inazidi kuthibitisha kuwa Lowassa ni Fisadi wa viwango vya kimataifa. Ina maana wangekuwa wanasajiliwa, bila shaka Lowassa angekuwa fisadi wa kulipwa, tena kwenye klabu kubwa kubwa...

Mmh interesting
 
Bada ya kutoka ccm ndo uchunguzi unaanza duh shikamoo Tanzania

You are missing the point. Hii ilibandikwa kwanza 2011, akiwa bado yuko huko huko CCM. Msizibe masikio, huyu jamaa alitakiwa aangamie na CCM. Huko alikoenda ameharibu mwenendo wa mabadiliko. Siyo kila anayempinga ni shabiki wa CCM.
 
Tunampenda Lowassa sio kwa sababu ya uimara wa CDM,NCCR,NLD ama CUF,La hasha,ila ni kwa sababu ya udhaifu na mapungufu makubwa sana ya CCM.

Taratibu anahamishi mapungufu na uozo wa CCM na kuupeleka UKAWA. Chungeni sana namba hiyo.
 
Mi Lowassa nataka atusaidie kuuvunja mfumo tu!!!

Hawezi. Ataubadilisha jina tu. Mkumbuke kwamba yeye ni part ya huyo zimwi ambaye tunataka aangamie. There is no metamorphosis here. Ni kama kinyonga au pweza anayejibadilisha rangi.
 
Sioni kikubwa hapo kwa sasa. Umeangalia Rais Kikwete na Rais Mstaafu Mkapa wanamiliki nini? Nadhani ni vizuri watanzania tuendelee kujitathmini wote baadaye tuambiane kuwa kama hakuna aliye mtakatifu basi tushirikiane na mwenye nia ya kutuletea katiba ya wananchi iliyotengenezwa na Warioba ili haya ya kutokuaminiana na watu kupiga pesa yaishe
 
Hata mkisema vp kuhusu EL,mi nitampa kura yangu,maana ccm ishanivuruga,! haifai tena hata kidogo., msiwe vibaraka wa CCM
 
Back
Top Bottom