Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

100 digits kwani hapo kwenye post yangu kuna mahali popote nilipomtaja Lowassa?

Nilichosema mimi ni kuwa baadhi ya watia nia martumizi yao kwenye hiyo kuisaka Ikulu ndiko kuna utata mkubwa.

Hebu tujiulize swali moja tu, hivi inwezekanaje mtia nia ambaye chama chake kimemuelekeza atafute wadhamini 450 kutoka mikoa 15, yeye anaenda zoa 'rundo' la wadhamini/wapiga kura wake 800,000 plus kutoka mikoa yote 31?

Hivi alikuwa na maana gani kukiuka kwa makusudi maelekezo ya chama chake?

Tutaendelea kukumbuka maneno ya busara sana aliyowahi kuyatoa Mwalimu Nyerere, aliposema Ikulu kuna biashara gani hadi mtu atumie mabilioni ya pesa zake 'kuinvest' kwenda huko?
Akaendelea kuuliza kama huyo mtu ameyakopa mabilioni hayo[Lowassa ametwambia anapewa na rafiki zake] atawezaje kuyalipa wakati Ikulu hakuna biashara yoyote?
Akamalizia wosia wake muhimu sana kwa Taifa hili kuwa mtu huyo ni wa kumuogopa zaidi ya UKOMA.

mfa maji siku zote haishi kutapatapa,ukishindana na mjinga utaonekana mjinga nawe,ukijibu mashambulizi ya chizi hasa maneno mabaya anayokutamkia we mwenyewe utaonekana chizi;kuna nguvu ya ushindi katika kunyamaza.yesu alipoitwa belzebul means mkuu wa mapepo hakupoteza mda kujisafisha bali kunyamaza na kuendelea na kazi aliyotumwa.endelea kunyamaza mzee el utashinda asubuhi
 
lOOH!Hoi bin taabani!!!!
nadhani wale mazuzu sasa wanaweza kuchukua hii ya 2011, kuwa Lowassa haonewi, ndivyo alivyo. Pole CDM
 
Lowasa ni msanii anajua kucheza na akili za watu tayari kisha mtisha mbowe na mbowe ametishika. Juzi wakati anapewa fomu za kutafuta wadhamini kaambiwa wanatakiwa wadhamini 25 yeye ndani ya siku mbili kaleta wadhamini 1,600,00:A S-confused1: hapo utagundua Lowasa ni mtu wa aina gani bado NEC kunatakiwa wadhamini utaona idadi atakayopeleka.

100 digits kwani hapo kwenye post yangu kuna mahali popote nilipomtaja Lowassa?

Nilichosema mimi ni kuwa baadhi ya watia nia martumizi yao kwenye hiyo kuisaka Ikulu ndiko kuna utata mkubwa.

Hebu tujiulize swali moja tu, hivi inwezekanaje mtia nia ambaye chama chake kimemuelekeza atafute wadhamini 450 kutoka mikoa 15, yeye anaenda zoa 'rundo' la wadhamini/wapiga kura wake 800,000 plus kutoka mikoa yote 31?

Hivi alikuwa na maana gani kukiuka kwa makusudi maelekezo ya chama chake?

Tutaendelea kukumbuka maneno ya busara sana aliyowahi kuyatoa Mwalimu Nyerere, aliposema Ikulu kuna biashara gani hadi mtu atumie mabilioni ya pesa zake 'kuinvest' kwenda huko?
Akaendelea kuuliza kama huyo mtu ameyakopa mabilioni hayo[Lowassa ametwambia anapewa na rafiki zake] atawezaje kuyalipa wakati Ikulu hakuna biashara yoyote?
Akamalizia wosia wake muhimu sana kwa Taifa hili kuwa mtu huyo ni wa kumuogopa zaidi ya UKOMA.
 
mfa maji siku zote haishi kutapatapa,ukishindana na mjinga utaonekana mjinga nawe,ukijibu mashambulizi ya chizi hasa maneno mabaya anayokutamkia we mwenyewe utaonekana chizi;kuna nguvu ya ushindi katika kunyamaza.yesu alipoitwa belzebul means mkuu wa mapepo hakupoteza mda kujisafisha bali kunyamaza na kuendelea na kazi aliyotumwa.endelea kunyamaza mzee el utashinda asubuhi

hapa tiba ni muujiza tu....
 
lowasa ni msanii anajua kucheza na akili za watu tayari kisha mtisha mbowe na mbowe ametishika. Juzi wakati anapewa fomu za kutafuta wadhamini kaambiwa wanatakiwa wadhamini 25 yeye ndani ya siku mbili kaleta wadhamini 1,600,00:a s-confused1: Hapo utagundua lowasa ni mtu wa aina gani bado nec kunatakiwa wadhamini utaona idadi atakayopeleka.
kumbuka amegraduate ktk sanaa!
 
Haya haya .. ngoma inogile .. hii ni file moja tu .. na ngoja wenye ID zao waliomponda kipindi hiki tuwakute wanamshabikia mwaka huu eti mgombea msafi .. hahaaa
 
pelekeni mkashtaki mahakamani basi kama mna ubavu.
 
Naamini watu mtaweza kukipakua na kutoa maoni yenu...

Kumbuka: Nyaraka hizi ni za SIRI KUBWA

Kila uchao mnatafta namna ya kumuharibia jamaa mwenyewe amekit siku zote yy n tajir na suala la kununua eneo nje ya nchi kama sheria inaruhus na amefuata taratibu mi sion tatz liko wap na huo upelelez umefkia wap tupe attachments zngne
 
thanks invissible .... wenzetu wazungu wapo very careful... unapotaka kununua au ku invest lazima wajue kama pesa hiyo umeipata kihalali na siyo kwa ufisadi .... this is a piece of work we are supposed to take into our systems

Exactly mkuu lkn nashangaa mtoa mada anajarib kuitengeneza iyo system nd iwe ushahd wa kuwa jamaa n fisad
 
Yafuatayo yanaweza kuamua nani ana shinda :

Nani fisadi zaidi kati ya wa ccm na wa cdm
Nani ata idhibiti zaid rushwa kati ya hao wawili
Nani wananchi wana mwona ana weza kwel kuidhibit rushwa
 
Tafsiri ya ufisadi ni ngumu sana hapa Tanzania hata mimi naweza kuamka asubuhi na kuambiwa ni fisadi kwa mwendo huu.
kwa hiyo hiyo ni Richmond au ni nini??

Fred Lowassa na public office wapi na wapi? au kisa ni mtoto wa Lowassa? what is the outcome of that investigation then?
 
na bado watamuanika sana safari hii maana kamwaga mboga sasa wao wanamwaga ugali kabisa
 
pelekeni mkashtaki mahakamani basi kama mna ubavu.

Kweli Kabisa waende Mahakamani kama wanaushahidi, Kisa mgombea mtoto wake kaamua kununua nyumba ugenini mnamhusisha na baba yake

Acheni hizo siasa za maji taka, nafikiri na Mkufuli nae akiingia kwa madaraka na yeye mtaleta yale ya Rizmoko?
 
Lowassa alipaswa kufanya biashara zake ila kinachomsumbua tamaa. Pili anatumia siasa kufanya wepesi wa mambo yake..
 
Back
Top Bottom