Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Kwa Tanzania kuna kijana wa miaka 34 (Lowassa, Fredrick) kuwa tajiri kiasi hicho? Wakati wa miiko ya uongozi (Baba wa taifa) kupinga watumishi wakumiliki mali, mimba nyingi sana tena changa zilimilikishwa majumba ya kutisha!

Huu huu ndio utaratibu unaoendelea kwa "rais mtarajiwa"
 
Ohh! Ngoja tutoke usingizini, Kumbe wasomali wamejipenyeza kupitia migongo ya waheshimiwa !!!! na kwamba Mhe. EL anatumiwa na wasomali kusafisha hela chafu za Kisomali ????? Kazi kweli kweli.

Ngoja niendeleee kusoma
Uwezekano ni mkubwa sana mkuu! We unafikiria kwanini the Scotland Yard through SCD6 Economic and Specialist Crime Proceed of Corruption Unit wana-track transactions zinazohusiana na hiyo Intergrated Property Investment Ltd ambaye ni partner wa Barare Ltd ambaye ni Msomali anayeishi UK?

Huyo jamaa naye yuko kwenye radar ya the UK intelligency unit hapo kuna money laundering of ransom accrued through piracy activities in the EA ndiyo inaangaliwa though wanazuga ati credibility ya Barare Investment and Alphatel Partnership (T) kama zina-exist maana wanajua Financial Intelligency Unit yetu haita-cooperate si nchi imeshikwa na wenyewe?

In the whole of the EA, real estate sector imeingiliwa na maharamia wa Somalia sasa...
 
hakika hafai kuwa kiongozi,maneno yake yote yanaiumiza Tanzania sivyo alivyo kwa maneno,nyerere alisema ni mwizi sisi bado tunamkumbatia,huyu jamaa hata vipesa vidogovidogo hawezi hataviacha ni hatari sana.
 
Hiyo kampuni ya barare wamesharudisha ile ranch waliyojitwalia?

Hhalafu hao directors wa integrated property ni matapeli wakubwa mpaka wameogopa kuweka majina yao, instead ni sahihi tu zimewekwa bila majina ya wakurugenzi.
 
Metropolitan Police wameuliza maswali maNNE ya msingi sana lakini ofisi ya Director of Criminal Investigation naona anajibu swali moja tu.

UFISADI NA WIZI WIZI tuuuuuuuuu kila kona.

It seems this dude Lowassa keshamweka kila mtu ''muhimu'' kwenye mfuko wake
 
Hakika kuna watu duniani wameumbwa na uso usio na haya hata kidogo. Lowassa juzi aliibuka na kujifanya mtakatifu kweli kweli, kumbe anawachezea akili watanzania, huyu ni mtu mbaya sana, ana tamaa zilizopitiliza kiwango, hafai kuwa kiongozi, nashangaa CCM kuendelea kukaa na mwizi huyu meza moja, ndio maana ktk uchaguzi uliopita walisulubiwa ipasavyo.

CCM kama watajifanya hawalioni hili la Lowassa, basi wasubiri uchaguzi mkuu waone hasira za wananchi zilivyo.
 
aisee....... kumbe familia nzima ni wezi tu....
 
Hii kampuni ya Integrated nasikia imeingia ubia na Nyumba ya Sanaa na kampuni kuendeleza pale ilipokuwa Nyumba ya Sanaa karibu na Hoteli ya Movenpick. Upatikanaji wa eneo lile umezusha maswali mengi kuliko majibu. Wafanyakazi wanalalamika jinsi utaratibu wa kibabe ulivyotumika kupata eneo lile. Humu tunaambiwa Lowassa yumo...

Ukienda ktk mashamba sehemu mbali mbali Tanzania unaambiwa Lowassa yumo, hivi Lowassa ana mshipa wa aina gani wa tamaa? Sasa nakumbuka maneno ya marehemu Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere, kuwa LOWASSA hatufai kuwa kiongozi, kwani ana tamaa sana ya mali na ni mlafi wa uongozi.
 
Nimechoka mwenzenu.....alluta continua......:twitch::twitch:
 
Lakini iko siku kila kitu kitakuwa sawa, maana wameamua kuwa sisi watanzania mali zetu ni mali yao sasa saa yaja na hakuna wakutuzuia sisi, haya
 
Lowassa kwa kutumia hela zake alizoiba bila huruma kwa wananchi masikini wa Tanzania eti leo anataka anaonekane kuwa ni msafi na anafaa kuongoza Taifa hili.

Kama CCM watathubutu kumleta kwa wananchi ili apigiwe kura, basi huo ndio utakuwa MWISHO wa chama hicho kupewa ridhaa ya kuongoza Taifa hili. Na kwa kufanya hivyo, WATALAANIWA na Muasisi wa Taifa hili, Hayati Julius Kambarage Nyerere. Dhambi hiyo haitaishia kwao tu, bali itaenda mpaka kwa vitukuu vyao popote pale vitakapokuwepo hapa duniani.
 
Hii kampuni ya Integrated nasikia imeingia ubia na Nyumba ya Sanaa na kampuni kuendeleza pale ilipokuwa Nyumba ya Sanaa karibu na Hoteli ya Movenpick. Upatikanaji wa eneo lile umezusha maswali mengi kuliko majibu. Wafanyakazi wanalalamika jinsi utaratibu wa kibabe ulivyotumika kupata eneo lile. Humu tunaambiwa Lowassa yumo...

Ukienda ktk mashamba sehemu mbali mbali Tanzania unaambiwa Lowassa yumo, hivi Lowassa ana mshipa wa aina gani wa tamaa? Sasa nakumbuka maneno ya marehemu Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere, kuwa LOWASSA hatufai kuwa kiongozi, kwani ana tamaa sana ya mali na ni mlafi wa uongozi.
Mkuu jaribu kuwa specific unaposema mashamba, maana wengine tutadhani ya ubuyu sema ukienda mashamba ya chai, kahawa, sukari na tumbaku unamkuta Lowassa akimiliki maelfu ya ekari na ni mfanyakazi wa serikali kwa maisha yake yoote!
 
Kwa hiyo hela ni ya Lowassa kutoka hapa kwetu au ni ya Wasomali?
Alphatec wanafanya biashara gani hadi kuwa na turnover ya Tsh 8 bil?
 
hay ni mazito na yanahitaji majawabu mazito ,akha wala si majibu mepesi mepesi...
 
One thing I know 2015 fisadi hagusi kiti cha Ikulu; its not by might no power but through Holly Gost.......Yes Holly Ghost! We speak like Kings and we pray like royal priests because we are the beutiful people of the beutifull country, too beutiful to be led by mafisadi...

Watch and see.
 
Hivi vyombo vya dola vimeenda wapi mpaka watanzania wanaangaika hivi; PCCB ya Hoseah inafanyanini wafanyakazi wake wanafanyanini kwanini waandelee kulipwa fedha za walipa kodi, kwanini wasilipwe na hao ma-Fisadi!

Mwema wewe kazi yao ni kuua Wa-TZ basi huo ndio uwezo wako wa Intelijensia uliosomea alafu bado unasubiri mishahara ya kodi ya watanzani!

TISS mmekuwa zero tokea Mwl afe kwanini?? Kwani mnafanya nini mbona mnasinzia, mtu ambaye mnamlinda nyiye au elimu yenu ya kulinda Taifa mmesomea wapi, Mbona najua Taifa mbele nasio mtu, kuna faida gani ya kuwa-attach na hao watu na bado wanaibia nchi mkiwa mnawalinda?!!

Huku sio kuleta vita vya wenyewe kwa wasio nacho?

Mungu tupe nguvu na ututoe woga tupambane kufa na kupona na hawa watu.
 
Sasa hiyo part II ndio kiboko, sasa Lowassa na mkewe walifanya biashara gani na hao Wasomali hadi wawadai milioni 450/= sasa hapo ndio mujue kuna kazi amewafanyia na hayo ndio malipo, na TAKUKURU waanzie hapa

:sorry: Hivi hapo penye red unamaanisha TAKURURU ya Hosea? au labda imeanzishwa nyingine?
 
Hivi kwanini tusiamue tutoke nje tukomboe hii nchi?!! Hivi Lowasa na Rostamu watatuibia mpka lini na mkwere anachekacheka tu ovyooo
 
Back
Top Bottom